Iran: Tutapuuza maonyo ya US ya kutoingilia mzozo wa Gaza

Muulize Russia hizo Long range zake zimemsaidia nini mpaka muda huu pale Kiev. Huwajui watoto wa mjini wewe. Israel alipowashinda hawa waarabu ni kwamba yupo kwenye kila moyo wa maamuz wa nchi kubwa. Jews wapo Russia wapo Europe yote na wapo Amerika yote so ukiona marekan anatoa mkwara ujue ni Jews anakutolea mkwara.
Kwani Ukrqine conflict mpaka sasa LOOSER NI NANI AU MZANI UMEINAMIA WAPI?

Na bado mpaka sasa unaona Russia kashupaza shingo na Small Operation against a US-EU Funded Ukraine?

Israel wamekomaa na kupagawa kabisa na vita dhidi ya kikundi cha wanamgambo na ameanzq kupewa misaada na support za manowari. Is it compared to Russia ambaye hata NATO wanaogopa kumuwekea No-Fly Zone?
 
Rais wa Iran Ebrahim Raisi wakati wa mahojiano na kituo cha televisheni cha habari cha Qatar Al-Jazeera mjini Tehran.

Tehran itapuuza maonyo ya Marekani ya kutoingilia kati mzozo wa Hamas na Israel, Rais wa Iran Ebrahim Raisi amesema. Pia alikashifu nchi za Magharibi kwa madai ya kusitasita kusaidia kumaliza uhasama huo.

Katika mahojiano na Al Jazeera yenye makao yake Qatar siku ya Jumamosi, Raisi alisema kwamba Washington "inatuomba tusihama huku tukitoa msaada mkubwa kwa taasisi ya Kizayuni... Hili ni hitaji batili."

Soma:
LIVE

Iran vows to ignore US warnings on Israel
Washington’s demand that Tehran keep out of the conflict with Hamas is “invalid,” President Ebrahim Raisi has said.

Tehran will ignore US warnings not to intervene in the Hamas-Israel conflict, Iranian President Ebrahim Raisi has said. He also blasted the West over alleged reluctance to help end the hostilities.

In an interview with Qatar-based Al Jazeera on Saturday, Raisi said that Washington “is asking us not to move while providing broad support to the Zionist entity… This is an invalid demand.”

The Iranian president also claimed that Israel’s expanded ground operations in Gaza were a failure, describing it as “the second victory [for Palestinians] following [the launch of] Operation al-Aqsa Storm,” referring to the initial surprise attack by Hamas on Israel on October 7.

He also said that the United States had sent messages to the ‘Axis of Resistance’ – referring to an informal alliance of anti-Western and anti-Israel forces in the Middle East – and “received a practical and public answer on the ground.”

Raisi went on to accuse the US and some unnamed European countries of “obstructing the ceasefire in Gaza,” calling such policies “a crime.” He added that “the United States’ calculations in the region are completely wrong, and said it will not achieve its goals with a new Middle East,” stressing that Tehran’s support for the Palestinians “is not subject to compromise.”

After the Hamas attack on Israel earlier this month, US President Joe Biden pledged unconditional support for Israel while warning Iran to be “careful.” At the same time, he stopped short of backing a cessation of hostilities, with several US media outlets reporting that the State Department had distributed a memo to its diplomats advising them to avoid calling for “de-escalation” or a “ceasefire” in Gaza.

Publicly, Biden has said that ceasefire talks cannot begin until Hamas releases more than 200 hostages. Meanwhile, on Monday, EU foreign policy chief Josep Borrell called for a “humanitarian pause” in the conflict, saying he believed there was consensus among the bloc’s members on the matter.

Raisi’s comments come after Iranian Foreign Minister Hossein Amir-Abdollahian warned the US that “new fronts will be opened up” against Washington if it does not change its policies in the Middle East, including its unequivocal support for Israel.
TUSIHAMA HUKU TUKITOA MSAADA MKUBWA KWA TAASISI YA KIZAYUNI?????
HUJAELEWEKA MKUU UMEMNUKUU IBRAHIM VIBAYA?????
NB: SERIKALI YA KIMAPINDUZI YA KIISLAMU YA IRAN NI WAIMBAJI TU WA MAPAMBIO NA PROPAGANDA ILA VITA HAWAVIWEZI.
REJEA KUMBUKUMBU YA VITA VYAO NA JAMUHURI YA KIARABU YA IRAQ
 
Kwani Ukrqine conflict mpaka sasa LOOSER NI NANI AU MZANI UMEINAMIA WAPI?

Na bado mpaka sasa unaona Russia kashupaza shingo na Small Operation against a US-EU Funded Ukraine?

Israel wamekomaa na kupagawa kabisa na vita dhidi ya kikundi cha wanamgambo na ameanzq kupewa misaada na support za manowari. Is it compared to Russia ambaye hata NATO wanaogopa kumuwekea No-Fly Zone?
Looser ni russia maana ameshindwa kuipindua serikali ya ukrane na kuiteka Kiev.
Japo mwanzoni mwa vita alifanikiwa mpaka kufika Kiev
 
Acha ujinga pia punguza miemko hawa wayahudi feki wa kizungu wamewekwa hapo na reptilian family kwa ajili ya kuharibu utamaduni wa mashariki ya kati, na teknolojia zote kubwa unazoziona zilishakuepo kipindi cha nyuma B.C(Before CHRIST).

Na kwasasa zinatokea pale Nevada Jimbo la marekani area 51 hakuna cha mzungu yeyote Wala albino feki wa kiyahudi anayehusika na uvumbuzi wowote kwenye eneo Hilo.
Chuki za waarabu na waislamu ni kubwa mno dhidi ya wayahudi mpaka mmefikia kuwaita wayahudi kua ni wazungu kwa kua tu wameukataa uislamu na uarabu.
NB: NAJUA MUNGU WA WAARABU NA WAISLAMU NDIO AMEWAAGIZA MUWE NA CHUKI.
LAKINI MUNGU WA WAYAHUD NA WAKRSTO AITWAE YEHOVA YEYE AMEWAAGIZA WAKRSTO WAWAPENDE WAYAHUDI KUPITIA BIBLIA.
SOMA KITABU CHA KUMBUKUMBU LA TORATI.
 
Muulize Russia hizo Long range zake zimemsaidia nini mpaka muda huu pale Kiev. Huwajui watoto wa mjini wewe. Israel alipowashinda hawa waarabu ni kwamba yupo kwenye kila moyo wa maamuz wa nchi kubwa. Jews wapo Russia wapo Europe yote na wapo Amerika yote so ukiona marekan anatoa mkwara ujue ni Jews anakutolea mkwara.
Ah wapi, mbona juzi waliingiliwa mpaka chumbani na wanamgambo tu wa Hamasi. Halafu hawana lolote iweje kupambana na wanamgambo tu Manuari za Marekani zinasogea, wanachoweza kuvuja majumba kuuwa wanawake na watoto.
 
Rais wa Iran Ebrahim Raisi wakati wa mahojiano na kituo cha televisheni cha habari cha Qatar Al-Jazeera mjini Tehran.

Tehran itapuuza maonyo ya Marekani ya kutoingilia kati mzozo wa Hamas na Israel, Rais wa Iran Ebrahim Raisi amesema. Pia alikashifu nchi za Magharibi kwa madai ya kusitasita kusaidia kumaliza uhasama huo.

Katika mahojiano na Al Jazeera yenye makao yake Qatar siku ya Jumamosi, Raisi alisema kwamba Washington "inatuomba tusihama huku tukitoa msaada mkubwa kwa taasisi ya Kizayuni... Hili ni hitaji batili."

Soma:
LIVE

Iran vows to ignore US warnings on Israel
Washington’s demand that Tehran keep out of the conflict with Hamas is “invalid,” President Ebrahim Raisi has said.

Tehran will ignore US warnings not to intervene in the Hamas-Israel conflict, Iranian President Ebrahim Raisi has said. He also blasted the West over alleged reluctance to help end the hostilities.

In an interview with Qatar-based Al Jazeera on Saturday, Raisi said that Washington “is asking us not to move while providing broad support to the Zionist entity… This is an invalid demand.”

The Iranian president also claimed that Israel’s expanded ground operations in Gaza were a failure, describing it as “the second victory [for Palestinians] following [the launch of] Operation al-Aqsa Storm,” referring to the initial surprise attack by Hamas on Israel on October 7.

He also said that the United States had sent messages to the ‘Axis of Resistance’ – referring to an informal alliance of anti-Western and anti-Israel forces in the Middle East – and “received a practical and public answer on the ground.”

Raisi went on to accuse the US and some unnamed European countries of “obstructing the ceasefire in Gaza,” calling such policies “a crime.” He added that “the United States’ calculations in the region are completely wrong, and said it will not achieve its goals with a new Middle East,” stressing that Tehran’s support for the Palestinians “is not subject to compromise.”

After the Hamas attack on Israel earlier this month, US President Joe Biden pledged unconditional support for Israel while warning Iran to be “careful.” At the same time, he stopped short of backing a cessation of hostilities, with several US media outlets reporting that the State Department had distributed a memo to its diplomats advising them to avoid calling for “de-escalation” or a “ceasefire” in Gaza.

Publicly, Biden has said that ceasefire talks cannot begin until Hamas releases more than 200 hostages. Meanwhile, on Monday, EU foreign policy chief Josep Borrell called for a “humanitarian pause” in the conflict, saying he believed there was consensus among the bloc’s members on the matter.

Raisi’s comments come after Iranian Foreign Minister Hossein Amir-Abdollahian warned the US that “new fronts will be opened up” against Washington if it does not change its policies in the Middle East, including its unequivocal support for Israel.
Aache maneno mengi aingie vitani awasaidie magaidi hamas
 
Ah wapi, mbona juzi waliingiliwa mpaka chumbani na wanamgambo tu wa Hamasi. Halafu hawana lolote iweje kupambana na wanamgambo tu Manuari za Marekani zinasogea, wanachoweza kuvuja majumba kuuwa wanawake na watoto.
Vip hujazungumzia kuchukua ardhi yao hilo vip
 
Chuki za waarabu na waislamu ni kubwa mno dhidi ya wayahudi mpaka mmefikia kuwaita wayahudi kua ni wazungu kwa kua tu wameukataa uislamu na uarabu.
NB: NAJUA MUNGU WA WAARABU NA WAISLAMU NDIO AMEWAAGIZA MUWE NA CHUKI.
LAKINI MUNGU WA WAYAHUD NA WAKRSTO AITWAE YEHOVA YEYE AMEWAAGIZA WAKRSTO WAWAPENDE WAYAHUDI KUPITIA BIBLIA.
SOMA KITABU CHA KUMBUKUMBU LA TORATI.
Kumb la Taourati hawakuambiwa wakristo.

Ukristu ulikuwa bado.

Hiki ni kitabu cha aganonla kale.

Usichanganye mzee.

Pia ukumbuke katika Vitabu vya wayahudi hakuna Mungu Baba, Mwana na Roho mtakatifu wana Mungu Mmoja tu, na Yehova ni jina la lugha fulani , anaweza pia kuitwa Yahwe, God ,n.k

Agano jipya na vitabu vya Paulo nso yakaanza mambo ya Baba, mwana na Roho mtakatifu.

Ukiona Biblia Jaribu kutenga context za Hebrews na Za wakristu
 
Chuki za waarabu na waislamu ni kubwa mno dhidi ya wayahudi mpaka mmefikia kuwaita wayahudi kua ni wazungu kwa kua tu wameukataa uislamu na uarabu.
NB: NAJUA MUNGU WA WAARABU NA WAISLAMU NDIO AMEWAAGIZA MUWE NA CHUKI.
LAKINI MUNGU WA WAYAHUD NA WAKRSTO AITWAE YEHOVA YEYE AMEWAAGIZA WAKRSTO WAWAPENDE WAYAHUDI KUPITIA BIBLIA.
SOMA KITABU CHA KUMBUKUMBU LA TORATI.
Acha kukurupuka sawa Mkuu wayahudi pure uzao wa Abraham ni wabantu wa afrika, na hili lilishakuwa proved zamani sana, humo kwenye biblia Kuna version feki nyingi za uongo na Kuna vitabu vingi vitakatifu vimeondolewa sababu vinafunua ukweli wote kuhusu dunia yetu ya Leo hasa kitabu cha nabii henoki.

Tusibishane sana sababu mie sio muislamu lakini ukweli lazima usemwe hawa wayahudi feki wa kizungu hata matendo ya ni chukizo kubwa kwa Mwenyezi MUNGU. Hawa walisimikwa na reptilian family ambao sio binadamu wa kawaida kabisa na wameshikiria mataifa makubwa duniani Kama marekani nandio wanaoisumbua dunia isiwe na amani, na wao ndio walileta hili taifa la wayahudi feki hapo mashariki ya kati.
 
Mkuu sisi wabantu usitufananishe na waahabeshi au Wanubi au waarabu au wayahudi tutake radhi.
Sisi ni mazalia ya KINTU na sio huyo mkalidayo wa uajemi Ibrahim.
NB: WAPI ENOCH MUEBRANIA KAZUNGUMZIA KUHUSU WABANTU AU ITAKUA WEWE SIO MBANTU.
AFU HUWEZI KUTUMIA TORATI YA WAYAHUDI ILIYOANDIKWA NA WAEBRANIA KUWAELEZEA WABANTU NA ASILI YETU
DHANA YA WAYAHUDI FEKI AU WAZUNGU IMELETWA NA WAARABU WAISLAMU KWA SABABU YA CHUKI ZAO KWA WAYAHUDI NA MJI WAO WA SAYUNI AMBAO WAARABU WALIUBADILI JINA NA KUUITA KUDUS.
Screenshot_20231030-091826.png
Screenshot_20231030-091757.png
 
Acha ujinga pia punguza miemko hawa wayahudi feki wa kizungu wamewekwa hapo na reptilian family kwa ajili ya kuharibu utamaduni wa mashariki ya kati, na teknolojia zote kubwa unazoziona zilishakuepo kipindi cha nyuma B.C(Before CHRIST).

Na kwasasa zinatokea pale Nevada Jimbo la marekani area 51 hakuna cha mzungu yeyote Wala albino feki wa kiyahudi anayehusika na uvumbuzi wowote kwenye eneo Hilo.

Mkuu ongeza nyama hapo kwenye reptilian family na uvumbuzi wa teknolojia, hao reptilian family ni kina nani? Na hiyo teknolojia kwanini iwe Nevada tu na sio sehemu nyingine duniani?.
 
Acha ujinga pia punguza miemko hawa wayahudi feki wa kizungu wamewekwa hapo na reptilian family kwa ajili ya kuharibu utamaduni wa mashariki ya kati, na teknolojia zote kubwa unazoziona zilishakuepo kipindi cha nyuma B.C(Before CHRIST).

Na kwasasa zinatokea pale Nevada Jimbo la marekani area 51 hakuna cha mzungu yeyote Wala albino feki wa kiyahudi anayehusika na uvumbuzi wowote kwenye eneo Hilo.
Chuki dhidi ya wayahudi ilianzia kwa muhamad na sishangai wafuasi wake mkishabikia.
Soma Qur'an sura ya 2:191 na sura ya 3:28 na sura ya 9:30 kwa ufupi tu.
NB: BAADA YA KUSHINDWA NA WAYAHUDI NDIO MAANA WAARABU WAMEKUJA NA DHANA YA WAYAHUDI FEKI NA WANASINGIZIA WAYAHUDI WALIKUA WABANTU
 
Anaeharibu amani ya mashariki ya kati ni marekani aliyetoka kwake huko Amerika ya kaskazini kwa kihelele cha kujifanya polisi wa dunia na kusimika taifa feki la wayahudi wa kizungu.

Muingereza ndio alisimamia mchakato wa kuundwa kwa Israeli mwaka 1948 chini ya nataka za UN.
Soma historia vizuri
 
Chuki dhidi ya wayahudi ilianzia kwa muhamad na sishangai wafuasi wake mkishabikia.
Soma Qur'an sura ya 2:191 na sura ya 3:28 na sura ya 9:30 kwa ufupi tu.
NB: BAADA YA KUSHINDWA NA WAYAHUDI NDIO MAANA WAARABU WAMEKUJA NA DHANA YA WAYAHUDI FEKI NA WANASINGIZIA WAYAHUDI WALIKUA WABANTU
Kumbe wew unaongozwa na mahaba ya dini
 
Mkuu sisi wabantu usitufananishe na waahabeshi au Wanubi au waarabu au wayahudi tutake radhi.
Sisi ni mazalia ya KINTU na sio huyo mkalidayo wa uajemi Ibrahim.
NB: WAPI ENOCH MUEBRANIA KAZUNGUMZIA KUHUSU WABANTU AU ITAKUA WEWE SIO MBANTU.
AFU HUWEZI KUTUMIA TORATI YA WAYAHUDI ILIYOANDIKWA NA WAEBRANIA KUWAELEZEA WABANTU NA ASILI YETU
DHANA YA WAYAHUDI FEKI AU WAZUNGU IMELETWA NA WAARABU WAISLAMU KWA SABABU YA CHUKI ZAO KWA WAYAHUDI NA MJI WAO WA SAYUNI AMBAO WAARABU WALIUBADILI JINA NA KUUITA KUDUS.
View attachment 2797670View attachment 2797671
Wapi nimesema kwamba kitabu cha henoki kimezungumzia wayahudi Kama wabantu, wew endelea kuota kwa mahaba ya kidini sababu wew upo sawa nawale wanaosema pyramid zilijengwa na waisraeli huko misri kwa lengo la kuhifadhia mapharaoh. Tuishie hapa tu kila mtu abakie kuamini kile anachoona ni ukweli, Wala Haina haja ya kubishana.
 
Back
Top Bottom