Iran: Tunaonya tena kuwa Gaza itageuka makaburi kwa majeshi ya Israel

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Siku moja baada ya kutoa onyo kwa IDF kuwa wakiingia ardhini Gaza basi Iran itaingilia kati leo tena Iran wamerudia tena onyo hilo wakienda mbali zaidi na kusema kuwa Gaza itageuka uwanja qa vita kubqa na majeshi ya israel itakuwa ndo makaburi yao hapo.

Iran pia imeanza kuamsha na nchi zingine za kiarabu kurally aganinst Israel occupation huko Gaza na kusisitiza kuwa hayo machafuko ndo yataleta sululisho la kudumu kwa nchi ya Palestina.

Iran has again cautioned Israel against launching a ground offensive into the Palestinian enclave

Iranian Foreign Minister Hossein Amir-Abdollahian has warned that if diplomatic efforts to stop Israeli airstrikes and prevent a ground offensive on Gaza are unsuccessful, there is a risk of the conflict escalating uncontrollably, with multiple regional players joining the fight.

“If the measures aimed at immediately stopping the Israeli attacks that are killing children in the Gaza Strip end in a deadlock, it is highly probable that many other fronts will be opened,” Hossein Amir-Abdollahian told Al Jazeera on Sunday, reiterating a warning Iran had voiced repeatedly over the past week.

“If the Zionist entity [Israel] decides to enter Gaza, the resistance leaders will turn it into a graveyard of the occupation soldiers,” he added, referring to Hamas.

On his diplomatic tour of the region, the Iranian minister met with a political leader of Hamas, Ismail Hanieyh, in Qatar, where he rallied other Islamic countries to support Palestine, and assured that Iran will continue its efforts to stop the “war crimes committed by the Zionists.”

“The Islamic Republic of Iran will never back down on its principles and values in support of the Palestinian nation,” he stressed.
 
Umeme umekatika huku kuanzia saa 11 alfajiri, ubora wetu wa elimu unashuka mno, Rwanda ameenda Zimbabwe kutafuta waalimu wa kiingereza, SA inakwenda Kenya kutafuta waalimu wa kiswahili! (UCT wanaanzisha kitengo cha kufundisha kiswahili), dot.com wapo busy na ya Gaza, wakati wa Gaza au Israel hawaijui Tanzania, Iran 🇮🇷 anatakiwa afanye action sio kulalama tu, mbona mpaka leo ameshindwa kulipa kisasi kwa mwana fizikia wake wa nyukilia aliyepigwa risasi kwenye viunga vya Teheran na mossad agents!
 
Umeme umekatika huku kuanzia saa 11 alfajiri, ubora wetu wa elimu unashuka mno, Rwanda ameenda Zimbabwe kutafuta waalimu wa kiingereza, SA inakwenda Kenya kutafuta waalimu wa kiswahili!(UCT wanaanzisha kitengo cha kufundisha kiswahili),dot.com wapo busy na ya Gaza,wakati wa Gaza au Israel hawaijui Tanzania, Iran 🇮🇷 anatakiwa afanye action sio kulalama tu, mbona mpaka leo ameshindwa kulipa kisasi kwa mwana fizikia wake wa nyukilia aliyepigwa risasi kwenye viunga vya Teheran na mossad agents!
Sasa Kaanzishe mada Husika
Ndio maana Kuna Majukwaa Elimu,Siasa,Michezo nk hatuwezi kuwa na Jambo Moja tu
Hiyo Rwanda wapo wanao Sema Bora Ya Tanzania
 
Umeme umekatika huku kuanzia saa 11 alfajiri, ubora wetu wa elimu unashuka mno, Rwanda ameenda Zimbabwe kutafuta waalimu wa kiingereza, SA inakwenda Kenya kutafuta waalimu wa kiswahili! (UCT wanaanzisha kitengo cha kufundisha kiswahili), dot.com wapo busy na ya Gaza, wakati wa Gaza au Israel hawaijui Tanzania, Iran 🇮🇷 anatakiwa afanye action sio kulalama tu, mbona mpaka leo ameshindwa kulipa kisasi kwa mwana fizikia wake wa nyukilia aliyepigwa risasi kwenye viunga vya Teheran na mossad agents!
Iran muhuni tuu. Walimuua general khasimu solemani na ikaisha ivyo ivyo kwa kulusha fataki kule iraq.
 
Back
Top Bottom