Iran to mass-produce new laser-guided anti-tank system

KABAVAKO

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
229
32
mbadakhsh20120707104305357.jpg

Iran's Defense Minister Brigadier General Ahmad Vahidi launches the mass production line of the nation’s newest laser-guided anti-armor missile, describing it as one of the most advanced.

“The Dehlavieh missile is one of the most advanced anti-armor missiles designed to destroy a variety of advanced tanks that are equipped with reactive armor,” Gen. Vahidi said Saturday in a ceremony inaugurating the mass production line of the weapon system.
He emphasized that the Dehlavieh’s “specific guidance system” makes it particularly resistant against any sorts of electronic warfare systems.
“The warhead and launch engine of the missile, in addition to being mobile and shoulder-launchable, makes the Dehlavieh missile system a strategic battle hardware in anti-tank warfare,” said the Iranian defense minister.
Dehlavieh is the name of a region in southern Khuzestan Province where the Islamic Republic’s first Defense Minister Dr. Mostafa Chamran attained martyrdom while personally guiding his forces against the invading armor units of the Iraqi forces in the 1980’s war the former dictator Saddam Hussein imposed on Iran.

Elaborating further on the missile’s features, Gen. Vahidi added the system was so designed to strike stationary targets on the ground as well as mobile armor targets.

He also noted that with the mass delivery of the missile system to ground forces of the regular army and the Islamic Revolution’s Guards Corps (IRGC), the anti-armor capabilities of our armed forces will be considerably enhanced.
source: PressTV - Iran to mass-produce new laser-guided anti-tank system
 
Mimi nina wasi-wasi sana na uwezo wa hawa jamaa.
1.Mwaka 1978 wakati wa vita na Idd Amini Marehemu Gadafi aliwapatia Uganda Msaada wa ndege ambayo wakati huo ilikuwa tishio sana maana tulikuwa hatuna silaha ya kuweza kuiangusha na isitoshe wao Uganda walikuwa na vifaru vizuri sana T55 na sisi tulikuwa tunatumia tu vifaru vya kichina T34 na vingine duni sana,Gadafi alimletea pia BM21 Mwishowe pamoja na kuwa na vifaa vizuri vya kisasa lakini havikufua dafu mbele yetu.
2.Iran inajigamba mno mara itafuta Taifa furani kwenye ramani ya Dunia, mara itateketeza vituo 35 vya Marekani with-in a second ama kweli KUCHAMBA KWINGI MWISHOWE UNAKAMATA MAVI.sikatai wanaweza kuwa na vifaa vizuri sana lakini hawana jadi ya vita vya kisasa labda ingekuwa ya MAJAMBIA na UTEKAJI NYARA WATU,KUJITOA MHANGA, hapo ningekubali jirani yake tu Iraq alimshinda mpaka mfereji wa Hormz ulifunwa enzi za Sadam Hussein leo awaweze wazee wa shoka?????
 
Ndugu yangu, Sadamu Hussein alikuwa akisaidiwa na nchi za Magharibi kipindi hicho lakini Iran ilikuwa na shida nyingi zikiambata na vikwazo vya nchi hizo hizo za magharibi. Hata hivyo Iran ilifanikiwa kumpiga Sadamu. Hakuna ubishi kuwa Marekani inauwezo zaidi ya Iran, lakini unapoonewa unafanya nini? Bila shaka huna budi kujitetea. Hiki ndicho Iran inachosema. Iran haijawahi kushambulia nchi yoyote katika historia yake. Ninashangaa kudai kuwa ni watekaji na walipua mabomu.
 
Kama huna cha kuchangia ungekaa kimya tu.
 
[h=1]Compare Countries Results[/h]

Iran

Israel
CURRENT GFP RANK
12
10
Total Population77,891,2207,473,052
Military Manpower Available46,247,5563,511,190
Fit for Military Service39,556,4972,963,642
Reaching Military Age Yearly1,392,483121,722
Active Military Personnel545,000187,000
Active Military Reserves650,000565,000
Total Aircraft1,0301,964
Total Land-Based Weapons12,39312,552
Total Naval Units26164
Towed Artillery1,575550
Merchant Marine Strength7410
Major Ports and Terminals34
Aircraft Carriers00
Destroyers30
Frigates50
Submarines193
Patrol Coastal Craft19842
Mine Warfare Craft70
Amphibious Operations Craft260
Defense Budget / Expenditure$9,174,000,000$16,000,000,000
Foreign Reserves$75,060,000,000$66,980,000,000
Purchasing Power$818,700,000,000$219,400,000,000
Oil Production4,172,000 bbl3,806 bbl
Oil Consumption1,809,000 bbl231,000 bbl
Proven Oil Reserves137,600,000,000 bbl1,940,000 bbl
Total Labor Force25,700,0003,080,000
Roadway Coverage172,927 km18,290 km
Railway Coverage8,442 km975 km
Waterway Coverage850 km0 km
Coastline Coverage2,440 km273 km
Major Serviceable Airports31948
Square Land Area1,648,195 km20,770 km

bbl = Barrel of Oil (1 bbl = 42 US Gallons or 159 litres)
 
Takwimu zako hizo ni za kwenye karatasi tu lakini ukiweka kwenye utendaji ni big ZERO Hata kwa Sadamu Husein Kulikuwa na majigambo kama hayo lakini walipokuwa kwenye Action ali-prove ZERO.
 
Mkuu TAIFA la IRAN lina ubunifu sana katika nyanja za sayansi na tekinolojia na wana wataalamu mahili sana, kuna wakati fulani waliwapa msaada wa zana za kivita wahasi wa IRAQ wakaweza kufanikiwa kulipua vifaru na magari ya deraya ya Kimerikani mpaka Merikani ikafikia hatua ya kuilalamikia IRAN kuhusu hilo.

Tukumbuke vile vile vita kati ya Israel na Hazibolla nchini Lebanon, wanamgambo wa Hazibolla waliwapa wakati mgumu wa Isreal nadhani iliwachukua zaidi ya miezi mitatu wakipambana na wanamgambo hao na sio kwamba waliwashinda! Kilicho tokea ni kwamba wote walikubaliana kusitisha VITA; baada ya vita hivyo Israel ililamikia IRAN kwamba ndio iliyowapa mafunzo ya kijeshi na silaha wanamgambo hao - sisemi Merikani/Israel inaogopa IRAN ,ninacho sema hapa ni kwamba wanajua fika kwamba IRAN sio IRAQ, Syria au Afghanistani - wanaweza kuanzisha vita dhidi ya IRAN lakini hawawezi kutabiri vitakwishaje! IRAN sio lelemama.
 
Ndugu yangu, Sadamu Hussein alikuwa akisaidiwa na nchi za Magharibi kipindi hicho lakini Iran ilikuwa na shida nyingi zikiambata na vikwazo vya nchi hizo hizo za magharibi. Hata hivyo Iran ilifanikiwa kumpiga Sadamu. Hakuna ubishi kuwa Marekani inauwezo zaidi ya Iran, lakini unapoonewa unafanya nini? Bila shaka huna budi kujitetea. Hiki ndicho Iran inachosema. Iran haijawahi kushambulia nchi yoyote katika historia yake. Ninashangaa kudai kuwa ni watekaji na walipua mabomu.

Mkuu unajua matatizo ya watu wengi duniani ni kuamini kila kinacho tangazwa na vyombo vya habari vya nchi za magharibi, watu hatutafakali kwamba habari nyingi kuhusu third world ni propaganda tu! Chukulia mtu kama Sadaam Hussein kwa mfano, tunasahau kwamba jamaa huyu alipewa jeuri na silaha na nchi za magharibi especially Merikani, Merikani walitoa misaada hiyo hili walipize kisasi cha kuondolewa madarakani kwa swahiba wao mkuu Shaha Mohammed REZA Palavi (kama nakumbuka vizuri) kitendo hicho kiliwahudhi sana Wamerikani kwani maslihi yao katika nchi ya IRAN yalisitishwa na Ayatolla Khomeni.

Mtu uwezi kuamini kwamba, hata hizi silaha za kibailojia walizo kuwa nazo wa IRAQ wakati wa enzi za Sadaam walipewa mafunzo na Wamerikani jinsi ya kuzitengeneza, Ramsfield alihusika sana katika kufanikisha hilo lakini baadae ndie alikuwa mtu wa kwanza kumlahumu sana Sadaam Hussein alipo vamia Kuwait - wakati uvamizi huo ulihidhinishwa na Magret Thatcher akishilikiana wa Merikani ili wamtege Sadaam wapate kisingizio cha kumuondoa madarakani!
 
Mh...IRAK is free simply because of IRAN ata US wenyewe wamesema kua wamepoteza watu wengi na fadha nyingi na still hawakuweza kuifanya IRAK kua himaya yao kwani IRAN iliwapatia vifaa vya kivita wanamgambo wa IRAK na kuufanya mzozoz huo wa vita kua mzito kwa US...AFGHANISTAN the same kwani kuna baadhi ya silaha zilikamatwa na original yake ni IRAN ambazo zimekua zikitumiwa na TALIBAN kwanini IRAN imekua ikiwapa silaha wanamgambo wa IRAK na TALIBANI jibu ni moja kua the aim of US is to topple the present regime na kuweka ma puppet wao then mwishowe wanaomba wa station military bases zao kwani wanakua na viongozi tiifu kwao mfano BAHRAIN,SAUD.QATAR na MISRI wakati wa MUBARAK hawa viongozi ni madikteta na wengine wanarithishana utawala still US na its allies dont point the finger to these regimes...Mwisho wa siku IRAK imekua ni ngome ya IRAN and US wamekubali kua nguvu zao zote zimekua zero...jana tumeona US secretary of state Hilary clinton amesema AFGHANISTAN is our major non NATO allies thats means watawasapoti kwa kila hali hasa kijeshi lakini lengo kubwa ni kupata military bases ili akae pale na ikumbukwe Afghanistan imepakana na RUSSIA,IRAN,PAKISTAN,CHINA and INDIA na nchi zote hizo hasa IRAN,RUSSIA,CHINA marekani inawataget ili kupunguza nguvu zao za kivita...But has usual IRAN itafanya juu chini ikiwemo sabotage ilimradi US aondoke in 2014....
 
Kama huna cha kuchangia ungekaa kimya tu.

Siwezi kukaa kimya wakati wewe ZOMBA Unashabikia vitu vya hatari kama vita kama unaona na unajisikia kuwasifia Iran kwa nini usisifie MAENDELEO YAO????? HAPO NITAKUUNGA MKONO kwa mambo ya vita sitakuunga mkono kabisa maana vita mwenyewe naijua na nimeshapigana najua madhara yake kwangu na kwa raia inakopiganiwa.
 
aliemfanya iran awe na jeuri na nguvu ni america kwa sababu yeye ndie aliemuondolea maadui wake wakubwa na anaowaogopa sadam hussein na taliban.
 
[h=1]Compare Countries Results[/h]

Iran

Israel
CURRENT GFP RANK
12
10
Total Population77,891,2207,473,052
Military Manpower Available46,247,5563,511,190
Fit for Military Service39,556,4972,963,642
Reaching Military Age Yearly1,392,483121,722
Active Military Personnel545,000187,000
Active Military Reserves650,000565,000
Total Aircraft1,0301,964
Total Land-Based Weapons12,39312,552
Total Naval Units26164
Towed Artillery1,575550
Merchant Marine Strength7410
Major Ports and Terminals34
Aircraft Carriers00
Destroyers30
Frigates50
Submarines193
Patrol Coastal Craft19842
Mine Warfare Craft70
Amphibious Operations Craft260
Defense Budget / Expenditure$9,174,000,000$16,000,000,000
Foreign Reserves$75,060,000,000$66,980,000,000
Purchasing Power$818,700,000,000$219,400,000,000
Oil Production4,172,000 bbl3,806 bbl
Oil Consumption1,809,000 bbl231,000 bbl
Proven Oil Reserves137,600,000,000 bbl1,940,000 bbl
Total Labor Force25,700,0003,080,000
Roadway Coverage172,927 km18,290 km
Railway Coverage8,442 km975 km
Waterway Coverage850 km0 km
Coastline Coverage2,440 km273 km
Major Serviceable Airports31948
Square Land Area1,648,195 km20,770 km

bbl = Barrel of Oil (1 bbl = 42 US Gallons or 159 litres)
Ukubwa wa pua si wingi wa makamasi ndugu takwimu hazina mshiko.
 
Mimi nina wasi-wasi sana na uwezo wa hawa jamaa.
1.Mwaka 1978 wakati wa vita na Idd Amini Marehemu Gadafi aliwapatia Uganda Msaada wa ndege ambayo wakati huo ilikuwa tishio sana maana tulikuwa hatuna silaha ya kuweza kuiangusha na isitoshe wao Uganda walikuwa na vifaru vizuri sana T55 na sisi tulikuwa tunatumia tu vifaru vya kichina T34 na vingine duni sana,Gadafi alimletea pia BM21 Mwishowe pamoja na kuwa na vifaa vizuri vya kisasa lakini havikufua dafu mbele yetu.
2.Iran inajigamba mno mara itafuta Taifa furani kwenye ramani ya Dunia, mara itateketeza vituo 35 vya Marekani with-in a second ama kweli KUCHAMBA KWINGI MWISHOWE UNAKAMATA MAVI.sikatai wanaweza kuwa na vifaa vizuri sana lakini hawana jadi ya vita vya kisasa labda ingekuwa ya MAJAMBIA na UTEKAJI NYARA WATU,KUJITOA MHANGA, hapo ningekubali jirani yake tu Iraq alimshinda mpaka mfereji wa Hormz ulifunwa enzi za Sadam Hussein leo awaweze wazee wa shoka?????
Kwa nini watu wanapozungumza juu ya Iran wanawalinganisha na Waarabu? Kama huna uelewa mzuri si afadhali ukae kimya? Umetoa mifano ya Gaddafi kumpa silaha Amin, unajua Iran hutengeneza silaha zake yenyewe? Unajua mwaka jana imetungua ndege ya MMrekani ya kijasusi ambayo haionekani kwenye radar? Unajua tayari wamepeleka wanaanga, ikiwa ni taifa la tano tu duniani kufana hivyo? Unajua wako mbele kwa mambo ya Laser hata kuliko Ulaya yote? Unajua kuwa program yao ya nuklia ni indigenous-hata Israel hawawezi hiyo?
Watu wamejazwa kasumba ya kuwaabudu wazungu hadi hawaamini mtu yeyote wa taifa jingine. Endelea, utafika!
 
Iran ni nchi ya kiarabu hayo unayosema can you prove???hizo Takwimu zako ndugu si warrant ya kuweza kushinda vita yaonekana wewe Umejazwa kasumba ya kuwaabudu hao waarabu,maana kuangusha ndege ya amerika si warrant ya wewe kuwashinda vitani na nchi za magharibi labda tu kama unataka kujifurahisha au kama unaota ndota za mchana.
Iran kama Iran haiwezi hata kidogo hizo silaha anazoonyesha si ngeni sana kwa wataalamu wa mambo hayo sana sana yeye anaonyesha SHOW OF FORCE kitu ambacho ni cha mfa maji kama vita itatokea mwenyewe jibu utalipata maana asilimia 100 vita itapiganiwa kwake hapo ndipo taabu itakuwa kwa raia wasio na hatia na kama Iran hana uwezo wa kupeleka vita Marekani yaani vita akapiganie New-york n.k.
wewe kama ni Pro-Arab ujue hivyo kama unawaabudu waarabu na kuwapenda basi usiombee vita itokee maana wataisha kama Nzige na si vizuri watu kufa kwa sababu tu ya sifa kuwa Iran ina uwezo.
 
Kwa wenye akili, mjadala huwa na misingi ambayo inakubaliwa kwa wote kama marejeo (reference). Ikiwa mtu anapinga hata hiyo reference, kwa kweli hakuna maana kujadili naye, maana haja yake kubwa ni ushindi na kuonesha kuwa anajua.
Wairan ni Waajemi (Wafursi) katika historia, anthropolojia na hata wao wenyewe wanavyojitambulisha. Ikiwa huyu muungwana anapinga hata hilo............basi, umeshinda.
Kuna msemo wa Kiarabu usemao 'mjinga mbaya wa wote ni yule ambaye hajui na hajijui kuwa hajui'
 
iran ni nchi ya kiarabu hayo unayosema can you prove???hizo takwimu zako ndugu si warrant ya kuweza kushinda vita yaonekana wewe umejazwa kasumba ya kuwaabudu hao waarabu,maana kuangusha ndege ya amerika si warrant ya wewe kuwashinda vitani na nchi za magharibi labda tu kama unataka kujifurahisha au kama unaota ndota za mchana.
Iran kama iran haiwezi hata kidogo hizo silaha anazoonyesha si ngeni sana kwa wataalamu wa mambo hayo sana sana yeye anaonyesha show of force kitu ambacho ni cha mfa maji kama vita itatokea mwenyewe jibu utalipata maana asilimia 100 vita itapiganiwa kwake hapo ndipo taabu itakuwa kwa raia wasio na hatia na kama iran hana uwezo wa kupeleka vita marekani yaani vita akapiganie new-york n.k.
Wewe kama ni pro-arab ujue hivyo kama unawaabudu waarabu na kuwapenda basi usiombee vita itokee maana wataisha kama nzige na si vizuri watu kufa kwa sababu tu ya sifa kuwa iran ina uwezo.

iran sio taifa la kiarabu ila ni taifa la kiislamu...na sio waarabu wote ni waislamu kuna idadi kubwa sana ya wakristu misri,lebanon,syria,irak ata nauko iran so usitumie nguvu nyingi kujifunza....na iran ugonvi wake mkubwa na mataifa ya kiarabu ni kwasababu zimeruhusu nchi zao kutumika kwa kuhifadhi majeshi ya marekani
 
Mkuu unajua matatizo ya watu wengi duniani ni kuamini kila kinacho tangazwa na vyombo vya habari vya nchi za magharibi, watu hatutafakali kwamba habari nyingi kuhusu third world ni propaganda tu! Chukulia mtu kama Sadaam Hussein kwa mfano, tunasahau kwamba jamaa huyu alipewa jeuri na silaha na nchi za magharibi especially Merikani, Merikani walitoa misaada hiyo hili walipize kisasi cha kuondolewa madarakani kwa swahiba wao mkuu Shaha Mohammed REZA Palavi (kama nakumbuka vizuri) kitendo hicho kiliwahudhi sana Wamerikani kwani maslihi yao katika nchi ya IRAN yalisitishwa na Ayatolla Khomeni.

Mtu uwezi kuamini kwamba, hata hizi silaha za kibailojia walizo kuwa nazo wa IRAQ wakati wa enzi za Sadaam walipewa mafunzo na Wamerikani jinsi ya kuzitengeneza, Ramsfield alihusika sana katika kufanikisha hilo lakini baadae ndie alikuwa mtu wa kwanza kumlahumu sana Sadaam Hussein alipo vamia Kuwait - wakati uvamizi huo ulihidhinishwa na Magret Thatcher akishilikiana wa Merikani ili wamtege Sadaam wapate kisingizio cha kumuondoa madarakani!
Mkuu mbona na wewe unaingia kwenye mkumbo uleule unaoushangaa?! Wakati Iraq anasaidiwa na mataifa ya magaribi unajisahaulisha kuwa iran alikuwa anasaidiwa na USSR?!!
 
Mkuu siamini kama nimeingia katika mkumbo wowote wa WEST vs EAST, sikumbuki kama nchi ya IRAN ilishawahi kuvamia nchi yoyote huru DUNIANI; sasa ni nchi gani iliyo shawishi IRAQ kuvamia IRAN bila kuchokozwa? Mchango wangu ulikuwa unaeleza zaidi uwezo wa kisayansi na tekinilojia wa IRAN - mengine yalikuwa ni angalizo tu sio ushabeki MKUU.
 
Back
Top Bottom