Iran na Urusi wana mkataba wa siri wa kuunda nyuklia

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
IRAN AND RUSSIA SECRET NUCLEAR DEAL WOULD ALLOW URANIUM TRANSIFER TO TEHRAN.

International Atomic Energy Agency (IAEA) wamesema kwamba, Iran inakaribia kutengeneza mabomu ya nyuklia pamoja na silaha za nyuklia. Iran katika kuhakikisha inatimiza ndoto zake za kumiliki silaha za nyuklia, imeingia mkataba wa siri na Urusi ili Urusi kuipa Tehran Uranium kwa ajili ya kufanikisha kuwa na bomu la nyuklia.

Msemaji wa karibu katika makubaliano kati ya Iran na Urusi amesema kuwa, Iran kwasasa teyari inamiliki silaha za nyuklia ingawaje bado bomu la nyuklia haliundwa.

Pia AZERBAIJAN YARUHUSU ISRAEL KUTUMIA ANGA YAKE KUISHAMBULIA IRAN.
 
The rogue regimes in both Russia and Iran have no future, they're surviving on a borrowed time. The civilized world cannot accept to be held to ransom by these barbaric entities.
 
Civilized world ndo ipi?
 
The rogue regimes in both Russia and Iran have no future, they're surviving on a borrowed time. The civilized world cannot accept to be held to ransom by these barbaric entities.
Acha ujinga wewe hao unao waita civilized si ndiyo wameleta machafuko kila Kona Libya ilikuwa nchi nzuri huduma safi imeharibiwa, Iraq,Syria, somalia,congo Africa ya kat nk
 
Toa utoto wako hapa, hivi umefikia darasa la ngapi kwanza tujue, Libya ni matokeo ya ujinga wa viongozi wasio taka ukweli, matokeo ya udikteta bwashee, mtu nchi anageuza kama familia yake upumbavu wako huo tutolee hapa.

Kwanini nchi zingine kuwe na mzunguko wa uongozi ila isiwe Libya na hizi taka taka za kiafrika, ukoloni ulipita ok, lazima kuwe na mda maalumu kisheria kwa ukomo wa madaraka ukikataa usitulaumu ok
 
Mbona UK hakuna mzunguko kiongozi wa Juu,mbn Saudi arabia hakuna mzunguko wa kiongozi wa juu,North Korea je???ww jamaa ujui kitu hii dunia uijui vzr....
 
Back
Top Bottom