Iran ilishambulia moja kwa moja kambi za Marekani nchini Iraq

Hili jamaa jinga sana,watu wanapokea kipigo huko balaa ,lenyewe liko hapa kupiga propaganda.
Iran hana hata ubavu kugusa mambo ya US na izraeli.
Ndo mana yuko kimya.
Hujajistukia kwa uropokaji wako!?
Ushahidi huo unaletwa we unatuimbia twaarab hapa.
Na mna bahati silaha zilizokua zapelekwa Yemen zimezuiliwa kati zingefika habari mngezidi kuipata pale red sea .
 
Na si hapo tu Marekani wana bases zaidi ya 13 nchini Iraq.

Baadhi ya base hizo ni Abu Ghraib, Khadimiya, Fallujah, Al Khalis (imefungwa), Ninewah, Umm Qasr, Surbatiyah, Taji, Balad, Baghdad, Muharraq (uwanja wa ndege) na huu uwanja upo karibu na uwanja wa ndege wa Bahrain.

Uwanja wa ndege wa Bahrain walindwa na kuendeshwa na jeshi la Marekani., huku polisi wa Bahrain wakifanya doria tu huko pembezoni au twaita parameters.
Nimemtajia mjini ambao ulipigwa kombora kuhusu Iraq kulikuwa na base 505 katika ukaliaji wa mabavu wa Marekani, lakini bunge la Iraq lilikataa matakwa ya Pentagon ya kuweka base 58 "ya kudumu" baada ya kujiondoa mwaka 2011. Vikosi vya Marekani vimechukua base tangu 2014

Lakini sasa hivi wataondoka wenyewe.
 
Hili jamaa jinga sana,watu wanapokea kipigo huko balaa ,lenyewe liko hapa kupiga propaganda.
Iran hana hata ubavu kugusa mambo ya US na izraeli.
Ndo mana yuko kimya.
Kapime mkojo utakuwa unaujauzito unakufanya uwe na hasira na kichefu chefu,
 
Wanaukumbi.

BREAKING:

⚡ 🇺🇸🇮🇷 Iran ilishambulia moja kwa moja kambi za Marekani nchini Iraq

Maafisa wa Marekani wanaripoti shambulizi la Kombora la Balestiki la Iran na Mashambulizi ya Drone ambayo ndiyo kwanza yalilenga Ubalozi mdogo wa Marekani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ndani ya Jiji la Erbil Kaskazini mwa Iraq.
---
Iran directly attacked US bases in IraqUS Officials are reporting an Iranian Ballistic Missile and Drone Attack which just targeted the US Consulate and International Airport within the City of Erbil in Northern Iraq.

The Explosion and Shockwave from the Ballistic Missile Attack have caused Significant Damage to nearby Residential Structures, with Local Authorities conducting Search-and-Rescue Operations for Buildings near the Impact Site.

Iran announced that it attacked ISIS terrorist cells in Iraq, which are working against Iran's state.The US anti-aircraft system failed to stop the missiles, and it was all captured on video.

There are probably no direct victims in the consulate because the US and Iran still have command communication and are notified of such attacks.
Yani ballistic kama ile uzuie na anti aircraft?
zile missiles hata iron dome zingekuwa 100 isingesaidia.
 
🇮🇷 ⚡ 🇵🇰 Iran sasa inashambulia Makao Makuu ya magaidi ndani ya Pakistan kwa makombora ya balestiki

Makao makuu ya Jaish Ul Adl yalipigwa na kuharibiwa na makombora ya balestiki na drones

Vituo viwili vya kundi la kigaidi la Jaish Ul-Adl huko Balochestan viliharibiwa, ripoti za vifo vikubwa.

t.me/megatron_ron


View: https://x.com/megatron_ron/status/1747312076131868674?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw


View: https://twitter.com/Osint613/status/1747357866413928789?t=hGVgeKTZxhl5C3Nq7H0Qog&s=19
 
Back
Top Bottom