Iramba tuungane kumtoa Mwigulu Nchemba anatutia aibu

Bora propaganda za kijinga kuliko za kitoto kama hizi ulizoleta kwenye thread yako.

Mh. Chemba amewashika pabaya.

Mtabadilisha sana maeneo ya makazi ili kuhalalisha maneno yenu ya kitoto kama haya. Tindu Lissu amefanya nini zaidi ya kuwa Dar kila kukicha.

Come rain or shine, Mh. Chemba bado ataendelea kuwa mbunge ikichukuliwa kuwa mastermind wa kigaidi yuko Segerea.

Kwakutukana mbele ya bunge kawashika pabaya? Kazi mnayo
 
Mwigulu ni mwanasiasa anayejua kutumia kipaji na kutumia mazingira. Usitarajie kuwa anavyoongea na chadema ndivyo jimboni alivyo. Huyu ni kiongoz wa tofauti sana na kwa kweli kwa chadema kuwaza kumwondoa ni kama mtoto mchanga kuwaza kupanda mlima kilimanjaro. Huyu ni mtu wa watu. Anaona mbali. Vitu vinaonekana jimboni. Na mvuto wake haijawahi tokea huku.
 
mwigulu ni mwanasiasa anayejua kutumia kipaji na kutumia mazingira. Usitarajie kuwa anavyoongea na chadema ndivyo jimboni alivyo. Huyu ni kiongoz wa tofauti sana na kwa kweli kwa chadema kuwaza kumwondoa ni kama mtoto mchanga kuwaza kupanda mlima kilimanjaro. Huyu ni mtu wa watu. Anaona mbali. Vitu vinaonekana jimboni. Na mvuto wake haijawahi tokea huku.
kalibu ku kyalo shamakala!.......kajamaa kakupelile mugule eeh! Huku kinampanda [kwa wajjnja ...haambulii kitu] haturudii makosa
 
kalibu ku kyalo shamakala!.......kajamaa kakupelile mugule eeh! Huku kinampanda [kwa wajjnja ...haambulii kitu] haturudii makosa

Kyalo tegela tata, hatutapata mtu aliyekamilika lakini ukweli mwigulu amejitahidi sana. Acha kuingilia ugomvi angaliA jimboni ni mb miaka miwili hakuna mb amekuwa wa aina yake. Kumshauri pinukosile kumwite kumuile. Tumeshuhudia wabunge wa ajabu sana. Huyu mnamsema kwa chuki za vyama tu. Mimi nawenzangu tusio na vyama najua mwigulu hana mpinzani iramba. Utaniambia
 
Kyalo tegela tata, hatutapata mtu aliyekamilika lakini ukweli mwigulu amejitahidi sana. Acha kuingilia ugomvi angaliA jimboni ni mb miaka miwili hakuna mb amekuwa wa aina yake. Kumshauri pinukosile kumwite kumuile. Tumeshuhudia wabunge wa ajabu sana. Huyu mnamsema kwa chuki za vyama tu. Mimi nawenzangu tusio na vyama najua mwigulu hana mpinzani iramba. Utaniambia[/QUO
Tumeshuhudia wabunge wengi ukweli mwigulu ametupaisha haraka sana. Iramba Iina heshima angalia umeme maluga kitukutu kitusha simba mkulu zinziligi kizonzo kibigiri motomoto kaselya mbelekese mseko malendi mgongo new kiomboi yaaan sio lazima upayuke bungeni yeye anaongea na rais kila siku
 
Mshamba wa makunda,kyengege kaona maghorofa sasa ameamua kuwa director wa sinema za mauaji!
 
Kyalo tegela tata, hatutapata mtu aliyekamilika lakini ukweli mwigulu amejitahidi sana. Acha kuingilia ugomvi angaliA jimboni ni mb miaka miwili hakuna mb amekuwa wa aina yake. Kumshauri pinukosile kumwite kumuile. Tumeshuhudia wabunge wa ajabu sana. Huyu mnamsema kwa chuki za vyama tu. Mimi nawenzangu tusio na vyama najua mwigulu hana mpinzani iramba. Utaniambia[/QUO
Tumeshuhudia wabunge wengi ukweli mwigulu ametupaisha haraka sana. Iramba Iina heshima angalia umeme maluga kitukutu kitusha simba mkulu zinziligi kizonzo kibigiri motomoto kaselya mbelekese mseko malendi mgongo new kiomboi yaaan sio lazima upayuke bungeni yeye anaongea na rais kila siku
mayu unaongela umeme wa lini umeme programu ilkuwepo enzi za Kiula! mnampala huyu mtu anatuabisha!
 
Mwigulu amefanya mambo makubwa Iramba kwa muda mfupi. Kuwabana chadema haina uhusiano na mambo ya iramba. Songela tata. Watuna imazogolo. Iramba tuko nawe
Wewe Shamakala unafikiria kwa kutumia masaburi kama Chemba, ni mambo gani kafanya acheni ushabiki wa kipuuzi kwa sababu ya kupewa pombe za mia mbili mia mbili, Chemba kafanya nini sema hapa Janvini. Waooneeni mama zenu huruma jamani acheni Ushabiki wa kijinga. Toka Uhuru wMaji mbali, Hospitali mbali kuni mbali, nyumba za tembe na mbavu za mbwa halafu unashoboka mbunge kafanya mambo makubwa yapi? Nenda Ndago, Songambele, Zinziligi, Mkulu, Maguu, Msigiri mpaka kiomboi kafanya nini? Acha use...e. Tatilzo la nyie ndg. zangu wanyiramba ni uzuzu, kujipendekeza na ushamba wa kujidai mnajua kumbe sio, acheni utahira hii karine ya kutafta maendeleo sio ushabiki wa kisiasa. Nakuwilagwa atwalile ni anaulu iako kunchani mululawe.
 
Kyalo tegela tata, hatutapata mtu aliyekamilika lakini ukweli mwigulu amejitahidi sana. Acha kuingilia ugomvi angaliA jimboni ni mb miaka miwili hakuna mb amekuwa wa aina yake. Kumshauri pinukosile kumwite kumuile. Tumeshuhudia wabunge wa ajabu sana. Huyu mnamsema kwa chuki za vyama tu. Mimi nawenzangu tusio na vyama najua mwigulu hana mpinzani iramba. Utaniambia[/QUO
Tumeshuhudia wabunge wengi ukweli mwigulu ametupaisha haraka sana. Iramba Iina heshima angalia umeme maluga kitukutu kitusha simba mkulu zinziligi kizonzo kibigiri motomoto kaselya mbelekese mseko malendi mgongo new kiomboi yaaan sio lazima upayuke bungeni yeye anaongea na rais kila siku
HAkuna kitu nakasirika kama hawa watu wanaojidai wanyiramba kumbe ni Chemba, Acha ujinga wewe unakujua Zinziligi, Mkulu kuna umeme? Motomoto kuna umeme? Ndio mana nasema wanyiramba washamba kila anapoona kitu kinachofanana na nguzo ni umeme? CCM waliweka nguzo ktk vijiji ulivyovitaja kabla ya juni 2010 wakiwadanganyia wanyiramba kuwa watawaletea umeme ili wapewe kura, hakuna kijiji kimepata umeme mpaka sasa. Nina kibanda changu nilifanya wiring toka 2010 mpaka leo hakuna kitu Zinziligi unakodanganya kuna umeme, vijiji vya jirani ni Ndago pekee kwa Tarafa ya Ndago ndio ina umeme kati ya vijiji vyote zaidi ya 15 vya tarafa hii sasa wewe unajipendekeza kwa Chemba angalia litakuja kuiba mkeo ndio kazi mliolituma. Mbunge yuko bize anatengeneza video feki wananchi wake wanahangaika shida ya maji wajui bomba la maji linafafanaje karine ya 21. (You can't be serious to support this nonsence person). Eti anawambia mimi sio lazima nichangie bungeni naongea na Rais moja kwa moja, kama anampenda si angempa Uwaziri kama alivyojigamba kipindi cha kampeni kwamba atakuwa waziri wa fedha, wapi ameambulia kupewa kazi ya kutengeneza video feki () ambayo huwezi tofautisha na kumiwa kama TP.
 
Shamakala unavyompenda Chemba, mwaka huu nahisi ameahidi kukuoa ili uwe mke wa Mbunge.
 
wewe shamakala acha danganya watu .miradi ya ndago ya maji ni ya watu binafsi hyo wala sio ya huyo gaidi aliepeleka watu toka dar kwenda kufanya fujo na kuua m2 mmoja,na damu iwe mavazini mwake,namshauri akatubu,na skafu yake ya dawa,amshukuru na mganga wake aliyempa skafu,tuna wafahamu hadi wahusika wa miradi hyo ya maji,kikubwa hatuwezi kuwa na mbunge mwenye upeo na mwenye maono ya kudhulumu,sio mali tu bali hadi nafsi,
 
Back
Top Bottom