Ipp media wana bifu na mh mkapa

Nyauba

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
1,098
105
Nimekuwa nikufuatilia kwa karibu jinsi vyombo vya habari vya IPP vinavyoripoti matukio ya Raisi mstaafu wa awamu ya tatu, Mh B.W.Mkapa nikagundua kuna kachuki binafsi ya vyombo hivyoo na Mheshimiwa huyuu..

Wamejitahidi na wanaendeleaa kupandikizaa taarifa hasi dhidi ya Mh Mkapa kila wapatapo nafasi hiyoo..Rejeaa magazeti ya IPP na ITV .

Kwa mfano jana tar 20/07/20 kwenye taarifa ya saa mbili usiku ITV waliripoti kuhusu Mh Mkapa kupokea tuzo ya kutoka Jane Goodal Institute kwa niaba ya Mh Raisi Kikwete.

Cha ajabu Mh Mkapa kama mgeni rasmi wa shughuli hiyo wakati akitoa nasaha zake akashukuru taasisi hiyo kwa kumteua katika Global Leadership Award.

ITV hawakusema popote kwamba MH Mkapa kateuliwa kugombania tuzoo hiyoooo...

Wana ajendaa ganiii hawaa????
 
Mbona hilo bifu halionekani.Na vipi mkuu unatoa conclusion kwa tukio moja tu? tupe matukio matano au sita ili tuone trend.
Inawezekana kabisa kuwa ulicho note wewe ni error in reporting kitu ambacho ni kawaida kabisa kwa waandishiwetu.
Mkapa mwenyewe is on record kudai waandishi wa Tanzania si makini.
Jenga case mkuu.
 
Angalau ungekuwa na reference kama 3 ivi ningekuelewa sasa moja mbona ni majungu hayo.Jipange upya
 
Nimekuwa nikufuatilia kwa karibu jinsi vyombo vya habari vya IPP vinavyoripoti matukio ya Raisi mstaafu wa awamu ya tatu, Mh B.W.Mkapa nikagundua kuna kachuki binafsi ya vyombo hivyoo na Mheshimiwa huyuu..

Wamejitahidi na wanaendeleaa kupandikizaa taarifa hasi dhidi ya Mh Mkapa kila wapatapo nafasi hiyoo..Rejeaa magazeti ya IPP na ITV .

Kwa mfano jana tar 20/07/20 kwenye taarifa ya saa mbili usiku ITV waliripoti kuhusu Mh Mkapa kupokea tuzo ya kutoka Jane Goodal Institute kwa niaba ya Mh Raisi Kikwete.

Cha ajabu Mh Mkapa kama mgeni rasmi wa shughuli hiyo wakati akitoa nasaha zake akashukuru taasisi hiyo kwa kumteua katika Global Leadership Award.

ITV hawakusema popote kwamba MH Mkapa kateuliwa kugombania tuzoo hiyoooo...

Wana ajendaa ganiii hawaa????
sasa wao walireport issue kuu ambayo ilikuwa ya kupokea tuzo kwa niaba ya raisi Kikwete, hii nyingine ilikuwa ni kama just by the way, au wakati huo huo ameteuliwa kugombea, sasa wewe huoni kama hilo la by the way ni jambo dogo, hivyo linaweza lisibebe taarifa yenyewe.au likafinikwa na taarifa kuu.
 
Hakuna ukweli wowote!
Ni kweli kabisa, rejea maandishi ya magazeti ya IPP kwenye ishu ya kiwira.
Rejea suala la Kilimanjaro Hotel. Unadhani hakuna bifu?
Jamaa asipopendelewa yeye basi huwa ni visasi. Ingawa siku hizi naona amembiwa apunguze kulalamika.
 
Back
Top Bottom