jombi95
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,404
- 2,156
Upo mjini siku nyingi lakini haujui kitu na wewe .Tupo mjini siku nyingi wakati profesa Jay anajiita nigga J, kaa chini tuliza mshono think twice then fikiria clouds kabla ya kuwa anatumia 88.5 alikuwa anatumia frequency ipi kama sio 88.9 iweje WCB Waje kutumia ile ile "kusaga sio mtu mzuri jiulize kwa nn Bdozen apige tangazo la wasafi fm "time will tell "
Tangazo gani la wasafi kapiga dozen. ??
Ile ni Sauti ya Ray mshana , alikuwaga CMG ila naw yuko WCB.