Ipo siku Clouds FM itawapigia magoti WCB kukubali yaishe

Watanzania acheni kujaza sumu....

Clouds will remain Clouds..

Wasafi needs to keep it going.

Mijadala hii ya ulinganishi ni ya kipumbavu. Mkubwa atabaki kuwa mkubwa tu.

Wajinga wengi walishajaribu walinganisha malegendaries humu na wachipukizi.

Truth remains... Mkubwa heshima yake itabaki palepale.
 
Kunasiku nilimuona Q Chief anampigia magoti Bdzn apige nyimbo zake jamaa akagoma kwa hasira q chf akaamua kuacha mzk
 
Efm iko vizuri wanafanya vizuri sokoni na kuna baadhi ya vipindi vyao ndo vinaongoza kwa kuwa na wasikilizaji wengi kama "Sports HQ".... Na dhumuni LA Efm siyo kuiangusha clouds no kuleta changamoto kwenye media!... Kama hivi wamegawana wasikilizaji maisha yanaenda!NB:Clouds wamefanya kazi kufika hapo walipo wasafi wanafikiri porojo za kwenye mitandao zitawapush,wajipange kweli!
Bure
 
TanZania kote hakuna redio ina coverage kama cloudsfm.nenda swanga mpanda musoma songea masasi bukoba kigoma na mikoa yote wapo.so kwa base ya wasikilizaji hakuna station itakuja kuikuta clouds.
Labda mtapiga kelele hapa mjini tu.
 
Ninavyojua hata EFM walipokuja hali ilikuwa hivi hivi baada ya muda mambo yakarudi kwenye equilibrium, Wasafi pia italeta changamoto hapa mwanzoni baadae itarudi kwenye position yake kama tu media yao haitakuwa na contents za kuvutia zaidi.

Clouds ina mizizi mikubwa.Wasafi media inabebwa kwasababu ya jina na umaarufu wa Diamond lakini hatijajua contents na consistency yao hapo baadae.
Very true. Binafsi nasubiri contents za radio siku za usoni ndio nitajua wamejipangaje. Ila nahisi watatake over sana.
 
Usiifananishe efm na Wasafi,Wasafi wameingia kwenye media industry hawana hata mwaka lakin wanaenda kuipoteza efm,sasa hivi ni Wasafi vs Clouds...believe me clouds wanaenda kupotea ndani ya mwaka mmoja,na sasa hivi tegemeo lao lipo kwa Soudy tu katika kupambana na WCB wengine kama wameanza kunyoosha mikono juu
Wana vipindi gani kwa mfano? Huwezi kusikiliza mziki siku nzima!
 
Sio kweli. Clouds mikoani inatetereka sana especially kwenye usikivu. Wanachangamoto nyingi nao za kudeal nazo. Radio one ndio wanacoverage kubwa na usikivu wa hali ya juu. Clouds wakirusha kipindi nje ya studio ndio huwa wanachekesha zaidi. Matangazo huwa yanakata hovyo hovyo.
TanZania kote hakuna redio ina coverage kama cloudsfm.nenda swanga mpanda musoma songea masasi bukoba kigoma na mikoa yote wapo.so kwa base ya wasikilizaji hakuna station itakuja kuikuta clouds.
Labda mtapiga kelele hapa mjini tu.
 
Hilo alosema mdau wala sio siri sema nyie washamba ndo hamtaki kuamini.... Hats hiyo frequency ya 88.9 ni ya kusaga kitambo ndo walikua wanaitumia kurushia matangazo ya coconut FM upande wa zanzibar.... Tatizo vijana mna mihemko
Sijui ww mke wa.pili wa kusaga ukajua sili za ndani kabisa
 
Usiifananishe efm na Wasafi,Wasafi wameingia kwenye media industry hawana hata mwaka lakin wanaenda kuipoteza efm,sasa hivi ni Wasafi vs Clouds...believe me clouds wanaenda kupotea ndani ya mwaka mmoja,na sasa hivi tegemeo lao lipo kwa Soudy tu katika kupambana na WCB wengine kama wameanza kunyoosha mikono juu
wewe umeandika nini mkuu😂😂 huna hoja kabisa
 
Tupo mjini siku nyingi wakati profesa Jay anajiita nigga J, kaa chini tuliza mshono think twice then fikiria clouds kabla ya kuwa anatumia 88.5 alikuwa anatumia frequency ipi kama sio 88.9 iweje WCB Waje kutumia ile ile "kusaga sio mtu mzuri jiulize kwa nn Bdozen apige tangazo la wasafi fm "time will tell "
 
WCB kwa sasa ni kama maji utake usitake utayanywa tu hata ukiwachukia utawaangalia kimya kimya tu. Ukweli ni kwamba Diamond platnumz na WCB nzima wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuiteka kona ya Mitandao ya kijamii kutokana na brand yao kuwa na Fan base kubwa na inaongoza kufwatiliwa na watu wengi.

Baada ya Diamond kuanzisha Wasafi festival imekuwa ni pigo kubwa kwa clouds, huku wakijikuta wanaanzisha vijembe kuwa wasafi wanateseka wakati wao wenyewe ndio wanateseka

Clouds kwasasa imekosa mvuto, ubuyu wote ulikuwa wcb sasa wamebaki wanatapatapa, ipo siku boss ruge atakapopata nafuu atakuja kumlilia Diamond warudi kama zamani, ni swala la muda tu

Hivi diamond ndo mmiliki?
 
Utakuwa unaota mchana nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom