Ipo haja ya kubadili jina la Jeshi letu la Polisi

Kichangiri

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
331
670
Kwa jinsi Polisi wetu wa Tanzania wanavyojisikia wao ni wababe na hakuna raia yeyote anayefanana nao naona ipo haja ya kubadilisha jina kutoka Police force kwenda Police service maana na wao ni watu kama raia wa kawaida na wanatoa service kama walivyo waalimu madaktari na wengineo.

Kuwapa jina la force imewafanya wawe na force ya kujiona juu ya kila raia yeyote

Hope mamlaka zenye uwezo huo zitafakari kwa kina zilifanyie kazi hili
 
Kenya tayari wameshafanya hayo kama sikosei... Wako kwenye police services
 
Kwani unadhani hiyo force ni kwa sababu gani?

Hata ungeweka Tanzania police love, bado kuchapwa ni pia, unapigwa na ujinga wako sio polisi.
 
Kati ya majina ya taasisi nyeti yaliyorithiwa kutoka kwa wakoloni yenye ukakasi ni pamoja na hili la "police force"
 
GODZILLA, Acha kuropoka tuu basi. Sijasemea kwa chama chochote nilitoa maoni kutokana na hawa jamaa wanavyojiweka. Kwa taarifa yako mshua wangu ni police mstaafu tena mwenye cheo kikubwa tu ila nmesemea kile kilichopo miongoni mwa police.
 
Acha kuropoka tuu basi. Sijasemea kwa chama chochote nilitoa maoni kutokana na hawa jamaa wanavyojiweka. Kwa taarifa yako mshua wangu ni police mstaafu tena mwenye cheo kikubwa tu ila nmesemea kile kilichopo miongoni mwa police.
Hayo ya "mshua wako" hayanihusu sana!

Zingatia nilichoandika!
 
Back
Top Bottom