Ipi adhabu sahihi ya mtu anayetembea na mke wa mtu?

Ndoa ni muungano wa hiari. Ukiona anaenda na mwanaume mwingine tafuta sababu kwanza. Wewe umepungukiwa nini? Ukilijua hilo tu baaaasi.
 
Kama wewe ni mkristo kuna mistari kwenye bible inasema hutakiwi kumuacha mkeo isipokuwa kwa uzinzi sasa wa kushughulika naye wa kwanza ni mkeo ndio umuache kwasababu ya uzinzi wake.
 
Ahahahahaaa.......kuchapiwa ni siri ya ndani acha ukuzi ww........mtafute mnyonge nawe umchapie
 
Adhabu ya mwizi wa mkeo ni jinc utakavyo mpk adhabu huyo mkeo maana yy ana t.o.m.b.a anaenda kwake lkn mkeo anat.o.m.b.w.a anakuja kwako
 
Suppose amekusikia na kuachana na mkeo,je unajuaje labda mkeo ndio tabia yake akianza na mwingine utahangaika nae pia? Deal with your wife.
na inasikitisha kuwa katika maelezo yakE yoote hajasema kadeal vipi na mkewe!!!!! Akaa tayari kudeal na chain of men.. na hii habari ya sijui kumvunjia yai sijui kumla kiboga..kwanza aende ukasajili haki ya kumla mtu kiboga ili awe nayo peke yako..coz for me you do that to my friend or my brother and I do it to you regardless the fact kwamba ulikuwa unalipa kisasi...VIOLENCE BEGETS VIOLENCE
 
Hadi nimeogopa
una haki ya kuogopa..naona wanajamvi wengi solution za matatizo yao ni kulana viboga..nina wasiwasi mtu akileta mada amfanye nini mtu asiyetaka kumlipa deni lake la fedha watu wataropoka "mle takko"

kutembea na mke wa mtu ni kosa.. kama soka ni "professional foul" but mwanamme kuwa na uwezo ku-erect kwa kuona takko la dume mwenzio, inahitaji mtu aliyeoza akili kidogo

wote wanaotoa mapendekezo hayo ya viboga, viboga, viboga nadhani ni mamember wa huo mchezo na umewakaa mtimani.."out of the abundance of heart the mouth speaks"
 
limetumbuka;

Mwanamke aliyeridhika na mume wake...yupo? labda awe aliolewa kuanzia mwaka 1976 (kama mama capt nemo ) na kurudi nyuma, otherwise show me such a woman and I will show you the biggest liar of the karne
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom