Ip njia salama za kuifadhi vyeti kama naenda kutafuta maisha nje

Hapo vip!!

Wadau mwaka jana nilikuwa na harakati za kuelekea Cyprus,kwenda kusoma master pale and nilipambana nikapata passport na chuo pia nilipata but aliyenikonect aliniambia nitapata full scholarship lakini later Wale jamaa dakika ya mwisho wakati nashughulikia visa wakaniambia taratibu zimebadilika hivyo watanipa partionscholarship .

Na ilikuwa niende January 2018,sasa nafanya mpango wakwenda Botswana kutafuta maisha.

Vyeti vyangu nitaifadhi vip ili kuepuka kupoteza au kuibiwa katika harakati...?

And nikitaka kuvipata nikiwa nchi yeyote nita access vip...
Botswana wewe ni Daktari? Kama sio huwezi tafuta maisha botswana siku hizi mambo yamebadirika sana huko. Any way nenda lakini kule kugumu sana kama hauna ramani
 
Botswana wewe ni Daktari? Kama sio huwezi tafuta maisha botswana siku hizi mambo yamebadirika sana huko. Any way nenda lakini kule kugumu sana kama hauna ramani
Asubiri Angola wakitowa viza zao, aendee kule bado kutakuwa na possibilities.....may b
 
Kabla ya kumaliza chuo vyeti nilimkabidhi mzazi wangu anitunzie,baada ya hapo nakaa navyo na popote napohamia kama nakaa zaidi ya miezi sita lazima niende navyo.
 
Back
Top Bottom