Invitation kama hii ungeielewa vipi?

Msikilizaji

Member
Nov 6, 2008
51
9
Ndugu wana JF,

Ungkuwa wewe umepokea invitation ya namna hii ungeielewa vipi?
Dulce Cafe has recently opened their first store overseas in Dar es Salaam and we would love our South Africans residing in Dar to join us for breakfast tomorrow morning at 9h00. We are situated in the Atlantis Hotel, Haile Sellassie Road, Oysterbay.
 
Imekaa kiubaguzi zaidi au ndio wanajaribu kuvuta watu kutoka nchini mwao ambao wanaishi hapa bongo
 
Nilifikiri nimeisoma na kuelewa vibaya, but in my opinion kama you are opening a place ni vizuri uka-invite watu wa aina mbali mbali because si wa South Africans tu ndiye watakae fika hapo.
 
Mfanyabiashara yeyote ni lazima awe na kundi lake maalum la wateja. Hapo walichokosea labda ni kukutumia wewe hiyo invitation kama siyo msouth..
 
Iko PERFECT wadau. Kutambuana kwa uraia ni kitu muhimu sana unapokuwa nje ya nchi yako. Wanaopinga hili aghalabu hawajawahi kutoka nchini mwao na kuelewa umuhimu wa nationality na zile clubs. Hapo ni kama umoja wa wasauzi unahamasishwa kufanikisha project. That's how people around the world progress (leaving Tanzanians far behind)
 
kweli kabisa, hii haina tofauti ni wanachofanya watanzania nchi zingine pale wanapofungua hoteli zenye vyakula vya kitanzania.. It has nothing to do with Ubaguzi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom