Umeshajilipua! Hapo pekundu unamaanisha nani sasa? Msubiri arudi; si umemcheki yuko around.
Umeona, ee? To be honest huwa nashindwa kabisa kutazamana nayo uso kwa uso.
chezeiya simba sharubu eeeh.....
Mtambuzi huyu hana kosa lolote zaidi kaomba invisible abadili avatar tuUnachokitafuta utakipata hivi punde......................LOL