Invisible huenda akafungwa

Mfumwa

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
1,456
42
Kuna sheria moja ilikuwa inazungumzia, kuwa kumkonyeza mtu wa jinsia tofauti ni kosa. Sijui bado inafanya kazi. Nakumbuka kuna mwandishi mmoja wa ITV ilitolewa utani kuwa atafungwa, manake jamaa kweli macho yake kila wakati yalikuwa yanakonya.

Sasa Invisible naona kama anaweza kufikishwa kwa Pilato kwa kukonyeza watu wa jinsia tofauti ya kwake. Angalia picha yake utathibitisha.
 
Ndi macho yake yalivyo, kuepuka kifungo labada avae miwani tena ile ambayo ni tinted
 
Mkonyezaji anafungwa iwapo mkonyezwaji hataki/hapendi. Hapa JF hakuna aliyelalamika. Ngoja tuwasikie wakonyezwaji, huenda wanapenda Mkuu!
 
Sheria hii ina apply kwa maroboti pia au inaishia kwa binadamu? Kama inawagusa maroboti pia- je magereza ya maroboti yashaanzishwa Bongo?
 
Sheria bado ipo ila mpaka mkonyezwaji aweze ku-prove beyond no doubt kwamba mkonyezaji alikusudia kufanya hivyo.
 
Toka hiyo sheria imetungwa sijasikia mtu yeyote ametinga kwa pilato kwamba kakonyeza. Labda hii sheria itaanzia kwa Mkuu Invisible!!

Hata hivyo wabongo hatushikiki kwa kutunga sheria zisizotekelezeka na kupiga kelele ya kubadilisha zile zinazotubana pale tunapotaka kufanya vitu vyetu (kukonyeza, kubonyeza na hata kufisadi)!!
 
Mkuu Mateso, ulipotelea wapi? Yaani tangu umeingia humu JF mwaka jana mwezi August una mabandiko matatu tu? Au huwa unaingia kwa ID nyingine?


mateso has no status.
Junior Member
Join Date: Wed Aug 2008
Posts: 3
Rep Power: 0

Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Credits: 695
 
Sin unauchozi eeehh Mateso huenda ana aka nyingi hapa JF

Mkuu Mateso, ulipotelea wapi? Yaani tangu umeingia humu JF mwaka jana mwezi August una mabandiko matatu tu? Au huwa unaingia kwa ID nyingine?


mateso has no status.
Junior Member
Join Date: Wed Aug 2008
Posts: 3
Rep Power: 0

Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Credits: 695
 
Sheria bado ipo ila mpaka mkonyezwaji aweze ku-prove beyond no doubt kwamba mkonyezaji alikusudia kufanya hivyo.
Utamu wa asali upo kwa mwonjaji... Kumbe wote mnaona nakonyeza? Mbona mi sijioni?

Jela basi yaningoja!

Interesting to read you comments folks!
 
Back
Top Bottom