Nakumbuka kusoma kwenye internet miezi kadhaa iliyopita kuhusu benki moja ya Tanzania ilianzisha account (investment vehicle/product) ambayo unalipa Tshs laki tano kila mwezi kwa miaka 10 (miezi 120) na baada ya miaka 10 benki inakupa Tshs millioni 100. Sikumbuki kama ilikuwa ni gazeti online au blog ila ninaomba kama kuna mtu anaweza kuwa na link au kukumbuka gazeti ili isaidie kwenye google search. Nimejaribu ku google hiyo article sijaipata. Naomba kama kuna mtu anaweza kukumbuka iko wapi anisaidie kuiweka hapa jamiiforums.
Asante.
Asante.