Internet Cafe zaifungia Jamii Forum

Status
Not open for further replies.
Ukiingia kwenye Internet Cafe nyingi jijini Dar es Salaam, na ukataka kuperuzi kwenye tovuti ya Jamii Forums huwa haifunguki, na ukiongea na wahudumu wa hiyi migahawa ya mtandao wa intaneti wanakwambia walionywa kuwa wasiruhusu wateja wasitembelee tovuti hiyo.
Kuna mgahawa mmoja uko mjini, wamebandika kabisa bango kuwa ni marufuku kuingia Jamii Forums, ni amri sio ombi.
jamani, mbona tunako elekea kunaonekana ni kubaya kuliko tuliko toka?
yangu macho.

wote waliofanya ujinga huo ni watumwa wa fikra maana jamii forums si sauti ushukayo kutoka kusikojulikana na wanweza kuzuia baadhi ya cafe tu lakini hawawezi kuwazuia watu kufikiri hapo ndo wangejua wanalolifanya ni sawa na kulizuia jua lisiangazeie nchi.
 
Sithani kama kuna ukweli kwenye hii information.... Tanzania bado hatuna technology ya kublock website... Kama tungekua nayo basi kuna vitu vidogo kama porn sites zinge blockiwa kwanza...
 
Sikubaliani na hoja kwamba cafes zimetishiwa na serikali kutofungua site ya Jamiiforums. Mbona huku bara hatujasikia kitu kama hicho. Kama wanaweza ifungia Mwanahalisi, Ze Utamu nk kitawashinda nini??

Mie nakubaliana na Nas Daz kwamba hiyo cafe inatumia browser ya Internet Explorer ambayo ina bugs nyingi na ndo maana wakati browsers nyingine kama Mozilla firefox n.k walipotaka kupenya soko hawa wa IE walipiga kelele sana. Washauri hao wenye cafe wa install browsers nyingine zaidi ya IE wataifaidi JF
 
Tufanye utafiti zaidi katika hili. Kwani uzoefu unaonyesha hawa sisiemu wakishajua kuwa unawapinga basi watatumia watu wao wa usalama wa sisiemu a.k.a taifa kukutafuta na kukushughulikia kama walivyomfanyia Tido Mhando.

Information Technologist ndani ya JF watusadie katika suala zima la usalama katika matumizi ya internet just to be on safe side. Kwani unapotumia computer ambayo ina IP address kutoka kwa ISP basi ni rahisi kumfahamu mtumiaji wa hiyo computer. Pia modem zina line ambazo zimesajiliwa hivyo ni rahisi kumtambua mtumiaji wa modem. Pia nawashauri viongozi na wanachama CHADEMA waangalie uwezekano wa kuunda kamati au chombo madhubuti cha usalama kwa viongozi na wanachama wake kama ambavyo sisiemu walivyo na chombo chao cha usalama wa sisiemu a.ka. taifa. Ili wanachama waweze kwenda kupata msaada/ ushauri wa kiusalama pale inapo hitajika.

Nina uhakika wako watu wengi wanasupport CHADEMA kwa siri kwani wanaogopa wakijulikana na serikali ya sisiemu basi maisha yao, masomo yao, kazi zao e.t.c zitakuwa hatarini
 
Wanaacha kumfungia mange kimambi na u turn yake wanabaki kuhangaika na jf , mtandao wenye manufaa kedekede kwa taifa letu changa

Blog ya Mange ina manufaa makubwa sana kwao, kwa sababu inawasaidia kuhamishia akili za watu kwenye kuolewa na wazungu wakati Watawala wetu wakiiba kiulaini.....
 
Ukiingia kwenye Internet Cafe nyingi jijini Dar es Salaam, na ukataka kuperuzi kwenye tovuti ya Jamii Forums huwa haifunguki, na ukiongea na wahudumu wa hiyi migahawa ya mtandao wa intaneti wanakwambia walionywa kuwa wasiruhusu wateja wasitembelee tovuti hiyo.
Kuna mgahawa mmoja uko mjini, wamebandika kabisa bango kuwa ni marufuku kuingia Jamii Forums, ni amri sio ombi.
jamani, mbona tunako elekea kunaonekana ni kubaya kuliko tuliko toka?
yangu macho.

Ingekuwa vema urekebishe hapo nilipoweka red manake inaonesha kama vile wameambiwa waruhusu wateja watembelee hiyo blog. Ninavyotafsiri kama ilivyoandikwa
 
Wakuu ni kweli. Kuna jamaa mjini posta nilikuwa ofisini kwake nikataka kupost data kupitia PC yake ila alinikatalia kwa kusema in case wale TISS wakitaka kujua aliyevujisha data wanaenda kwa service provider kwa kutrace IP Address ya komputer, kumbuka ni rahisi kutrace registered PC iliyo kwenye network ndo maana hata Cafe wanagoma.

Huyu alinipa jibu kuwa some cafes wanakuwa na alert! Tusilaumu wenye cafes, tulaumu udikteta wa Tanzania! Ila mada hii ingefungwa maana kuieneza ni kuwapa taarifa wahujumu kuwa kumbe kufanya ivo inaweza kuwasaidia, nashauri tuiache kama ilivo ili tusiwaoneshe la kufanya maana hawa watu wanatumia akili za kuangalizia!
 
Ths is amazing! Jf sio gazeti useme utalifungia! Hiyo café ni ya fisadi, so limedhan kuwa watz wanaingia hapo kwako kutoa maomi yao. Shame upon them?
 
Ukiingia kwenye Internet Cafe nyingi jijini Dar es Salaam, na ukataka kuperuzi kwenye tovuti ya Jamii Forums huwa haifunguki, na ukiongea na wahudumu wa hiyi migahawa ya mtandao wa intaneti wanakwambia walionywa kuwa wasiruhusu wateja wasitembelee tovuti hiyo.
Kuna mgahawa mmoja uko mjini, wamebandika kabisa bango kuwa ni marufuku kuingia Jamii Forums, ni amri sio ombi.
jamani, mbona tunako elekea kunaonekana ni kubaya kuliko tuliko toka?
yangu macho.

JF--- WIKILEAKS OF TZ --- Tunandeleza Moto
 
Ukiingia kwenye Internet Cafe nyingi jijini Dar es Salaam, na ukataka kuperuzi kwenye tovuti ya Jamii Forums huwa haifunguki, na ukiongea na wahudumu wa hiyi migahawa ya mtandao wa intaneti wanakwambia walionywa kuwa wasiruhusu wateja wasitembelee tovuti hiyo.....

Hap nilipo ni CYBER CAFE....na nimeshatembelea kama tatu mitaa hii hii na hakuna kitu kama hicho. Hiyo umeyoingia wewe (kama habari hii ni ya kweli) labda mmiliki wake ni mmoja wa hawa mafisadi papa
 
wamechelewa.
Wanataka kua kama kule Iran wanakozuia facebook na twitter?
Huu ndio mwiba wa JK na CCM. Alunta continua JF
Long live JF:hungry:
 
Wamekatazwa na serikali?

Si ajabu Gaijin. Unadhani nani mwingine atakuwa na ubavu wa kutoa amri kama hiyo? Itakuwa vizuri kulifanyia hili utafiti wa kina katika baadhi ya hizo IC ili kupata ukweli halisi wa nani aliyehusika kutoa onyo hilo.
 
jamani kwani cafe bado zipo cjawai kuona mana kwa utandawazi cm kibao zina acces za internet
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom