Internazionale Milano vs Barcelona fc live

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Ni dakika ya 13 si Int Milano wala Barc, mechi inaonekana ya ushindani kweli kweli...
 
Nimekupata ila vijana wa wenger hali mbaya. Ndani ya dk 5 walikuwa wameshawashwa gori 2!!!
 
nimeona mpaka sasa ni 2 - 0 sijui balaa gani sisi Arsenal ilinatukumba
 
dkk ya 76, bado milango ni migumu ingawa barc anashambulia sana lkn ukuta wa milan umekuwa mugumu kupitika..
 
hakuna cha Eto wala Ibrahimovic...Int milan0 - barc 0 mpira umeisha..
 
Back
Top Bottom