International hotel job for youth

hizo contact tunazimekia wapi.........?
hao jamaa ni wezi tu hamna lolote kma huamini wewe watafute utaona na tuwe makini sana na hawa watu wanao jifanya mawakala wakuwatafutia watu kazi hamna kitu ni bonge la wezi kwenye tatizo kila mmoja anatafuta jinsi gani ya kutoka kwa mwanya huohuo
 
Kwa walio interested, ni inbox haba JF,
include your email in your message, then i will send you instructions.
 
Kwa walio interested, ni
inbox haba JF,
include your email in your
message, then i will send
you instructions.
 
Kwa walio interested, ni inbox haba JF,
include your email in your message, then i will send you instructions.

Weka instructions hapa watu wote waone, naweza kua interested sasa hivi nikakuinbox lakini instructions zikanishinda....kwani tatizo ninini kuweka instructions hapa? napata wasiwasi na hizo kazi zenyewe.
Kwa ulimwengu huu tulionao si kuficha mambo kiasi hicho....... This is no longer a global village but it is now a global room, nowhere, othing to hide.
Thanks
 
position available include: hotel waiter/res, car washers, room cleaners, cooks, baker,hairdresser, barber, drivers ,security ,nurses...etc.
 
Haaahaaa! Kwanini siri si uweke information zote wazi? Kuna kuingizana mjini siku hizi
 
nchi gani? be careful job seekers.. these people may dumb you into sex slave business in Middle east & far east
 
Achaneni na '@./",...Huyo,anatupotezea muda ,au hajui sheria za JF ngoja tumpigie campaign wam-ban.
 
Ur not sure about wot ur talking about why are you hiding things kuwa muwazi hata kama upo serious hutaaminiwa hapa JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom