Jestina JF-Expert Member Jan 6, 2011 4,831 1,710 Jul 17, 2012 #12 aisee hio picha ya kwanza,i can feel the pain...
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jul 17, 2012 #13 Duuh sasa naanza kubelieve kumbe ukiwa overweight pia ubongo unazidiwa na uzito, kibonge kama huyo alifikiri nini aliposimama kwenye ukingo wa meza?
Duuh sasa naanza kubelieve kumbe ukiwa overweight pia ubongo unazidiwa na uzito, kibonge kama huyo alifikiri nini aliposimama kwenye ukingo wa meza?
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,318 33,125 Jul 17, 2012 #14 Excellent said: Click to expand... Shetani mzungu huyoo Excellent Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,637 4,521 Jul 18, 2012 #16 Excellent said: Click to expand... Mkuu kama unaniona vile lakini paka mweusi huyu atakuwa binamu yangu,mcheki alivyopendeza na mneli wake.....
Excellent said: Click to expand... Mkuu kama unaniona vile lakini paka mweusi huyu atakuwa binamu yangu,mcheki alivyopendeza na mneli wake.....
Viol JF-Expert Member Dec 15, 2009 25,426 18,231 Jul 18, 2012 Thread starter #17 St. Paka Mweusi said: Mkuu kama unaniona vile lakini paka mweusi huyu atakuwa binamu yangu,mcheki alivyopendeza na mneli wake..... Click to expand... umeona macho?
St. Paka Mweusi said: Mkuu kama unaniona vile lakini paka mweusi huyu atakuwa binamu yangu,mcheki alivyopendeza na mneli wake..... Click to expand... umeona macho?
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,637 4,521 Jul 18, 2012 #18 Excellent said: umeona macho? Click to expand... Sawasawa hilo linaitwa jicho nyanya,kwa kiswahili cha mtaani wanasema dogo analanduka
Excellent said: umeona macho? Click to expand... Sawasawa hilo linaitwa jicho nyanya,kwa kiswahili cha mtaani wanasema dogo analanduka
Likwanda JF-Expert Member Jun 16, 2011 3,910 1,131 Jul 18, 2012 #19 St. Paka Mweusi said: Mkuu kama unaniona vile lakini paka mweusi huyu atakuwa binamu yangu,mcheki alivyopendeza na mneli wake..... Click to expand... Dah, huyu kimbe na wewe no ndugu yako pia.
St. Paka Mweusi said: Mkuu kama unaniona vile lakini paka mweusi huyu atakuwa binamu yangu,mcheki alivyopendeza na mneli wake..... Click to expand... Dah, huyu kimbe na wewe no ndugu yako pia.
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,846 Jul 18, 2012 #20 Excellent said: Click to expand... wow huyu mtoto natamani awe wangu.