Inter Milan wamtimua Ranieri

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Inter Milan wamemtimua kocha wao Claudio Ranieri baada ya kushinda mechi moja kati ya 10 za ligi. Hapa tunajua wazi nani anaenda kuchukua hiyo nafasi: Andre Villas-Boas
 
conte hawezi timuliwa juventus...jana alionyesha tactical understanding ya hali ya juu...where as ranieri alikuwa kazubaa tuu not knowing wat to do to hell his side.
kocha wa juniour team ndio amechukuwa mikoba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom