Insurance against Radicals

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Yaliyotokea Ijumaa yamenifanya nifikiri sana, nimewaza uharibifu na wizi uliotokea katika zile nyumba tatu za Ibada, sijui watafanyaje kufidia ile hasara, kama ni mahakamani sijui nani atashtakiwa na hata kesi ikiisha sijui kama hao waliohusika watalipa fidia.

Insurance zetu najua ziko na insurance against fire, insurance against theft, insurance against natural disasters na nyingine nyingi, lakini nafikiri kuna haja ya kuanzisha policy nyingine ku-cover watu na mali zao against radicals, maana hawa watu sasa ni RISK!
 
Back
Top Bottom