Amekutuma uje kusema haya,Injinia madeni kipande anatosha kuwa DG BANDARI
Amekutuma uje kusema haya,
muulize maswali haya,
Zile pesa walizoeusha na mwenzake kwenye ule mkataba tata watarejesha lini serikalini,
Muulize kama amepata master degree kwani dg anatakiwa kuwa na master kwa mujibu wa sheria za bandari na yeye hana,
Halafu muulize wale watumishi wenye uwezo mkubwa kielimu na utendaji kwanini anawachukia na kuwahamisha,
Lakini pia muulize kama ameacha kuingiza waganga wa jadi ofisini kumtengenezea madawa ya kumlinda,
Lakini muulize kama kaacha kutukana matusi ya nguoni viongozi wake na watumishi waliochini yake,
Je anaweza kujibu kwanini director wa ict kampeleka nansio ukerewe kafanya kosa gani,
Anaweza kutueleza yule dada aliyekuwa director wa marketing kwanini alimuondoa makao makuu,
Pia muulize lile katazo lilotua kwa mwakyembe na mwakyembe akatakiwa kumweleza kuwa hanasifa za dg analijua? Mwakyembe alimwambia.
Note: mwambie ajibu kwanza hayo halafu ntakuwekea ripoti ya bodi ambayo ilipendekeza aondolewe kwakuwa hana sifa Lakini pia akijibu hayo ntaweka bayana mazungumzo yake ya wiki iliyopita na vibaraka wake wanaotaka kufunika uozo wa ununuzi wa mabehewa chakavu halafu mnaita mapya wakati yamepigwa rangi.

kipande yameshatimia. :heh:
Jamaa anmpigia debe,sijui kaahidiwa nini??.Amekutuma uje kusema haya,