Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,753
Unashangaa unakuta ile Rav 4 ya mwanzo ina miaka 5 ipo Tanzania..lakini inauzwa 13,000,000 ambayo ni $5600 yani bei ya Japan kabisa hadi unashangaa hawa madalali matatizo yao ni yepi..ukweli mtupu!
aghalabu hizi ndizo bei za kuagiza mtumba wa Japani.