ingekuwa vipi tungekuwa tukibadilishana wake miezi 6,wako angefikisha??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Wana ndugu leo kuna ndoa moja imeleta kasheshe hapa narudi hoi hata sijui nifanyaje
ndoa ttulioipenda mwisho naona mungu anataka kuipenda zaidi...
nafikiri wakina baba mnaitaji kuwa makini na hizi simu zenu...kama unajua unafanya mambo ya nyumba ndogo basi mheshimu mkeo...yawezekana kwa kujua ama kutojua unamjulisha mkeo..hakika machungu yake yanachukua muda zaidi ya mara 7*70 unayoisoma kila siku

Anyway kwenye simu kuna simu zingine ukiandika kitu kwa bahati mbaya ukataka kuifuta kumbe imeandika save ukabonyeza yes..ile kitu hukaa pale mpaka wapwa kama hawa wanaolia na maombi kuja kuziona..jamaa amekuwa na mambo yake binafsi siitaji kusema ila alipokuwa akimwandikia hawara yake leo..hiyo msg ikawa saved kwenye draft..mkewe akaomba simu wakiwa na mazoea ya kugaiana kama vingine..ndipo alipoanza na sent ola.inbox hola,,outbox hola,,,draft akakuta upopompopo wa huyu bwana..dada yule kwa hekima akatupigia akiwa pekeyake bila kumwambia mumewe kuna kitu akiendela na cheka na mumeo..akamwomba waende outing ndipo nasie tukafika...walipoanza kula kufurahi mama akatoa ilicho moyoni mwake..akusita kuchukua simu..waungwana bila uhasama tukamwomba kidume umetuua maliza kwa msamaha..kweli alimwomba msamaha ila namowmba mungu asahau...Unajua wanaume wengi tunajua lolote likitokea tukisamehewa yanaisha

weee...ni bora asisamehe ila asahau....ndicho tunachokiomba amesamehe kusahau???

Baada ya hili bwana mmoja akauliza hivi ndugu ingekuwa vipi tungekuwa kila baada ya miezi sita tunabadilishana mke..wakwako angefika miezi sita??maana ya mh hata miezi 3 bado......kazi kwenu/tu

Wapendwa tuheshimu ndoa zetu...tuzitunze,,tuzilee tusadiane...
 
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Kubadilishana hilo haliwezekani maana hatulingani jamani!

Ni kweli haliwezekani lakini kuna wakati binadamu yeyote anapata mawazo yanayotengeneza taswira ya kitu hata kama katika hali halisi hakiwezekani. Hata mimi kuna wakati najiuliza swali kama hili. Hicho kitu cha kubadilishana wake/waume zetu kingesaidia ndoa nyingine kuimarika na wakati huo nyingine zingekufa kwani kila mtu angeweza kuonja uzoefu na ladha tofauti na kile alichokizoea.
 
Hahahaha mmenifurahisha mie nilikuwaga ninasema wa kwangu hata akiibiwa, mwizi atamrudisha baada ya wiki maana mh namuweza mwenyewe!!:target:
 
Mapopompo wote we gusa mkewe balaa lake...
Mke habadilikiki labda small house
 
Hahahaha mmenifurahisha mie nilikuwaga ninasema wa kwangu hata akiibiwa, mwizi atamrudisha baada ya wiki maana mh namuweza mwenyewe!!:target:

Hapo napata tafsiri nyingi sana. Ila kichwani imetawala moja tu. Na kama ni hiyo basi;
Pole sana mjukuu, vumilia tu ndio ukubwa huo. Utazoea tu.
 
Ni assumption tu. Na kwa hiyo haitakuwa vibaya ku-assume kwamba ukimwi haupo!

Na assumption ya pili iwe kwamba hatanogewa huko alikokwenda na akakataa kurudi, akakwamba kwamba yuko radhi hata aolewe mke wa pili ila kwako harudi. Ni assumption tu!
 
Back
Top Bottom