Ingekua Division 4 (four) wanafeli form two ingekua majanga

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Ukwelii mchungu watoto /wadogo zetu WA form two wamefeli sana

Ni kama NECTA wameamua Kua Serious kuset mitihan na Kumark worked scripts.

Division four imeokoa wengi sana na simply division four ni kufeli

Reflection tunayoipata si nzuri kiuchumi na kwa future ya hawa wanafunz

nchihi ambazo zimendelea mfan South Korea na japani walifanikiwa kwa Kuakikishawanapta the best students kwenye kila level.

Leo south Korea hakuna mwanafunzi anayefeli kwa sababu ya strong foundation yaan no masihara kwenye education.

Leo south Korea WAna the best doctors , Best engineers , excellent bankers n.k.

reflection ya ufaulu mdog Tanzania tunaiona Leo tuna engeneers teachers, doctors , bankers lakin wapo mtaani wanashindwa kuchekecha akili kubadil elimu kuja kwenye reality wote wanakua MADALALI

Kuna gape kubwa Kat ya private schools na government schools inaonekana private wamefanya vizuri zaid .

serikali iwe serious ia
 
Cheap is expensive kuna mtoto anadai yupo form two anasoma dumu fagio Ila hajui kitu hata kimoja kuhusu masomo hii inaashiria huwa anapeleka mwili shule na sio Akili.
 
Ukwelii mchungu watoto /wadogo zetu WA form two wamefeli sana

Ni kama NECTA wameamua Kua Serious kuset mitihan na Kumark worked scripts.

Division four imeokoa wengi sana na simply division four ni kufeli

Reflection tunayoipata si nzuri kiuchumi na kwa future ya hawa wanafunz

nchihi ambazo zimendelea mfan South Korea na japani walifanikiwa kwa Kuakikishawanapta the best students kwenye kila level.

Leo south Korea hakuna mwanafunzi anayefeli kwa sababu ya strong foundation yaan no masihara kwenye education.

Leo south Korea WAna the best doctors , Best engineers , excellent bankers n.k.

reflection ya ufaulu mdog Tanzania tunaiona Leo tuna engeneers teachers, doctors , bankers lakin wapo mtaani wanashindwa kuchekecha akili kubadil elimu kuja kwenye reality wote wanakua MADALALI

Kuna gape kubwa Kat ya private schools na government schools inaonekana private wamefanya vizuri zaid .

serikali iwe serious ia

Serikali ikitaka kujua ubora wa elimu inayotoa, itofautishe matokeo ya shule za Private na shule zake za Umma.
Matokeo ya somo la Hesabu shule za Umma (msingi na sekondari) yanaogopesha....
 
Ingekuwa Division Four Wanafeli Form Two ingekuwa Majanga...!

Ingekuwa vizuri ungetufafanulia hii Sentensi kwanza kabla hujaendelea..!

Kuna vijana Wanavurugikiwa mwishoni Kuna mambo yanawasibu tu..!
Sentensi tata..
 
Yaani anamaanisha kama kungekuwa na kufeli form two basi wangefeli wengi. Yaani wasingeweza kuendelea wengi kama ilivyo kidato cha nne kwenda cha tano.

Mtoa mada atanisahihisha ikiwa nimekosea kumfafanualia
 
Ingekua wanaopata division four hawaendelei na kidato cha tatu basi wengi wasingeendelea na kidato cha tatu mwaka huu,, mtoa mada amemaanisha division four nayo ni moja ya daraja la ufaulu linalomwezesha mwanafunzi kuendelea na kidato cha tatu.
 
Hivi kuna nchi nyingine yoyote duniani ambayo inatumia lugha mbili au zaidi kufundishia kwenye ngazi mbili tofauti za elimu?
 
Yaani anamaanisha kama kungekuwa na kufeli form two basi wangefeli wengi. Yaani wasingeweza kuendelea wengi kama ilivyo kidato cha nne kwenda cha tano.

Mtoa mada atanisahihisha ikiwa nimekosea kumfafanualia
Najaribu Kuelewa... yaani aliyefanya vibaya na kupata Division Four alipokuwa form two, hapo sawa..!

Lakini ikiwa Division four ya Form four, mtu huyu inawezekana Alipokuwa Form two alikuwa Vizuri sana isipokuwa kuna Vitu havikuenda Vizuri akavurugikiwa tu baadae...
 
Leta namba za waliopata division four kulinganisha na waliopata division one mpaka three ili tuelewe ulichoandika hapa.
 
Wangerudia maelfu,shule nyingi four kibao,madogo wanacheki movie na kutumia smartphone hawasomi
 
Najaribu Kuelewa... yaani aliyefanya vibaya na kupata Division Four alipokuwa form two, hapo sawa..!

Lakini ikiwa Division four ya Form four, mtu huyu inawezekana Alipokuwa Form two alikuwa Vizuri sana isipokuwa kuna Vitu havikuenda Vizuri akavurugikiwa tu baadae...
Maana siyo ulivyoelewa.
Mtihani wa form2 una div4 vile vile.
Na sifa ya kwenda form3 ni pamoja na ufaulu wa div 4.
 
Kwa mfumo uliopo na kutumika kwenye utoaji wa elimu yetu kamwe usitegemee miujiza,hakuna nia ya dhati katika kuifanya elimu kuwa ya thamani.We tazama wahusika(walimu) wanaosababisha matokeo hayo kutokea wengi wao vichwani mwao wana mambo mengi mno yanayowasonga wanakwenda kufundisha watoto wa maskini bora liende.Huku wanaosoma private wakifanya vema.Siku tutakapo thamini elimu ikiwa ni pamoja na mfumo wake basi hatutaona hizo div four.Au chukulia tu mfano kungekuwa na sheria ya Viongozi wote Kuanzia ngazi za juu huko hadi huku migombani kwamba watoto wao lazma wasome shule za serikali haya tusingeyaona ya div four pangekuwa na mazingira mazuri hata shule za private zisingepata wateja.
 
Back
Top Bottom