India imekaribia kufika mwezini

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,493
11,486
1691396621690.png

Chandrayaan-3's inatarajiwa kutua kabisa mwezini hapo Agosti 23, hilo likifanikia nchi hiyo itakuwa ni ya mwanzo kutua maeneo ya ncha ya kusini ya mwezi.

===

India's space agency has released the first images of the Moon taken by the Chandrayaan-3 spacecraft, which entered lunar orbit on Saturday.

The images show craters on lunar surface getting larger and larger as the spacecraft draws closer.

Chandrayaan-3's lander and rover are due to reach the surface on 23 August.

If successful, India will be the first country to perform a controlled "soft landing" near the south pole.

It will also become only the fourth to achieve a soft landing on the Moon after the US, the former Soviet Union and China.

Yahoo News
 
View attachment 2710837
Chandrayaan-3's inatarajiwa kutua kabisa mwezini hapo Agosti 23, Hilo likifanikia nchi hiyo itakuwa ni ya mwanzo kutua maeneo ya ncha ya kusini ya mwezi.
a moon is a gaseous light non landable plasma. No human will ever land and has ever landed on the moon. wake up from your dream of believing these fake cgi and hollywood movies the americans made in the 1960s and 70s to spice the cold war.
 
a moon is a gaseous light non landable plasma. No human will ever land and has ever landed on the moon. wake up from your dream of believing these fake cgi and hollywood movies the americans made in the 1960s and 70s in order to spice the cold war.
Duh!!!
 
it is a fact mkuu. research about nasa. they now claim they have no technology of going to the moon. Kama leo with all the advancement of technology, they dont have it. Miaka ya 1960-70 hiyo technologia waliitoa wapi.

Enzi hizo computer harddisk ilikuwa na ukubwa wa 240k leo hii simu tu ya mkononi has hundreds of giga bytes? ni simu, ni radio, ni tv, ni computer, ni walkman, ni type writer, ni walk talkie etc kisha wanadai hawana technology? Yaani technolojia zote ulimwenguni zimeadvance isipokuwa technolojia waliyotumia kwenda mwezini?

everyone knows it was fake, kuwarusha roho warusi maana Yuri Gagarin, mrusi alishafika anga za juu wakaona wameshapigwa bao na warusi. Wakaamua kustage fake moon landing, ili propaganda zao against russia zipate boost.
 
it is a fact mkuu. research about nasa. they now claim they have no technology of going to the moon. Kama leo with all the advancement of technology, they dont have it. Miaka ya 1960-70 hiyo technologia waliitoa wapi.

Enzi hizo computer harddisk ilikuwa na ukubwa wa 240k leo hii simu tu ya mkononi has hundreds of giga bytes? Simu ni simu, ni radio, ni tz, ni computer, ni walkman, ni type writer, kisha wanadai hawana technology?

everyone knows it was fake, kuwarusha roho warusi maana Yuri Gagarin, mrusi alishafika anga za juu wakaona wameshapigwa bao na warusi. Wakaamua kustage fake moon landing, ili propaganda zao against russia zipate boost.
Sawa mkuu..
 
Back
Top Bottom