Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Mi nitaamini vipi kama ni mtu umempanga wewe......Mi nimekuomba hivyo kwasababu mada zako nimehudhurisha katika Group langu la Afya la Whatsapp nimeona Tufike Tamati kwa hili kwa kukufanya wewe uwe GUINE PIG kwa kukubali TUKU INJECT damu ya Mgonjwa wa UKIMWI kisha tukupe miezi sita TUJE HAPA NA KWENYE GROUP LANGU utoe USHUHUDA WA HILI.
MI SIWEZI KUKUBALI MTU AMBAYE SINA HAKIKA NA UKWELI WAKE.

NA KAMA HAIWEZEKANI NAOMBA HUYU MTU WAKATI ANAKU INJECT DAMU NIWE NAYE,NA MWENYEWE NIITHIBITISHA HIYO DAMU KUWA KWELI NI YA MTU MWENYE UKIMWI.
NA USIWE NA WASIWASI JAMBO HILI TUNALIFANYA KWA KUFUATA TARATIBU ZOTE ZA KISHERIA,na kwa taarifa tu nishamuandaa mwanasheria katika hili KWA AJILI YA USALAMA WAKO NA USALAMA WANGU.

1.Wewe unaishi wapi?

2.Umejiaandaje kufidia muda nitakaoupoteza kufanya jambo hilo.

3.Ukishaniambia umejiandaa vipi kufidia muda nitakaopoteza kufanya jambo hilo halafu nikaridhika,basi utatafuta mtu ambaye wewe mwenyewe umemthibitisha ana HIV uje naye pale nitakapotaka mimi.Sawasawa?

4.Halafu tutasubiri miezi 3,sio 6 kama unavyotaka.Inaonekana bado hata hiyo mainstream theory ya HIV/AIDS hujaielewa.Tutasubiri miezi 3,sio 6.Umeelewa?

Haya nijibu hapo kwenye namba 2 kwanza.
 
Kwa maelekezo yako huko nyuma kuwa wewe upo na umejitolea kwa ajili ya kusaidia watu katika Tatizo FEKI hili walilo karirishwa....Sasa unapokuja na hoja za KUFIDIWA MUDA nashindwa kukuelewa ni katika ujanja wa kukwepa amma nini??
Mi nina kuhakikishia Katika Harakati zako ambazo mwenyewe umeamua kuzianzisha kwa ajili ya KUKOMBOA watu waliokaririshwa juu ya uwepo wa HIV na UKIMWI feki UKIKUBALI KUFANYA ninachokitaka UTARAHISHIA umma kuelewa zaidi kuliko hayo maandiko unayotupa.

Niambie ni muda au gharama gani zinahitajika kwako wewe kuingiziwa damu ya "MTU MWENYE UKIMWI FEKI"???

Mi sihitaji wewe unifata wala kuinunua Damu.....Mi tayari nina mgonjwa wangu na tayari kisharidhia kutolewa damu....na mimi ndio nitakufata wewe mpaka ulipo.
Na gharama zote za Syringe nw mengine ni zangu.

We kazi yako ni kuniambia upo wapi na saa ngapi tukutane......MI NIJE KUKUDUNGA.

Kama hili halitaki basi yupo ambaye ulishakubaliana nae huko nyuma naona ulikubaliana nae bila hivi vikwazo unavyonipa mimi basi mi naomba unipe mawasiliano yake......Mimi na yeye tuarrange hili jambo.

PENGINE KWANGU MIMI NDIO KUNA FIDIA basi tufanye kwa huyo uliyekubaliana nae BILA FIDIA.

NASISITIZA TUFUNGE VITABU NA YOTE TUJE KATIKA ULIMWENGU WA HAKIKA/UHALISIA
 
Tulishamaliza kwenye simu,ningeomba pia uje na huyo 'mgonjwa' ili nimpe ushauri nini cha kufanya.
 
ARVs zimetengenezwa kwa makusudi kabisa ziwe addictive,kama yalivyo madawa ya kulevya.Hivyo ukiacha ghafla unakufa,na hii ndio point wanayoitegemea sana kuwaaminisha watu kwamba ARVs zinasaidia na ndio maana ukiacha unakufa.Lakini ukweli ni kwamba hazina msaada wowote ule zaidi kukufanya uwe teja kama watumiaji wengine wa madawa ya kulevya na hivyo ukiacha ghafla unakufa.Kuna utaratibu wake wa kuacha.Wametumia sayansi kubwa sana hapa kurubuni akili zetu.
Mimi nimemuachisha kutumia ARVs ndugu yangu na yuko safi mpaka sasa.Mtu akipinga nitacheka tu kumhurumia kwa maana kupinga kunamkosesha elimu ya karne.

Sikusema ukimwi haupo,nilisema VVU/Ukimwi haupo,yaani ukimwi hausababishwi na VVU na ukimwi ulikuwapo karne nyingi zilizopita na si ugonjwa wa ajabu kihivyo na si hatari kihivyo na unapona kirahisi sana kama utarekebisha kitu kinachosababisha kinga yako kushuka.
Kama ungenifuatilia vizuri,ungeshapata jibu la swali hili.Ni hivi,kuna magonjwa mengi yana dalili kama hizi tulizoambiwa za VVU/Ukimwi feki,mojawapo ya ugonjwa huo ni TB.Baadhi ya dalili za TB ni;
1.Kukohoa sana
2.Kukonda
3.Kupungua uzito
4.Kukosa hamu ya kula
5.Homa za mara kwa mara
6.Kuishiwa nguvu nk.

Kama hizi dalili zinafana na zile za VVU/ukimwi feki tulizoaminishwa,Je,VVU/Ukimwi ni ugonjwa wa aina gani sasa?Akili kichwani.Ukweli huu watu wanajifanya hawaujui.

Wanaosema hivyo ni madaktari au manesi.Hao wameshakaririshwa kwamba bila kutumia hizo dawa lazima ufe na pia wana uzoefu wa kuona watu waliotumia muda mrefu dawa hizo wakaacha wakafa.Hivyo wanaamini kwamba dawa zinasaidia na ndio maana mtu akiacha anakufa,kumbe hawajui mtu anakkufa kwa addiction.

Nilishasema kwamba hutakiwi kuacha ARVs ghafla kwa kuwa watu wengi hawana elimu hii,hivyo wanaweza kuacha ghalfa halafu wakafa.Wakishakufa baada ya kuacha maksi zinakwenda kwa wale waliotuletea ARVs kwamba wako sahihi.Inabidi mtu awe na ujuzi jinsi ya kuacha ndio aache,ARVs zinaachwa kwa utaratibu sio ghafla.Nadhani unajua kwamba hata wale wanaotumia madawa ya kulevya huwa wana vituo vyao wanahudhuria ili kuacha,wakienda huko huwa wanapewa dozi fulani tofauti na madawa hayo mpaka wanakuwa safi kabisa.ARVs nazo zina utaratibu wake.

Kuwa makini hapa:
Wagonjwa wanaopewa dawa za ARVs na zile za Cancer(chemotherapy) mahospitalini huwa wanakufa kwa dawa.Yaani dawa ndizo zinawauwa kabla ya ugonjwa halisi kuwaua.
Mtu ana TB wanampa dawa za TB na ARVs baada ya kumpima.Anapona TB lakini ARVs zinamwua.Mtu ana cancer anapewa dawa za cancer.Dawa zinaua cancer ya zamani na kusababisha cancer mpya ambayo ni hatari kuliko ile ya zamani.Je,ulikuwa unajua hili?Ndio maana pia mara nyingi husema cancer haiponi.

Nikikuchukua wewe mzima kabisa huumwi chochote.Nikikupa dozi wanayopewa wagonjwa wa cancer kwa muda wa miaka mitatu tu,tunaenda kukuzika.Pia nikikuchukua wewe mzima wa afya,huumwi chochote nikakupa ARVs halafu nikakunyima vyakula vya asili,baada ya miaka 5 hadi 10 tunaenda kukuzika.

Mkuu tuelezee hizo ARVs mtu anatakiwa aacheje
 
Sasa kama Deception ni mwongo ,mbona Ulaya hawaamini juu ya Hiv/ Aids? Mbona hawafi kama sisi Waafrika? Ukichunguza kwa kina huu Ukimwi ulivyo Deception yuko right. Madaktari acheni ubishi usio na kichwa wala miguu. Tembeeni mitaani kwa waathirika na washukiwa kuna mambo utajifunza kuhusu uongo juu ya Hiv.
 
mkuu @Deception ulishawahi kwenda hospital ukaona waathirika wa Huo ugonjwa? maana kama umewahi ona huwezi sema HIV/AIDS ni uongo. watu wanateseka vitandani kwa huo ugonjwa.
 
Kulikuwa na Daktari mmoja pale Muhimbili alisema yeye binafsi hawezi kupima HIV.
Ukweli kwa wakati ule sikumuelewa.Binafsi nikahitimisha kwamba anaogopa sababu ni mchezaji maarufu wa mechi za ugenini bila viatu.
Lakini baada ya kupitia uzi huu na machapisho tofauti yahusuyo HIV na wakubwa wa Dunia. Nikahisi kwamba yule Daktari anajua kilicho nyuma ya pazia kuhusu HIV,ila hakutaka kusema ukweli kutokana sheria za kazi yake.
 
Last edited:
Ndio mkuu,yaani sikubakisha kitu,documentary zote zinazohusu mambo haya nimezifuatila kwa undani kabisa tena karibu mara sita sita kila moja.Hakuna documentary nilibakisha.Pia scientific papers mbalimbali nimefuatilia na nimefanya tafiti mbalimbali clinic za watu wanaotumia ARVs na nimefuatilia pia watu wanaotumia ARVs walio kwenye hatua za mwisho/yaani wenye hali mbaya zaidi kiafya.
Nikaja kuhitimisha kwamba,sisi tunauawa kwa kukosa maarifa na uelewa,kwa kweli inaniuma sana hadi leo hii baada ya kujua ukweli huu na ninadhani ipo siku walioshikiria biashara hii ya ARVs wataniua kwa kuwaelimisha watu ukweli kwa maana sina hata chembe ya uvumilivu ya kuhifadhi ukweli huu ndani ya ubongo wangu.
Tumedanganywa kuhusu ugonjwa huu kuanzia;
1.Historia yake(ni feki)
2.Hypothesis yake(ni uongo uliopindukia)
3.Vipimo vya HIV(ni feki na very misleading)
4.na Dawa zake za ARVs(hazina faida yoyote na ndio hizi hasa zinazosababisha matatizo halafu tunamsingizia HIV).
inakuwaje sasa mtu anayesemekana ni mwathirika anapokuwa hatumii arv hufa mapema?nini kinachomuua?
 
soma kuhusu virus vnavyosababisha upungufu wa kinga mwili ,,hasa type D na G tabia zake utaelewa nn maana yake no need ya kubishana.
 
. Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya ugonjwa huo wanayodai ni uhakika.
Kwa kutumia damu ya kupandikiza kutoka kwenye kitovu mwana (umbilical cord) cha mtu ambaye ana vinasaba ambavyo havipokei virusi hivyo vya Ukimwi, wataalamu hao wa tiba wa Hispania wanaamini kuwa wanaweza kutibu ugonjwa huo baada ya mafanikio waliyopata kwa mgonjwa mmoja.
Madaktari hao wa Kitengo cha Taifa cha Upandikizaji (ONT) cha Hispania walichukua damu ya vitovu mwana vya watu wenye vinasaba ambavyo havipokei VVU na kuipandikiza kwa mtu anayeishi na virusi hivyo. Baada ya miezi mitatu, mgonjwa huyo alipimwa na kuonekana hana virusi.
Daktari wa Programu ya Upandikizaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Catalan, Barcelona, Rafael Duarte alisema mgonjwa aliyetibiwa kwa njia hiyo, Timothy Brown (37), alikuwa anaishi na VVU tangu mwaka 2009 na madaktari hao walithibitisha kuwa amepona baada ya kupandikizwa damu hiyo. Mgonjwa mwingine aliyefanyiwa majaribio ya tiba hiyo alipona VVU, lakini miaka mitatu baadaye alifariki kwa ugonjwa wa saratani.
Timu ya madaktari wa Hispania ililiambia gazeti la kila siku nchini humo la El Mundo kuwa wana uhakika kuwa wameleta mapinduzi katika mapambano ya Ukimwi na magonjwa yanayofanana na hayo.
Dk Duarte alisema mwaka 2015 umekuwa wa kujivunia ugunduzi huo mkubwa duniani, ingawa alitahadharisha kuwa tiba kamili haiwezi kupatikana katika siku za usoni.
Kaimu mkurugenzi wa mwitikio wa Taifa wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids), Dk Morris Lekule alisema utafiti kama huo hauna budi kufuata taratibu zote na kuthibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kabla ya kutangazwa kuwa ni tiba sahihi.
“Kila mara taarifa zinakuja zikisema tiba ya Ukimwi imepatikana, lakini tiba kupata uthibitisho kwamba ni sahihi, ni mchakato mrefu unaotakiwa kuhakikisha kama kweli dawa hiyo inatibu na ni lazima WHO wathibitishe hilo,” alisema. Alisema ni vizuri kama wataalamu hao wakapata uhakika kutoka WHO badala ya kuwapa watu matumaini kuwa kuna tiba na baadaye matumaini hayo yanapotea.
Daktari wa kitengo kinachoshughulika na masuala ya Ukimwi cha WHO, Richard Banda alisema hana taarifa za tiba hiyo.
Tiba inavyofanya kazi
Madaktari wa ONT walitumia damu ya mtu mwenye vinasaba vya ‘CCR5Delta’ ambavyo seli zake haziathiriwi na virusi hivyo vya Ukimwi.
Dk Duarte alisema kwanza huziua seli za damu ya mgonjwa kwa kutumia mionzi halafu seli mpya (kutoka kwenye damu ya mtu mwenye seli zisizoathiriwa na VVU hupandikizwa.
Damu hiyo ilipandikizwa kwa mgonjwa mwenye virusi hivyo na saratani ya damu.
Baada ya seli hizo kupandikizwa, Virusi vya Ukimwi vilivyo kwenye damu ya mgonjwa hushindwa kujipenyeza katika seli mpya zilizopandikizwa. “Siku 11 baada ya upandikizaji, mgonjwa wa Barcelona alianza kupata nafuu na baada ya miezi mitatu, tulimpima na kukuta hana VVU,” alisema.
 
na hao wanaojiita WHO ndo wabaya kabisa na usitegemee kbs kuwa watapitisha hiyo tiba
 
Wadau,

Nimeisoma kwa umakini mkubwa sana thread ya mdau mmoja aliyekata shauri na kuamua kwenda kupima HIV!

Kiukweli kabisa toka katika uvungu wa moyo wangu nampongeza sana na Mwenyezi Mungu amuokoe huyu ndugu! Lakini kati ya wachangiaji waliosimama kidedea kuchangia thread hii, mchangiaji mmoja nimemnukuu akisema, "hukujua kuwa kupata UKIMWI ni kazi ngumu sana.."

Na kwa bahati mbaya alipoombwa kutoa elimu na uzoefu wake na baadhi ya wadau, hakuonekana tena! Usemi huu umeibua tafakari na tafakuri nyingi katika halmashauri yangu ya kichwa, nikirejea na siku za mgongoni nikiwa darasani mwalimu pia aliwahi kusema maneno sawia na ya mchangiaji wa leo na toka ya hapo, swali hili limetoka katika tawala za kichwa changu kwamba, "Je, inawezekana mtu akalala (siyo kulala huku kwa kawaida, tafsida imezingatiwa) na mtu mwenye UKIMWI tena bila condom na asipate UKIMWI?".

Nisaidieni wadau.

Nawasilisha.

======

!
!
Uwezekano upo, tena mkubwa tu sana. Kupata virusi vya hiv ni lazima kuwe na mwingiliano wa kidamu na muathirika. Kwamba damu yenye virusi ilitoka kwa ei kwenda kwa bii. Hii naliongea from personal experience. Ukihitaji zaidi just ask ila habari ndio hiyo. Kupata ukimwi ni shughuli nzito mno.
 
Mkuu kama ni personal experience hebu tujuze zaidi kwani ilikuwaje mkuu?
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom