Inawezekana Makamba huwa anapelekwa Wizara zilizojisahau Kiutendaji ili akazisafishe na kuzipa Kasi mpya!

Waziri January Makamba alivyoteuliwa pale Nishati alipasafisha na kuweka Watendaji wapya kuanzia Tanesco na kwingineko.

Sasa amepelekwa Mambo ya Nje tayari ameanza kuisafisha na Rais Samia ameshatoa Neno la angalizo.

Jumaa Mubarak 😄
JMakamba anasafisha ili kuweka watu wake, ambao mwisho wake wanafeli vibaya kama walivyofanya TANESCO
 
VIPI WAKUU , MA GENERETA MANGAPI YAMENUNULIWA KWA MUDA WA KIPINDI CHAKE ???? HILI SWALI ZURI , MNOO TUKIPATA TAKWIMU BEFORE AND AFTER ITAKUWA POWA MNOO KUJUA UHALISIA
 
Huyo akiingia sehemu analeta majungu watu waondolewe aweke watu wake..na huyu mama haongei kitu kwa huyo mzee.

January lazima atengeneze mianya ya kupiga kwa kutengeneza watu wake..kwa uwepo wa watu aliowakuta amepaona pagumu. Tena wengine wa enzi ya Magu.

Akiharibu kabisa ndio huyu mama atashtuka atamtoa tena.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo huko ccm kile mnachotamka ni tofauti na mtendacho?. Huko hamna anaenena na kutenda kwa haki?. Wote huko mmemsahau hata MUNGU kwa ajili ya matumbo yenu tu
Naona kama vile hujapiga Biriani ya wapalesti leo.

Unabwabwaja na kuhororoja bila mpango. Dijakuelewa unasema nini?
 
Back
Top Bottom