Inawezekana kabisa viongozi wa nchi hii hawajui wafanye nini ili wakuze uchumi wa wananchi wao

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,331
4,857
Nadhani wananchi wenyewe mngewapa mbinu, maoni viongozi wenu kupitia platform mbalimbali ili wajue mnahitaji nini kulikoni kukaa na kuwa dislike, ninachojua mpaka sasa na ninaamini hilo ya kuwa katika viongozi waliopo madarakani hakuna mwenye maono wala ubunifu wa kukaa kusugua kichwa afanye nini ili wananchi wake wafike pahala fulani kiuchumi

Hebu ifike hatua wananchi wenyewe muwaambie viongozi wenu kipi kitawafanya mtoke hapo mlipo, mimi sidhani kama wananchi sio wawajibikaji wananchi wanajituma sana na kuangalia fursa za kiuchumi isipokuwa viongozi mmekaa kisiasa na kuwaza uchaguzi zaidi kuliko kutafuta kero za wananchi.
 
Back
Top Bottom