Inauma; Tujikumbushe mafuriko

Njanga Tz

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
843
653
images
images

images
upload_2016-9-16_12-2-14.jpeg
upload_2016-9-16_12-2-53.jpeg
upload_2016-9-16_12-3-31.jpeg


Inauma sana haitakuja kutokea tena.

Mwenyekiti CCM JF
 

Attachments

  • upload_2016-9-16_12-2-37.jpeg
    upload_2016-9-16_12-2-37.jpeg
    11.9 KB · Views: 68
images
images

images
View attachment 401337View attachment 401339View attachment 401340

Inauma sana haitakuja kutokea tena.

Mwenyekiti CCM JF
Kweli nimeamini kinyago unacho kichonga hakiwezi kukutisha. Unajua wakati ma MVI ana hangaika na mifedha yake, Msemaji wa CCM alisema Panya akiingia kwenye mtungi, Mtungi hauvunjwi ili kumtoa Panya . Akasema tena Mafuriko ya ma MVI watayazuia kwa Kidole. Sasa nimeamini ma MVI kamwe hatoweza kuiangusha CCM. Kweli kinyago hakimtishi mchongaji.
 
wengiwao kwenye mafuriko walikuwa mateja na wahuni wasio na kadi za kupigia kura, jiulize kweli bodaboda ataacha kupiga mishe zake kisa anaenda kumpa kura lowassa? tehetehe Ufipa hawana hamu tena na hicho kichapo cha mkia wa taa.
 
Hivi hizi akili umezaliwa nazo au umekutana nazo tu huku duniani?ama kwel "WHEN A MAD MAN WALKS NAKED IT'S HIS KINSMEN WHO FEEL SHAME"
Hivi ww kwa akili zako za kuzaliwa kama mnategemea makapi ya CCM na akili ya Gwajima unahisi unaweza kuchukua nchi 2020? Hamfanyi uwekezaji kutoa viongozi nyie mnadandia Wazee wa CCM waliochoka kama Sumaye, uliza tena swali lako kama akili zangu nimezikuta barabarani au nimezaliwa nazo.

Mwenyekiti CCM JF
 
Hivi ww kwa akili zako za kuzaliwa kama mnategemea makapi ya CCM na akili ya Gwajima unahisi unaweza kuchukua nchi 2020? Hamfanyi uwekezaji kutoa viongozi nyie mnadandia Wazee wa CCM waliochoka kama Sumaye, uliza tena swali lako kama akili zangu nimezikuta barabarani au nimezaliwa nazo.

Mwenyekiti CCM JF
Nimekukubali mkuu wewe n mwana CCM uliyeelimika kumbe,una hoja huna matusi,big up,hii ndio siasa!!!..
 
Kichapo kiliwaingia haswa hadi bado mnakumbuka na hamtakaa msahau... Shukuruni sana ile mambo yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom