Inatakiwa diesel 25,000 mts - cif mombasa

Edylux

Member
Mar 30, 2009
48
9
Salaams wana JF,

Inatakiwa Diesel tani 25,000 kwenda Mombasa katika muda mfupi iwezekanavyo, preferably yaliyo kwenye
high seas. Inaweza kuwa biashara endelevu.

Mwenye kuwanayo/fununu atoe bei na muda wa kuyafikisha Mombasa (delivery time).

Malipo ni kwa njia ya LC.

Rgds,
Edylux
 
Yaliyo kwenye high seas?!?!?!?!
Kwani hii biashara ya kusubiriana mteja, kwa kuituma meli high seas.....
Be real ndugu yangu, au na wewe umepata fununu tu?

Ndio za kupewa tender pasipo kujua jinsi biashara inavyofanyika....
 
Salaams wana JF,

Inatakiwa Diesel tani 25,000 kwenda Mombasa katika muda mfupi iwezekanavyo, preferably yaliyo kwenye
high seas. Inaweza kuwa biashara endelevu.

Mwenye kuwanayo/fununu atoe bei na muda wa kuyafikisha Mombasa (delivery time).

Malipo ni kwa njia ya LC.

Rgds,
Edylux

Tanzania ndio maana haiendelei sasa wewe umepata tenda hata pakuyapata hupajui
Hizo meli zitakazokuwa high seas zinasubiri kuuza bila kuwa na order ?
Ndio maana Mataka kaiba ATC sasa na wewe chukua chake usepe tuu
 
wajameni, mie nafikiri kama umeona jamaa haielewi hiyo biashara vizuri ni vema ukamfafanulia jinsi inavyofanyika hapo utakuwa umemsaidia sana, si unajua kila mtu yupo ktk harakati za kujikwamua kiuchumi?
Thanks mkuu
 
Mi ni mdau wa mafuta, hakuna atakaekubali kushusha tu-lita 25,000 tu from high seas, hiyo ni kitu kidogo sana
 
Shark:

mts ni metric tons (tani) na sio litres (lita)

endelea mdau wa mafuta
 
Back
Top Bottom