Inasikitisha Sana

Kiguhu

Member
May 9, 2011
27
2
Suala la timua timua hapa nchini. Imakuwa kama tz ni nchi imbayo ni tajiri wa wataalamu wakati hata wakologa udongo wa kujengea tuanawapata toka china, Tutafika kweli kwa mtindo huu tukisahau ni gharama gani tumetumia kwa wale tunao watimua na athari za kuwatimua. Je tumelidhika na haya???
 
Shida yetu wabongo ni hatufuati sheria zilizowekwa za kumiliki ardhi, mtu anaamua kujichukulia ardhi (mali ya serikali) na kuanza kujenga nyumba/kulima shamba au kumuuzia mwingine kiwanja/shamba bila kufuata taratibu zilizowekwa, baadaye anarudi kulalamikia serikali ati ina timua timua. Tembelea nchi za wenzetu hakuna vitu kama hivi. Kama jangwa lipo, kama limsitu lipo hakuna uvamiaji na kujenga/ kulima ki holela holela
 
Back
Top Bottom