Inasikitisha kuona CHADEMA wanawachangisha watu hela Iringa wakati wanapewa hela ya Ruzuku

Status
Not open for further replies.
Ndugu zanguni

Jana kama wote tulivyoona viongozi wa chadema waliamua kama kawaida yao kwenda kufanya mkutano Iringa mkutano ambao toka Msigwa achukue ubunge ni kama wa hamsini sasa. Sikatai msigwa inabidi aendelee na kampeni kwa sasa kwani amekalia kuti kavu hivyo inabidi kila mwezi lazima apige mkutano mmoja au miwili kuwabembeleza wanyalu.

Jambo lililonishangaza ni kuona wakati mkutano unaendelea Dr Slaa alisimama na kuwaomba wananchi wachange hela za mafuta.

Naomba niwaulize maswali yafutayo;

Kama kweli unataka kuwasaidia wananchi inakuwaje unwaomba hela wakati unajua hawana?

Chadema wanachukua ruzuku serikalini hela ambayo ndio ilitakiwa itumike kukijenga chama ziko wapi?

Kama kweli wabunge wana uchungu na wananchi ni kwa nini wasitumie posho zao kununua mafuta?

Kama kweli wabunge wa chadema wana machungu kwa nini wamenunua magari yenye injini kubwa yanayokunywa mafuta mengi? si wange tumia Nissan micra au Toyota Vitz zenye injini ndogo? ili wasiwe wanawaomba omba wanachi hela ambao tayari wao wanahitaji msaada wao?

Chadema kuweni na huruma kwa wananchi, msiwafanye wananchi mitaji. Wananchi walaiwasaidia wakati wa kampeni kwa hiyo sasa ni wakati wa nyinyi kulipa sio kuomba omba miaka yote.
scam.jpg

JITAMBUE!

"Even fools are thought to be wise when they keep silent; when they keep their mouths shut, they seem intelligent."- Proverbs 17:28 NLT.
 
" Please chip $5 to support Obama for 12" ulikuwa ujumbe kwa wamarekani wote hasa (47%) ambao Mitt Romney did give a damn about. Obama alikuwa Rais, anaruka na AirForce One, hizo pesa zilikuwa za nini? Lakini ndizo zilizo run campaign na kumwezesha kushinda tena. Wewe kama business man, you should know umuhimu wa michango to run project. SHAME ON YOU

You Nail It!!!
 
Huyu Chris Lukosi si ndiyo aliyefukuzwa uanachama na chadema kule london? kumbe jamaa kichwani matope asee kha!
Hata hajui chadema ni chama cha wazalendo na lazima wakaichangie kwa nguvu zao mpaka ukombozi upatikane
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zanguni

Jana kama wote tulivyoona viongozi wa chadema waliamua kama kawaida yao kwenda kufanya mkutano Iringa mkutano ambao toka Msigwa achukue ubunge ni kama wa hamsini sasa. Sikatai msigwa inabidi aendelee na kampeni kwa sasa kwani amekalia kuti kavu hivyo inabidi kila mwezi lazima apige mkutano mmoja au miwili kuwabembeleza wanyalu.

Jambo lililonishangaza ni kuona wakati mkutano unaendelea Dr Slaa alisimama na kuwaomba wananchi wachange hela za mafuta.

Naomba niwaulize maswali yafutayo;

Kama kweli unataka kuwasaidia wananchi inakuwaje unwaomba hela wakati unajua hawana?

Chadema wanachukua ruzuku serikalini hela ambayo ndio ilitakiwa itumike kukijenga chama ziko wapi?

Kama kweli wabunge wana uchungu na wananchi ni kwa nini wasitumie posho zao kununua mafuta?

Kama kweli wabunge wa chadema wana machungu kwa nini wamenunua magari yenye injini kubwa yanayokunywa mafuta mengi? si wange tumia Nissan micra au Toyota Vitz zenye injini ndogo? ili wasiwe wanawaomba omba wanachi hela ambao tayari wao wanahitaji msaada wao?

Chadema kuweni na huruma kwa wananchi, msiwafanye wananchi mitaji. Wananchi walaiwasaidia wakati wa kampeni kwa hiyo sasa ni wakati wa nyinyi kulipa sio kuomba omba miaka yote.
scam.jpg

JITAMBUE!

Lukosi

Kwanza ungelikuwa na huruma kiasi hicho usingeweza kumwongopea bila chembe ya haya, mjane wa Daudi Mwangosi, Bi. Itika. Ole wao wanaodanganya wajane...

Pili, labda haujui maana ya dhana nzima ya kumilikisha mapambano haya na kuwashirikisha watu wote, wakiwemo wanyonge wenzetu. Hujui kuwa hiyo ndiyo spirit iliyotumika wakati wa kupigania uhuru, ndiyo spirit iliyowasaidia TANU, Mwalimu Nyerere kuzunguka nchi nzima kupeleka ujumbe wa mabadiliko ya kumwondoa mkoloni mweupe.

Ndiyo spirit inayotumika kumwondoa mkoloni mweusi CCM, wakati wa mapambano haya ya awamu ya pili. Na kwa namna mnavyotishika hadi mnakuja kudhihirisha hofu zenu hapa kama ulivyofanya wewe, bila shaka kama ni kichomi, kimewabana kisawasawa.

Malalamiko yako mbona yako siku nyingi. Waulize wakubwa wako ndani ya CCM, waliosimamia na kuendesha kampeni huko Arumeru Mashariki, walipokuja na hoja nyepesi kama hii yako kupinga suala la wananchi kushiriki katika ukombozi wao, majibu waliyapata kwenye sandukunla kura!

Hiyo ndiyo M4C. Watanzania wote wanashirikishwa katika kusukuma hilo gurudumu. Wala si lazima pesa. Jana umemsikia Msigwa akishukuru namna ambavyo machinga mmoja alimpatia soksi, mama mmoja aliyemwombea heri kwa Mwenyezi Mungu. Ni mchango wa hali na mali kuiondoa CCM madarakani.

Ninyi mnaowalazimisha na kuwatisha wafanyabiashara wachangie shughuli zenu, eti kama wakikataa mnawafilisi au kuwatishia kuwafilisi kupitia TRA ndiyo mnaogopa sana kuona wananchi wako tayari kuchangia kwa hiari mikutanoni kuliko hata wanavyochangia kwa shuruti mbele ya mgambo na polisi, vijijini na mijini.

Kumbe hujui hata namna fedha za ruzuku ya CHADEMA inavyotumika! Sasa kwa nini ukakimbilia kwenye kompyuta bila kwanza kusumbua ubongo wako! Ndiyo shida ya kuwa mwanachama wa chama cha wavivu wa kufikiri! Wanachama wa CHADEMA wanajua fedha hizo za walipa kodi zinavyotumika kiusahihi. Google, utaona hata moja ya thread hapa ambazo wenzako waliwahi kuanzisha walipata majibu mwanana.

CHADEMA ni chama pekee ambacho kimekuwa kikirudia mara kadhaa, kwa uwazi kuwaambia Watanzania na hasa wanachama wake, kiasi cha ruzuku wanayopata kila mwezi na matumizi yake. Taja chama kingine chochote hapa nchini chenye uthubutu wa namna hiyo... Hakuna. Nikusaidie Chris Lukosi, ungeonekana mtu makini kweli kweli, iwapo ungehoji accountability ya michango hiyo, badala ya hoja nyepesi ulizoandika hapa.

Yupo waziri mmoja kwenye serikali yenu hii inayoshindwa chini ya chama kinachoanguka, alishindwa kuvumilia na kujizuia kupiga simu kuwapongeza viongozi wa CHADEMA kwa namna wanavyoungwa mkono, kiasi cha wananchi kukimbilia maboksi kuweka michango yao na kuweka mikono yao kwenye masanduku hayo, kuombea M4C. Ilikuwa ni wakati wa uzinduzi wa M4C, pale Jangwani Dar es Salaam.

"Hali ya namna hii, wananchi kujiyoa kiasi hiki kwa ajili ua maisha yao, ilionekana wakati wa Mwalimu Nyerere na TANU pekee," alisema waziri yule.
 
Huyu anajua vizuri sana. Inamuuma roho tu kwamba kwa nini wananchi wanaitikia mwito wa kukichangia chama chao. CCM wametuharibia sana utamaduni wa siasa hapa nchini. Badala wananchi kuchangia harakati za siasa kama ilivyokuwa enzi za kudai uhuru na kusambaza azimio la Arusha, wao huwa wanagawia kanga na vijisenti. Sasa CDM tumeanza kurudisha huu utamaduni wa wananchi kuchangia vyama vyao ili waelewa kwamba ni vyama vyao na wavimiliki, jamaa zetu wa CCM wanalialia kwa sababu wao hawawezi kupata watu wa kuwachangia kwa kuwa wamewazoesha wanachama wao kuwagawia. Pole LC.
Mkuu wape ukweli watu wanajua kuwa MACCM ni wezi watawezaje kuchangisha wakati wao ni wezi??? Watu wameisha funguka sasa wanatapatapa kwenye mitandao eti CDM inachangiwa, ukweli ndio huo watu wameelimika wamejua mwizi wao ni nani, wanajipanga kumporomosha kwenye kiti!!!

Ndugu zanguni

Jana kama wote tulivyoona viongozi wa chadema waliamua kama kawaida yao kwenda kufanya mkutano Iringa mkutano ambao toka Msigwa achukue ubunge ni kama wa hamsini sasa. Sikatai msigwa inabidi aendelee na kampeni kwa sasa kwani amekalia kuti kavu hivyo inabidi kila mwezi lazima apige mkutano mmoja au miwili kuwabembeleza wanyalu.

Jambo lililonishangaza ni kuona wakati mkutano unaendelea Dr Slaa alisimama na kuwaomba wananchi wachange hela za mafuta.

Naomba niwaulize maswali yafutayo;

Kama kweli unataka kuwasaidia wananchi inakuwaje unwaomba hela wakati unajua hawana?

Chadema wanachukua ruzuku serikalini hela ambayo ndio ilitakiwa itumike kukijenga chama ziko wapi?

Kama kweli wabunge wana uchungu na wananchi ni kwa nini wasitumie posho zao kununua mafuta?

Kama kweli wabunge wa chadema wana machungu kwa nini wamenunua magari yenye injini kubwa yanayokunywa mafuta mengi? si wange tumia Nissan micra au Toyota Vitz zenye injini ndogo? ili wasiwe wanawaomba omba wanachi hela ambao tayari wao wanahitaji msaada wao?

Chadema kuweni na huruma kwa wananchi, msiwafanye wananchi mitaji. Wananchi walaiwasaidia wakati wa kampeni kwa hiyo sasa ni wakati wa nyinyi kulipa sio kuomba omba miaka yote.
scam.jpg

JITAMBUE!

Hata ccm ruzuku haiwatoshi lakini wao hawachangishi wanafidia kwenye ufisadi
 
Lukosi

Kwanza ungelikuwa na huruma kiasi hicho usingeweza kumwongopea bila chembe ya haya, mjane wa Daudi Mwangosi, Bi. Itika. Ole wao wanaodanganya wajane...

Pili, labda haujui maana ya dhana nzima ya kumilikisha mapambano haya na kuwashirikisha watu wote, wakiwemo wanyonge wenzetu. Hujui kuwa hiyo ndiyo spirit iliyotumika wakati wa kupigania uhuru, ndiyo spirit iliyowasaidia TANU, Mwalimu Nyerere kuzunguka nchi nzima kupeleka ujumbe wa mabadiliko ya kumwondoa mkoloni mweupe.

Ndiyo spirit inayotumika kumwondoa mkoloni mweusi CCM, wakati wa mapambano haya ya awamu ya pili. Na kwa namna mnavyotishika hadi mnakuja kudhihirisha hofu zenu hapa kama ulivyofanya wewe, bila shaka kama ni kichomi, kimewabana kisawasawa.

Malalamiko yako mbona yako siku nyingi. Waulize wakubwa wako ndani ya CCM, waliosimamia na kuendesha kampeni huko Arumeru Mashariki, walipokuja na hoja nyepesi kama hii yako kupinga suala la wananchi kushiriki katika ukombozi wao, majibu waliyapata kwenye sandukunla kura!

Hiyo ndiyo M4C. Watanzania wote wanashirikishwa katika kusukuma hilo gurudumu. Wala si lazima pesa. Jana umemsikia Msigwa akishukuru namna ambavyo machinga mmoja alimpatia soksi, mama mmoja aliyemwombea heri kwa Mwenyezi Mungu. Ni mchango wa hali na mali kuiondoa CCM madarakani.

Ninyi mnaowalazimisha na kuwatisha wafanyabiashara wachangie shughuli zenu, eti kama wakikataa mnawafilisi au kuwatishia kuwafilisi kupitia TRA ndiyo mnaogopa sana kuona wananchi wako tayari kuchangia kwa hiari mikutanoni kuliko hata wanavyochangia kwa shuruti mbele ya mgambo na polisi, vijijini na mijini.

Kumbe hujui hata namna fedha za ruzuku ya CHADEMA inavyotumika! Sasa kwa nini ukakimbilia kwenye kompyuta bila kwanza kusumbua ubongo wako! Ndiyo shida ya kuwa mwanachama wa chama cha wavivu wa kufikiri! Wanachama wa CHADEMA wanajua fedha hizo za walipa kodi zinavyotumika kiusahihi. Google, utaona hata moja ya thread hapa ambazo wenzako waliwahi kuanzisha walipata majibu mwanana.

CHADEMA ni chama pekee ambacho kimekuwa kikirudia mara kadhaa, kwa uwazi kuwaambia Watanzania na hasa wanachama wake, kiasi cha ruzuku wanayopata kila mwezi na matumizi yake. Taja chama kingine chochote hapa nchini chenye uthubutu wa namna hiyo... Hakuna. Nikusaidie Chris Lukosi, ungeonekana mtu makini kweli kweli, iwapo ungehoji accountability ya michango hiyo, badala ya hoja nyepesi ulizoandika hapa.

Yupo waziri mmoja kwenye serikali yenu hii inayoshindwa chini ya chama kinachoanguka, alishindwa kuvumilia na kujizuia kupiga simu kuwapongeza viongozi wa CHADEMA kwa namna wanavyoungwa mkono, kiasi cha wananchi kukimbilia maboksi kuweka michango yao na kuweka mikono yao kwenye masanduku hayo, kuombea M4C. Ilikuwa ni wakati wa uzinduzi wa M4C, pale Jangwani Dar es Salaam.

"Hali ya namna hii, wananchi kujiyoa kiasi hiki kwa ajili ua maisha yao, ilionekana wakati wa Mwalimu Nyerere na TANU pekee," alisema waziri yule.

Mkuu Makene!

Achana na huyo mjinga. Nashangaa kuona kwamba anaanzisha mijadala bila hata kufahamu sehemu nyingine duniani wanafanya nini! Nashangaa aliupataje uongozi CHADEMA huku akiwa hajui nini maana ya kuwashirikisha waTanzania katika mapambano ya kumng'oa mkoloni mweusi? Kwamba hajui nini maana ya kuingiza hisia za umilikishwaji wa chama kwa waTanzania kushiriki kwa hali na mali?

Nalazimika kuamini kwamba "KUISHABIKIA CCM LAZIMA UWE NA AKILI ZA MAITI".
 
Yes, kuwa successful business man katika project mbali mbali lazima uwe na kitabu cha mahesabu na ufahamu nini maana ya debit & credit. Kwani hujui wahenga walisema mali bila daftali hupotea bila mwenye mali kuwa na taarifa.

Liko wapi hilo daftali la mali inayochangwa kwa hii project?.

Hata kama ni mradi binafsi, lazima uwe na daftali kama ilivyo kwa Democratic ya President Obama.

Kama isivyojulikana kwa majina kwa wale wanaochangia hii project ya CHADEMA na isiwe ndiyo sababu ya kutokuwa na daftali.

This is just small ask but very important

Kwani accountant wa chama anatumia ubao?
 
Kwanza Nyerere akuomba, wananchi waliomtuma hawakusita kumchangia kwa hiari.Pili Nyerere hakuwa na kazi yenye mshahara kama katibu mkuu wenu na wabunge wake wanaotaka kuchangiwa na walalahoi.Kuna tatizo gani wakipanda bus kwenda Iringa kuwahutubia wananchi? kuna shida gani leo wakilala kwenye hotel zenye gharama nafuu kutokana na walichonacho mfukoni au kutumia pesa ya ruzuku ya chama.Huu ni ulaghai na tamaa ya pesa.
Kipindi hiki kunatofauti gani kati ya mkoloni na wezi hawa wa EPA, RICHMOND, DOWANS, MEREMETA, BUZWAGI, TWIGA ZETU, TEMBO ZETU viongozi wa Fast Jet?? Nia ya Watanzania wazalendo wanachanga saana kuhakikisha tunawaporomosha kwenye utawala wa kiwizi, kifisadi, na dhulumati!!! Unalipwa na fedha za dhuluma wewe ubandike utumbo hapa jamvini!!!
 
nngu007
Umesahau kitu kimoja CCM hakikuanza jana kipo na kinatumia ruzuku yake ipasavyo hata nyie mna uwezo kufanya takrima tatizo pesa hizohizo ndizo wanakopa viongozi wenu; tuna rasimali nyingi tu hakuna ubaya kama tunazitumia kuwaburudisha wanachama wetu; nyie endeleeni kuchanga hekalu la katibu mkuu bado halijakwisha
Chama
Gongo la mboto DSM

Duh wewe ni JANGA LINGINE na kweli UNAFIKIRI KWA KUTUMIA ILE KITU YA DIWANI wenu MASABURI NA MBUNGE WENU SERUKAMBA.IYO MIRADI MLIIPATAJE AU NIILE YA KULAZIMISHANA KIJAMBAZI NA UWIZI WA MCHANA KAMA MLIVYOFANYA KWENYE HALMASHAURI ZOTE ZILIZOKUWA CHINI YA MABARAZA YA MAGAMBA 2010?KUNA PIA WAHINDI WANAOTISHWA ILI WACHANGE HASA WALIMTUMIA YUSUFU MWIZI A.K.A MWL MZINZI MSTAAFU?
 
Kipindi hiki kunatofauti gani kati ya mkoloni na wezi hawa wa EPA, RICHMOND, DOWANS, MEREMETA, BUZWAGI, TWIGA ZETU, TEMBO ZETU viongozi wa Fast Jet?? Nia ya Watanzania wazalendo wanachanga saana kuhakikisha tunawaporomosha kwenye utawala wa kiwizi, kifisadi, na dhulumati!!! Unalipwa na fedha za dhuluma wewe ubandike utumbo hapa jamvini!!!
Tofauti ni moja tu,wanawachangia wakwasi,wezi na waliotanguliza maslahi yao binafsi mbele
 
hivi kati ya wanaowanyonya wananchi katika gas, wizi wa rasilimali na wanaowaomba wananchi ela nani ambaye hawaonei huruma wananchi
 
Umoja ni Nguvu na utengano ni udhaifu...CHADEMA inawajenga wananchi kuwa watu wa kuichangia nchi yao na maendeleo yao kwa moyo mmoja...kiongozi siku zote ni mfano wa Kuigwa...katika sherehe ya ufunguzi wa jumuiya yetu (ya kijamii) tulipata mchango wa Mdee na jana nimesikia Clouds wakimnadi kuwa ameto 20mil kwa maendeleo ya elimu....
Unaposema people's power means they are owing you...kwa sababu wamechangia...kila mmoja kwa kidogo chake anachangia...that is an association au hujui?
Tumeichangia sana TANU japo tulikuwa na hali ngumu kuliko pengine wewe ni kijana mdogo hujui hili...
Tunamchangia hata Mwenyezi Mungu ambae fedha na dhahabu ni vyake (zaka na sadaka)
Hatutaacha kwani hatulazimishwi....na bado tunawasaidia wenye shida na omba omba tunaokutana nao...
KUTOA NI MOYO NA SIO KUJIFICHA ULAYA!
 
jamaa anahoja nyepesi sana na amenikumbusha hadith ya sungura sizitaki mbichi hizi hahahsha
 
Hakuna la maana hapo. Michango kwa chama cha siasa, iwe ni katika Afrika au Ulaya, vyama vinaendeshwa kwa michango. Umaskini wa sasa wa Watanzania ni zaidi ya umaskini wa Watanzania wakati wa TANU na CCM ya Nyerere? TANU na CCM viliendeshwa kwa michango. Michango ilipungua sana au kutoweka ndani ya CCM baada ya mafisadi kupora chama kutoka kwa wananchi wa kawaida.

Usiwe mnafiki, michango kwa chama cha siasa ni jambo la kawaida. Kwanza kuchangia kunawapa 'ownership' wenye chama. Hakuna aliyemlazimisha mtu kuchangia, anayeweza anachangia, asiye nacho anachangia kwa namna nyingine.

Hata makanisani tunaenda kwa miguu kutoa sadaka na kuchangia mafuta ya gari la askofu. Tunachangia siyo kwa lengo la kumpa anasa bali tunajua kuwa ili aweze kutoa huduma vizuri na aweze kuwa na uwezo wa kusaidia watu wengi ni lazima awe na mazingira mazuri ya kufanya kazi hiyo. Huo ndiyo ukweli.

Watu wanapoteza muelekeo wa huu mjadala.

Mleta mada amejieleza vizuri sana, kila kitu kakiweka sawa, lakini sijui tatizo ni uelewa mdogo wa baadhi ya wachangiaji humu au tu wameamua kutetea uovu kwa nguvu zote.

Mifano mingi iliyotolewa na wachangiaji ni kutoka nchi za mabeberu. Nchi zilizoendelea na hata ukiangalia kipato cha mtu mmoja mmoja kwa mwaka kinaweza kuzidi Tshs. 10 million.

Kwa uchumi wa namna hii wa nchi zilizoendelea, sio tatizo kwa wananchi kuchangia chama, ni jambo la kizalendo kukiwezesha chama, lakini kwa uchumi wa Tanzania, tena huko vijijini, sio uungwana hata kidogo kufanya hivyo.

Hakuna kati yetu asiejua kama CHADEMA kinapewa zaidi ya Tshs. 300 million kwa mwezi kama ruzuku kuendesha shughuli za kichama, kulingana na idadi ya wabunge wake, je, ni vyema kwenda kuwakamua wananchi fedha za mafuta? Ruzuku inafanya nini sasa?

Wananchi wa huko mikoani haya hawayajui, kama wangeelewa kuwa chama kinapewa fedha za kutosha, hapo hapo wanataka fedha kutoka kwa wananchi, wananchi wasingewapa, hapo hapo wanataka fedha kutoka kwa mabepari wa ujerumani, sasa hii Saccoss au chama cha siasa?

Tunaomba CHADEMA waache kuibia wananchi tena wavuja jasho na watumie fedha za ruzuku kufanya shughuli zao za kukijenga chama, wananchi nao waache upuuzi, mnasema maisha magumu halafu fedha mnatoa kirahisi hivyo? hivi watanzania tumerogwa?

Tunza fedha yako na uitumie kwenye matumizi yenye tija tu, sio ovyo ovyo tu kama hivyo kuwapa CHADEMA. Na kuna haja sheria ya vyama vya siasa ifanyiwe marekebisho kuvitaka vyama vifanyiwe ukaguzi na CAG kuangalia swala zima la matumizi. CCM hatuna shaka na Mhe. Kinana kwenye hili, lakini CHADEMA, mmmmh.
 
Ndugu zanguni

Jana kama wote tulivyoona viongozi wa chadema waliamua kama kawaida yao kwenda kufanya mkutano Iringa mkutano ambao toka Msigwa achukue ubunge ni kama wa hamsini sasa. Sikatai msigwa inabidi aendelee na kampeni kwa sasa kwani amekalia kuti kavu hivyo inabidi kila mwezi lazima apige mkutano mmoja au miwili kuwabembeleza wanyalu.

Jambo lililonishangaza ni kuona wakati mkutano unaendelea Dr Slaa alisimama na kuwaomba wananchi wachange hela za mafuta.

Naomba niwaulize maswali yafutayo;

Kama kweli unataka kuwasaidia wananchi inakuwaje unwaomba hela wakati unajua hawana?

Chadema wanachukua ruzuku serikalini hela ambayo ndio ilitakiwa itumike kukijenga chama ziko wapi?

Kama kweli wabunge wana uchungu na wananchi ni kwa nini wasitumie posho zao kununua mafuta?

Kama kweli wabunge wa chadema wana machungu kwa nini wamenunua magari yenye injini kubwa yanayokunywa mafuta mengi? si wange tumia Nissan micra au Toyota Vitz zenye injini ndogo? ili wasiwe wanawaomba omba wanachi hela ambao tayari wao wanahitaji msaada wao?

Chadema kuweni na huruma kwa wananchi, msiwafanye wananchi mitaji. Wananchi walaiwasaidia wakati wa kampeni kwa hiyo sasa ni wakati wa nyinyi kulipa sio kuomba omba miaka yote.
scam.jpg

JITAMBUE!

With comment ama post Mtanzania anapata faida gani ? Taifa lina angamia wewe unalia lia na michango ?
 
Napenda nikujulishe mtoa mada kwamba kuchangia kuna maana ya ndani iliyojificha, kama kitu hujakichangia unakuwa huna uchungu nacho, pia kuchangia kuna maana ya kuwawezesha wananchi wakione chama kwamba ni cha kwao. Kwa kuwa wananchi wamechangia maana yake ni kwamba wana wajibu wa kuhakikisha chama kinakuwa accountable kwao. Hope you get it
 
Ndiyo maana tupo hapa tulipo kwa sababu ya ushabiki usiokuwa na tija kwa taifa. Pamoja na amani lakini ujuha wa watanzania umewafanya baadhi ya Watanzania leo hii kujiuliza kwa nini wamezaliwa Tanzania??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom