Inasikitisha kuona CHADEMA wanawachangisha watu hela Iringa wakati wanapewa hela ya Ruzuku

Status
Not open for further replies.
Kuna kipindi nashawishika kuamini kuwa baadhi ya wasomi wanatumia masaburi kufikiri!

Siamini msomi kama Lukosi tena ambaye ameishi nje ya nchi anaweza kuanzisha uzi kama huu. Huu ni wazi ni ufinyu wa mawazo.

Nadhani mengi kaelimishwa na wenzangu lakini ngoja nami nimpe darasa upande wa pili.

Lile kapu linaitwa kapu la uzalendo. Unaambiwa hata kama huna pesa ya kuchangia liguse tu ishara ya kusupport mabadiliko na wazi waliotoa hata Tshs 100 kwa kumananisha maana yake huyo yupo tayaru kukifia chama na hawezi kuuza shahada yake.

Kwa mantiki nyingine Tshs 900,000 ya jana ni zaodi ya kura 3,000 kutokana na michango hiyo kama ingekuwa ni uchaguzi.

Hilo kapu la mchango ni zaidi ya fedha elewa hilo.
 
nngu007 Thank you kwa kufunga kazi, next time huyu Chilisosi atajifikiria marambili kabla hajaja kuweka "UTUPU" wake hapa.
 
Acha ushamba. Sisi tumechanga kwa hiari. Nakuhakikishia huo mkutano wako wa June hupati zaidi ya watu mia.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jasusi
Mkuu tulichanga sana wakati wa kampeni ya Obama; michango yote ilikuwa accounted for hakuna usiri wa matumizi; na hata ambazo zimebaki kwenye kampeni zinajulikana ni kiasi gani; hebu nikuulize tangu Chadema wapitishe mabakuli umeshapewa mchanganuo wa mapato na matumizi? Mkuu usidanganye watu accountability ya michango tunayochangishwa ni kubwa sana na ndio sababu wanasiasa wanaotumia michango kwa shughuli binafsi wanashtakiwa na kufungwa mfano Jesse Jackson jr amejiuzulu nafasi yake na hivi sasa anasubiri kwenda jela; Chadema viongozi waandamizi wamekuwa ndio wakopaji wa pesa za chama;mkuu usidanganye watu kwenye hili.
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

Sio kwa hiari ni kwa kulaghaiwa.

Chadema wanafanya kama karata tatu, wale wadau wa mbelmbele wanaokuwa wa kwanza kuchanga wote ni watu wao waliowaweka ili kulaghai wengine nao wachanga. Baadae wale watu wa ndani wanarudishiwa pesa zao.

Ni mchezo wa karata tatu. Ukifika unaweza kuona mchezo una wateja wengi kumbe ni utapeli tu, wale wanaoshabikia ni wenzao. Watu wengi hutapeliwa namna hii.
 
Mkuu nngu007! you kill all MAGAMBA kwa picha ulizoweka, Mleta huu utumbo nae pia ameishiwa na hoja. CCM na serikali yake ni BALAA
 
Jasusi
Mkuu tulichanga sana wakati wa kampeni ya Obama; michango yote ilikuwa accounted for hakuna usiri wa matumizi; na hata ambazo zimebaki kwenye kampeni zinajulikana ni kiasi gani; hebu nikuulize tangu Chadema wapitishe mabakuli umeshapewa mchanganuo wa mapato na matumizi? Mkuu usidanganye watu accountability ya michango tunayochangishwa ni kubwa sana na ndio sababu wanasiasa wanaotumia michango kwa shughuli binafsi wanashtakiwa na kufungwa mfano Jesse Jackson jr amejiuzulu nafasi yake na hivi sasa anasubiri kwenda jela; Chadema viongozi waandamizi wamekuwa ndio wakopaji wa pesa za chama;mkuu usidanganye watu kwenye hili.
Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama ni ile ruzuku ya chama ndo inayogharamia misosi, mafuso,kuchapisha fulana na kofia, kanga na kuwalipa wasanii katika kila mkutano wenu.!? au kuna source zingine!? na ni wapi tutapata taarifa za mapato na matumizi za chama chenu!?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Pai
nngu007
Umesahau kitu kimoja CCM hakikuanza jana kipo na kinatumia ruzuku yake ipasavyo hata nyie mna uwezo kufanya takrima tatizo pesa hizohizo ndizo wanakopa viongozi wenu; tuna rasimali nyingi tu hakuna ubaya kama tunazitumia kuwaburudisha wanachama wetu; nyie endeleeni kuchanga hekalu la katibu mkuu bado halijakwisha
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Sio kwa hiari ni kwa kulaghaiwa.

Chadema wanafanya kama karata tatu, wale wadau wa mbelmbele wanaokuwa wa kwanza kuchanga wote ni watu wao waliowaweka ili kulaghai wengine nao wachanga. Baadae wale watu wa ndani wanarudishiwa pesa zao.

Ni mchezo wa karata tatu. Ukifika unaweza kuona mchezo una wateja wengi kumbe ni utapeli tu, wale wanaoshabikia ni wenzao. Watu wengi hutapeliwa namna hii.

Mlisema mkutano hautafana, umefanikiwa mmekuja kulia na michango, msi panic, just relax...! that's M4C...!!!
 
Mkuu Chris Lukosi utaacha lini upumbavu? Wananchi wanachangia chama cha ukombozi kwa hiari yao wanajua walifanyalo, wameteseka vya kutosha toka Uhuru, vile vile hata TANU ilichangiwa pia.
CC Chilisosi KALENGA
 
Last edited by a moderator:
nngu007
Umesahau kitu kimoja CCM hakikuanza jana kipo na kinatumia ruzuku yake ipasavyo hata nyie mna uwezo kufanya takrima tatizo pesa hizohizo ndizo wanakopa viongozi wenu; tuna rasimali nyingi tu hakuna ubaya kama tunazitumia kuwaburudisha wanachama wetu; nyie endeleeni kuchanga hekalu la katibu mkuu bado halijakwisha
Chama
Gongo la mboto DSM

Heri ya CHADEMA wanaochangisha na wananchi tunatoa kwa hiari kuliko chama chenu na serikali yake kinachowaibia na kuwapora kwa nguvu.. refer Loliondo, twiga, pembe za ndovu, EPA, korosho huko Lindi na Mtwara, tena naskia kimenuka huko wananchiwanataka pesa zao na hamtaki kuwalipa..!?? Kazi mnayo...!
 
Last edited by a moderator:
Kuna kipindi nashawishika kuamini kuwa baadhi ya wasomi wanatumia masaburi kufikiri!

Siamini msomi kama Lukosi tena ambaye ameishi nje ya nchi anaweza kuanzisha uzi kama huu. Huu ni wazi ni ufinyu wa mawazo.

Nadhani mengi kaelimishwa na wenzangu lakini ngoja nami nimpe darasa upande wa pili.

Lile kapu linaitwa kapu la uzalendo. Unaambiwa hata kama huna pesa ya kuchangia liguse tu ishara ya kusupport mabadiliko na wazi waliotoa hata Tshs 100 kwa kumananisha maana yake huyo yupo tayaru kukifia chama na hawezi kuuza shahada yake.

Kwa mantiki nyingine Tshs 900,000 ya jana ni zaodi ya kura 3,000 kutokana na michango hiyo kama ingekuwa ni uchaguzi.

Hilo kapu la mchango ni zaidi ya fedha elewa hilo.

Huyu siamini kaama msomi mabox anayo beba kichwani yanamfanya awe mpumbavu na kutojitambua
 
Jasusi
Mkuu tulichanga sana wakati wa kampeni ya Obama; michango yote ilikuwa accounted for hakuna usiri wa matumizi; na hata ambazo zimebaki kwenye kampeni zinajulikana ni kiasi gani; hebu nikuulize tangu Chadema wapitishe mabakuli umeshapewa mchanganuo wa mapato na matumizi? Mkuu usidanganye watu accountability ya michango tunayochangishwa ni kubwa sana na ndio sababu wanasiasa wanaotumia michango kwa shughuli binafsi wanashtakiwa na kufungwa mfano Jesse Jackson jr amejiuzulu nafasi yake na hivi sasa anasubiri kwenda jela; Chadema viongozi waandamizi wamekuwa ndio wakopaji wa pesa za chama;mkuu usidanganye watu kwenye hili.
Chama
Gongo la mboto DSM
OK mimi nilimchangia Jesse Jackson Junior kushinda Congress Chicago, Nimemchangia Obama for 12, wapi Democrat walisema ni watu wangapi walichangia? JJJ anashitakiwa na nani, Democrat or FBI? Karl Rove alisema Sarah Palin 08, alitumia pesa za kampeni kwa shughuli binafsi Je unajua hilo? flip coin now, Umeona watu wanavyosombwa katika malori kuhudhuria mikutano ya CCM, je hiyo ni kazi ya malori kisheria? Hao wanamuziki na vyakula vinavyogawiwa na CCM, ndio kazi ya ruzuku? Je unajua kuna makatibu wangapi wa CCM wa Kata/ Wilaya hawajalipwa mishahara yao ya mwezi kwa zaidi ya miezi 6? Be your age man
 
Watu wanapoteza muelekeo wa huu mjadala.

Mleta mada amejieleza vizuri sana, kila kitu kakiweka sawa, lakini sijui tatizo ni uelewa mdogo wa baadhi ya wachangiaji humu au tu wameamua kutetea uovu kwa nguvu zote.

Mifano mingi iliyotolewa na wachangiaji ni kutoka nchi za mabeberu. Nchi zilizoendelea na hata ukiangalia kipato cha mtu mmoja mmoja kwa mwaka kinaweza kuzidi Tshs. 10 million.

Kwa uchumi wa namna hii wa nchi zilizoendelea, sio tatizo kwa wananchi kuchangia chama, ni jambo la kizalendo kukiwezesha chama, lakini kwa uchumi wa Tanzania, tena huko vijijini, sio uungwana hata kidogo kufanya hivyo.

Hakuna kati yetu asiejua kama CHADEMA kinapewa zaidi ya Tshs. 300 million kwa mwezi kama ruzuku kuendesha shughuli za kichama, kulingana na idadi ya wabunge wake, je, ni vyema kwenda kuwakamua wananchi fedha za mafuta? Ruzuku inafanya nini sasa?

Wananchi wa huko mikoani haya hawayajui, kama wangeelewa kuwa chama kinapewa fedha za kutosha, hapo hapo wanataka fedha kutoka kwa wananchi, wananchi wasingewapa, hapo hapo wanataka fedha kutoka kwa mabepari wa ujerumani, sasa hii Saccoss au chama cha siasa?

Tunaomba CHADEMA waache kuibia wananchi tena wavuja jasho na watumie fedha za ruzuku kufanya shughuli zao za kukijenga chama, wananchi nao waache upuuzi, mnasema maisha magumu halafu fedha mnatoa kirahisi hivyo? hivi watanzania tumerogwa?

Tunza fedha yako na uitumie kwenye matumizi yenye tija tu, sio ovyo ovyo tu kama hivyo kuwapa CHADEMA. Na kuna haja sheria ya vyama vya siasa ifanyiwe marekebisho kuvitaka vyama vifanyiwe ukaguzi na CAG kuangalia swala zima la matumizi. CCM hatuna shaka na Mhe. Kinana kwenye hili, lakini CHADEMA, mmmmh.
 
Kama ungekuwa na Akili, ungejiuliza Billion 500 zilizotajwa na Mkaguzi mkuu wa serikali ya CCM, zipo wapi na hayo madaftari yako? Unajua maana ya national debt? Unajua ni kiasi gani sasa hivi? Je unajua kinachangia kiasi gani kurudisha maendeleo ya hao wananchi unaozungumzia? when this UPUMBAVU/UFISADI wa CCM will end ? Hata Mwalimu alichangiwa na wauza maandazi pesa za kwenda UK kudai uhuru, je aliwajua ni mamantilie wangapi? I knew from GEGO, you're smart, but you play FOOL sometime. Please don't get me started

Hii ulioandika ndiyo nini?

Kwa hiyo unataka kupigilia stamp kwenye hoja kuwa CHADEMA na serikali ya CCM is like father, like son.

Kama hili bakuli dogo linakuwa halina daftali, itakuwaji ukifika wakati wa kupewa bakuli la taifa zima.

Charity start at home!. Kama accountability ndani ya taasisi ndogo kama hii ya CHADEMA inakuwa zero, itawezaje kupambana na influence za kimataifa zinazotegemea kuimarika bila pingu za accountability.

Mwl. Nyerere hakuwajua mama ntilie lakini mama ntilie walijua pesa yao ilikuwa inafanya nini na daftali lake lilikuwa wapi. This was 1960's ambapo hata typewriter ilikuwa ni anasa kuwa nayo achilia mbali computer with financial applications plus world wide web.
 
Acha kuwa Wasirra kabla sijasema Serukamba,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom