Inashangaza kwa serikali ya tanzania kua hivi.

FAMILY LAW

Member
Jul 14, 2012
53
10
Habari zinasema kua serikali ya tanzania haijatuma helikopta wala vifaa vya uokolezi kwenda eneo la tukio tofauti na reaction ambazo hua zinachukuliwa katika vurugu za kisiasa vyombo vya dola vinakua mstari wa mbele kutuma polisi na mabomu ya machozi..lakini umoja wa ulaya na serikali ya south africa kupitia port elizabeth wametuma helikopta kwa ajili ya kusaidia uokolewaji au uopolewaji. how far kilometers from south to zanzibar? or dar to z'bar? nawasilisha.

source DW UJERUMANI
 
Hizo Helicopter unazozitaka ziende kuokoa huko baharini zipo? Ziko wapi? Ni nzima au ndo unataka zikadondoke humo na kuongeza msiba? Ninavyofahamu mimi nchi yetu hii yenye utajiri mkubwa wa madini yote ya ulimwengu huu, ina Helicopter moja tu ndogo (wanayotumia Polisi) ambayo ina unafuu flani kimatengenezo. Huko JWTZ zilikuwepo sijui 3 zikadondoka zote kwakuwa zilinunuliwa chakavu (used) tulizochomekewa, halafu makamanda wakala 60% kwa gharama ya maisha ya marubani wao masikini.
 
Helkopta zipo nyingi tu sema zipo kwa kazi maalum kama vile kuzuia maandamano ya CDM
 
Hakuna umasikini mbaya, kama wa kifikra, hii sirikali kama ipo imekosa vipaumbele na hivyo kupoteza mwelekeo
 
Serikali ya Tanzania vipaumbele kwa UMMA hakuna kutokana na ufisadi; kama wangekuwa wabunge au mawaziri wamepata ajali ndo ungesikia kila kitu kimefunguka hata jeshi na mzinga kwenda kuokoa
 
Habari zinasema kua serikali ya tanzania haijatuma helikopta wala vifaa vya uokolezi kwenda eneo la tukio tofauti na reaction ambazo hua zinachukuliwa katika vurugu za kisiasa vyombo vya dola vinakua mstari wa mbele kutuma polisi na mabomu ya machozi..lakini umoja wa ulaya na serikali ya south africa kupitia port elizabeth wametuma helikopta kwa ajili ya kusaidia uokolewaji au uopolewaji. how far kilometers from south to zanzibar? or dar to z'bar? nawasilisha.

source DW UJERUMANI

Soma kipande hiki cha maneno ya Viongozi wetu, kisha utapata jibu kwa nini hawakupeleka unachotaka huko ZNZ.
=====================================================================================================

Ilikuwa majira ya saa 11 wakati Bunge likianza awamu ya pili ya jioni ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Nchimbi, alikuwa akijibu hoja za wabunge, ndipo Hamad aliomba mwongozo wa Spika wa Bunge akitaka bajeti ya wizara hiyo ipitishwe kwa mafungu ili wabunge waende kwenye tukio hilo.

Hamad alitumia kanuni ya 47 (3) inayosema kuwa hoja itatolewa na mbunge kwa kusimama mahali pake na kuomba idhini ya Spika kutoa hoja ya kuahirisha shughuli za Bunge kwa madhumuni ya kujadili jambo halisi la dharura na muhimu kwa umma.

Hata hivyo Spika Makinda alikataa kuahirisha shughuli za Bunge akisema kanuni hiyo inatumika vibaya, kwani ilitakiwa jambo hilo liwe limetokea eneo lililo karibu na Bunge.

Alisema watahitajika wabunge wawahi kutoa damu au msaada wowote wa haraka lakini kwakuwa limetokea Zanzibar, wabunge hawawezi kutoa msaada wowote kwa haraka, zaidi ya kupiga simu kujua kilichotokea.

"Nimeshawasiliana na waziri anayehusika na majanga na wamekubaliana kuwa awasiliane na wahusika waliopo kwenye eneo la tukio na kisha tutajua tutakavyojipanga," alisema Makinda.

Source: Tanzania Daima la leo.
=====================================================================================================

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
kuna ulazima wa kufanya uchunguzi kama tunaserikali au hatuna.

Hakuna ulazima wowote labda huo uchunguzi ufanywe na Serikali ya umoja wa Kitaifa ya CCM na CUF huko ZNZ. Zanzibar ni nchi hakuna ulazima wowote wa TANGANYIKA kupeleka misaada ya uokozi huko labda kama Serikali ya Zanzibar itaomba hivyo.
 
Hizo Helicopter unazozitaka ziende kuokoa huko baharini zipo? Ziko wapi? Ni nzima au ndo unataka zikadondoke humo na kuongeza msiba? Ninavyofahamu mimi nchi yetu hii yenye utajiri mkubwa wa madini yote ya ulimwengu huu, ina Helicopter moja tu ndogo (wanayotumia Polisi) ambayo ina unafuu flani kimatengenezo. Huko JWTZ zilikuwepo sijui 3 zikadondoka zote kwakuwa zilinunuliwa chakavu (used) tulizochomekewa, halafu makamanda wakala 60% kwa gharama ya maisha ya marubani wao masikini.

Ulichekisema sio kweli kama hakuna hercopter mbona kwenye vurugu za 26 may zilikuja katika tafrani za uamsho hili tunafahamu serekali ya muungano ipo kukandamiza kwa wanao dai haki tu
 
Back
Top Bottom