Inakuwaje umeoa halafu unamwambia mwanamke mwingine "I love you?"

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,890
Haya umeoa halafu mchepuko wako unamwambia I LOVE U hivi mnamaanishaga?😆

Au mnamsemaga ili mpewe mzigoo , jingine hamuogopi kuleta magonjwa nyumbani?
Unajisikiaje unamke mrembo , anakuheshimu, kukupenda mbwa wewe halafu kutwa gesti na wasichana za watu. Hutulii

Tulia maisha haya ni yakuwa na maamuzi yenye busara.

Hivi mnakosaga Nini? Semeni?
 
Haya umeoa halafu mchepuko wako unamwambia I LOVE U hivi mnamaanishaga??😆

Au mnamsemaga ili mpewe mzigoo , jingine hamuogopi kuleta magonjwa nyumbani??
Unajisikiaje unamke mrembo , anakuheshimu, kukupenda mbwa wewe halafu kutwa gesti na wasichana za watu . Hutulii
Tulia maisha haya ni yakuwa na maamuzi yenye busara.

Hivi mnakosaga Nini ?? Semeni

Love is fo everyone
 
Ukioa yule mwanamke anaitwa mke mumo kwa pale.Na huyo mwingine wa barabarani ataitwa demu.Umeona tofauti?Sijui tunaelewana?
 
Haya umeoa halafu mchepuko wako unamwambia I LOVE U hivi mnamaanishaga??

Au mnamsemaga ili mpewe mzigoo , jingine hamuogopi kuleta magonjwa nyumbani??
Unajisikiaje unamke mrembo , anakuheshimu, kukupenda mbwa wewe halafu kutwa gesti na wasichana za watu . Hutulii
Tulia maisha haya ni yakuwa na maamuzi yenye busara.

Hivi mnakosaga Nini ?? Semeni
Mkuu moyo wa mwanaume kwenye upendo haujafungwa kwa mwanamke mmoja ,ni kuulize swali kwa nini Mungu alweka mamilioni ya sperms kwa mwanaume ? Ivi unafikiri uwo uwingi wa sperms ni kwa ajili ya mwanamke mmoja tu?
 
Kwa iyo wewe unafikiri unapoambiwaga "i love you" ni kweli? Hizo ni saundi tuu za wakulungwa ili utoe mbususu.
Sijawahi ambiwa mie na mtu amabye ameoa hivyoo Kwa manaa Sijawahi kuwaga nao kimahusiano ni mmoja tu
 
utelezi haunaga mwisho,
kwanini usimuliwe?,
kaa kwa kutulia cha muhimu nikuheshimu
Binafsi nkiona mwanaume anachepuka halaf anasema anamweshimu mke wake huwa nadhindwa kuelewa ni heshima gan inaxungumziwa hapo, au kwasababu mke hajaona ndo kusema unamheshimu? Yaan ukishaenda kuchepuka tyari ushamvunjia heshima mwenza wako hata kama hajaona wala kujua
 
Haya umeoa halafu mchepuko wako unamwambia I LOVE U hivi mnamaanishaga??😆

Au mnamsemaga ili mpewe mzigoo , jingine hamuogopi kuleta magonjwa nyumbani??
Unajisikiaje unamke mrembo , anakuheshimu, kukupenda mbwa wewe halafu kutwa gesti na wasichana za watu . Hutulii
Tulia maisha haya ni yakuwa na maamuzi yenye busara.

Hivi mnakosaga Nini ?? Semeni

pole aisee
 
Binafsi nkiona mwanaume anachepuka halaf anasema anamweshimu mke wake huwa nadhindwa kuelewa ni heshima gan inaxungumziwa hapo, au kwasababu mke hajaona ndo kusema unamheshimu? Yaan ukishaenda kuchepuka tyari ushamvunjia heshima mwenza wako hata kama hajaona wala kujua
 Tunatofautiana mtazamo, we unadhani wanawake hawajui kama wanaume zao wanachepuka?
Huwa wanajua na ndo maana ili kumlindia heshima hutakiwi kufanya mambo hadharani.
 
Back
Top Bottom