Inakuje msichana unakuwa mwizi? Mdada mrembo lakini kaniibia.

Mwanangu mmoja, ye akakaa na demu wiki tatu... Ile siku kaenda job...

Kurudi anakuta na baadhi ya surual na koti lakazin ndo vimetupwa chin

Kuulizwa mwenye nyumba anasema ,dem alimuambia """ Baba leo tunahama, Na (*****) kasema kodi ilobaki kaa nayo tu!!

Jamaa alipagawa, dem hamjui kwao wala hata rafiki..bahati nzuri tulikomaa mpaka tukampata !!!
Mlipompata ilikuwaje mkuu tupe story kidogo hapo ili ujazie nyama hii issue inaonekana ilikuja kuwa ngumu
 
Huyu dada nlimkaribisha weekend.alikuja home jumamosi tumekaa wote.tukatoka na kurudi late kidogo akasema hatorud hostel (anasoma CBE) so akalala.jumapili tumeamka salama nikawa natoa pesa kwenye wallet nairushia tu kabatini.

Kumbe nlipomwacha ndani mi nikatoka kwenda dukani yeye aka search wallet yangu na kuchomoa 30,000. Mi sina hili wala lile.leo asubuhi nasema nimpitishe hostel kabla sijaenda job nacheck kwenye wallet nimpe hata pesa ya chakula nakuta kumepungua.sikumuuliza.

Nikampa nyingine iliyokuwa imebaki.sikuweza mdhania kuwa atakuwa amechukua.muda huu nmerudi home nakagua kila sehemu ndo nikakumbuka hata wallet nlipokuwa nmeicha jana ilihamishwa.si hivyo tu perfume yangu flan pia kabeba na chupa ya wine nzima.

Hakunambia.mpaka namuuliza muda huu anasema ndiyo alichukua akasahau kunambia. Kabeba na boxer sijui yeye ya nini.huyu dada ni mswahili sijaona.lakini ukimwona ni mzuri wa sura na umbo lakini kichwani mtupu kabisa.

Nmekaa naye toka jumamosi kwa kumvumilia maana hajui english.stories zake ni za wasanii wa kibongo n.k nikajisemea tu kila mtu ana hobbies zake.akiandika texts hata kuielewa sometime ni shida.

Nmekuja kugundua kuwa pale CBE anasoma certificate ingawa alinidanganya degree. But ni kilaza mpaka basi. Nlisema ntamvumilia ila hili la wizi limenishtua sana.
Mbona wengi tuu, hakuna malaya wezi kama wasichana wa chuo
 
Kula tigo huyo demu. Safiri nae mpaka Mwanza mtelekeze hotelini. Watu wale mzigo
 
Back
Top Bottom