Inadaiwa kaua mke baada ya kumtuhumu kutambua uume wa jirani aliyeliwa na kiboko ziwani

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,738
15,211
Hapo unaambiwa mtu alifariki watu wakashindwa kumtambua kwasababu sura na sehem zingine za juu, ila dushelele ikawa haijaharibika inaonekana vizuri.

Unaambiwa mwana mama huyooo akaangalia dushelele akasema huyu ni mtu fulani. Watu kufuatilia wakagundua ni kweli huyo aliyetajwa ndiye aliyeenda eneo hilo alilokutwa amefariki.

Sasa mwenye mwanamama huyo akawa anajiuliza iweje mwanamama wake aangalie dushelele na ajue huyu ni mtu fulani kama alikua haruki naye vihunzi? Hapo ndo akachukua uamuzi wa kumuua.

Wivu ni kitu kibaya sana.

20230719_165724.jpg
 
Haya mambo ya kuua wake yasikie tu kwa mwingine. Huwa inauma sana kusalitiwa na haivumiliki ukifikiria jinsi mke alivyovurugwa na msela lazima mzuka wa kuua upande. Wengine tukichapiwa huwa tunakimbia mji kukwepa kuua mtoto wa watu. Halafu hao wanaokula wake za watu ***** zao, akili hawana wanavuruga ndoa za watu
 
Back
Top Bottom