In love with a lost photo

Iteitei Lya Kitee

JF-Expert Member
Jan 2, 2008
586
46
Wadau last week nlienda chuo kimoja hapa City Centre katika pita yangu nkaokota passport size ya kiumbe kimojaaaaaaaaa saaaaaaaaafi kabisa kinavutia machoni.
Hii picha nimekua nayo almost 3weeks now na sijui wats happening to me cause nahis am falling for it.
Nisaidie,nishaurini NIFANYE NINI mie,
Nimevutia na nimependa kiumbe hiki kilicho katika picha hii.Ningependa kukijua zaidi na hata kufikia hatua ileeeee ya altareni.
Please advise
 
huh!

wasi wasi wangu ni kuwa yako wewe si love kwa kuwa si rahisi ku fall in love na picha tu hata jina lake humjui..........

anyway pengine mwenzio ana mke na watoto 3 ................si utamharibia tu?

weka picha pembeni endelea na maisha yako ..........

au waweza toa tangazo la kuokota picha, ukasema alivyovaa na muonekano wake ulivyo aje 'kuchukua' picha yake
 
Kule kwetu Iteitei lya Kite maana yake ni andawea a.k.a chup.i ya mbwa....

Sasa mama Chup.i ya mbwa kwanini usiache tabia ya kuokotaokota vitu njiani kama pyupil wa nasare skuli wa shule za misheni? Siku moja utajaokota mabomu kama yale ya mbagala. shauriyo!!
 
Hata mimi nimejiuliza wats up with that name??
 
Wadau last week nlienda chuo kimoja hapa City Centre katika pita yangu nkaokota passport size ya kiumbe kimojaaaaaaaaa saaaaaaaaafi kabisa kinavutia machoni.
Hii picha nimekua nayo almost 3weeks now na sijui wats happening to me cause nahis am falling for it.
Nisaidie,nishaurini NIFANYE NINI mie,
Nimevutia na nimependa kiumbe hiki kilicho katika picha hii.Ningependa kukijua zaidi na hata kufikia hatua ileeeee ya altareni.
Please advise

Pole sana! nenda haraka kwa mchungaji jini mahaba anaanza kukunyemelea
Jichunguze vizuri ndoto zako siku hizi ziko vipi
Take Care
 
Wewe Unaota ndoto tena za Mchana

Unafall in love na picha ya m2 hujamwona live

Nenda kalale una usingizi wewe...........toka hapaaaaaaaaaaa
 
Kule kwetu Iteitei lya Kite maana yake ni andawea a.k.a chup.i ya mbwa....

Sasa mama Chup.i ya mbwa kwanini usiache tabia ya kuokotaokota vitu njiani kama pyupil wa nasare skuli wa shule za misheni? Siku moja utajaokota mabomu kama yale ya mbagala. shauriyo!!

ROFL Chrispo !!!!
 
Wadau last week nlienda chuo kimoja hapa City Centre katika pita yangu nkaokota passport size ya kiumbe kimojaaaaaaaaa saaaaaaaaafi kabisa kinavutia machoni.
Hii picha nimekua nayo almost 3weeks now na sijui wats happening to me cause nahis am falling for it.
Nisaidie,nishaurini NIFANYE NINI mie,
Nimevutia na nimependa kiumbe hiki kilicho katika picha hii.Ningependa kukijua zaidi na hata kufikia hatua ileeeee ya altareni.
Please advise

DADANGU WA KICHAGA, ZAMANI NILIKUWA NAJUA WEWE NI 'MSOLO' KUMBE NI 'ENDITO'

WATU HAWAJAKUELEWA KABISA HASA HAPO KWENYE NYEKUNDU, KIUMBE UNACHOZUNGUMZA WEWE SIDHANI NI KAMA SISI TUNAVYOFIKIRIA LABDA NI SURA YA MTU, MIMI KWA MTAZAMO WANGU NADHANI UMETUMIA NAHAU YA HALI YA JUU KUELEZEA UNACHOHITAJI JAPO SI RAHISI WATU KUKUELEWA, MIMI NADHANI UMEONA KITU AMBACHO HUJAWAHI KUKIONA MACHONI MWAKO, UKAKIPIMA NA UKAONA KINAKUFAA NA KISHA HAMU IKAKUPATA YA KUTAKA HICHO 'KIUMBE' KIWE MALI YAKO WEWE MWENYEWE, bASI DADANGU KAZI UNAYO, HAKUNA USHAURI UTAKAO KUFAA HAPA, HICHO KIUMBE NI CHA KUFIKIRIKA TU NA UKAE UKIJUA KINA MWENYEWE NA TABIA ZAKE WE HUZIWEZI
 
]Picha???? Umeokota??? Basi jaribu pia kutafuta humu mtandaoni utapata nzuri zaidi! Then uta'fall in love' kwa raha zako...
Am out.
 
Lazima ushangae Baba Askofu ...........baaada ya muda ni huyu huyu anakuja kukuomba uwafungishe ndoa na mwenye PICHA! ................miezi miwili baadae anarudi hapa JF ooooooooooooooh mimi ndoa yangu!

Tafuta tiba ndugu yangu sio bure hicho kichwa chako!
 
kwa style hii acheni ndoa zipoteze maana!!!!!!!!!!!!
 
Msaidieni jamani .... Inawezekana ndio akawa mwenzi wake wa maisha, kuokota picha ndio ikawa source.
 
Back
Top Bottom