In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar

masikini mzee malecela amepukutika sijui ni ugonjwa bado anao au ndio yuko hivyo tangu zamani wadau???si alikuwa amenona huyu?
 
Huyu Mapepe Nepi Ninaye hana lolote zaidi ya kuwa kamdomo kadogo ka Jakaya Kikwete. Na kweli ni mchizi na fyatu hasa ikizingatiwa kuwa huuchapa ulabu kama ana akili nzuri. Bado ni mdogo na akizubaa akina Ewassa watamsokoine kama siyo kumkolimba. Mape katafute kisichana uoe uachane na kufua nepi za Jakaya. Kumbe Malecela aliamua kuwakimbizia vitegemezi vyake USA baada ya vibinti kupewa ulaji nchini siyo? Ama kweli cha mlevi huliwa na mgema.
 
Back
Top Bottom