mwanamasala
JF-Expert Member
- Jun 20, 2009
- 248
- 12
Nashangaa sana kuna thread nyingi zinawalaumu Wahaya.Wamekuwa kama Jews wa Tanzania,kila kitu kibaya ni wao,ufisadi,ukabila,ngono,majidai etc etc.Facts ni hizi hapa:
Ukabila:Sidhani wanatofautiana na Wachaga au wanyakyusa au Wapare!
Wakati wa Nsekela na Mwaikambo ,NBC na BIMA zilikuwa za
Wanyakyusa,mpaka leo wakina twambombo wamejaa huko.
Mnakumbuka JWTZ,lilikuwa Jeshi la Wakuria Tanzania,maana watu
toka kwa Nyerere walikuwa wamejaa.Ukabila kwa Wahaya labda
kuoana kwa wenyewe kwa wenyewe.
Ngono: Makabila mengi sioni tofauti na Wahaya.Wanyiramba,Warangi,
Wazigua,watu wa kusini(Songea),Wanyakyusa wote wanapenda
ngono.Ukiangalia hata kuzaa nje wahaya hawana hili,kama
makabila mengine.
:
Utapeli: Na ufisadi ni makabila yote tu sasa!Mafisadi wakubwa ,Mgonja,
Lowassa,Mramba ,Balali,Anna Mkapa ni toka mikoa ya Arusha na
Kilimanjaro.Kwa hiyo wahaya wasiwe kama ndio pekee.
Elimu:Tukubali kuwa Elimu waliipata mwanzo kabla ya makabila mengi ndio
prominent people na academicians wengi toka huko.
Tukumbuke first Cardinal alitoka uhayani.Madokta ,Engineers,
Wengi kutoka huko ukifika hata States etc.Jiulizeni mbona hatuna
wa kutoka Singida,Dodoma etc.
Labda wakiacha ubishoo na kulinga !lakini hilo halisumbui jamii zaidi ya mfisadi.
nafikiri Tanzania sasa tatizo ni elitism,ufisadi na kidogo udini.Ukabila sio deal sana.