Imevuja toka ccp kilimanjaro.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Katika kikao kilicho fanyanyika kwa siri kati ya raisi kikwete na maofisa wa chuo hicho,wamekubaliana wanafunzi waliohitimu mafunzo ya polisi jana,wote waletwe arumeru kwa maelekezo maalum watakayo pewa na viongozi wao wakiwa huko arumeru.habari hizi nimezipata toka kwa mmoja wa wahitumu hao,safari ya kuja arumeru itaanza saa kumi alfajiri.

NYONGEZA: MAWAKALA NA WATAKAO HUSIKA NA USIMAMIZI AU UANGALIZI WAKATI WA KUHESABU KURA NA KUZISAFIRISHA KUWENI MAKINI NA MAGARI YENYE NAMBA ZA DFP NA STK YATAWASIMAMÌSHA MKIWA NJIANI MKIELEKEA KWENYE MAJUKUISHO,KUNA VURUGU ZITATOKEA MKIWA KWENYE USAFIRISHAJI WA KURA HIZO MTOA TAARIFA ANAWASIHI MSIPANIKI KWANI NI KITU KILICHO PANGWA,KUNA MAGARI YATAKUJA WAKATI WA KUHESABU KURA MSIMRUHUSU YEYOTE KUTOKA KWENYE MAGARI HAYO KUINGIA KWENYECHUMBA CHA KUHESABIA KURA JAPOKUWA WATAKUJA KAMA MAOFISA WA POLISI.

nitarudi badae
 
sielewi hao polisi watakaa meru kwa muda gani kwani vita vya wameru haviishi kwa mtutu wa bunduki.
 
mwaka huu wanalo.usisahu kumkumbusha rafiki yako punde wakipewa maelekezo akumwagie uweke hapa.
 
Habari ambazo nimedhitisha ni zaidi ya askari 600, waliohitimu wanapelekwa huko arumeru
 
Ukisikia kuona ajira chungu ndo hapo, umemaliza mafunzo ccp na kukutana na hasira za wameru, wallahi wanakutenganisha shingo na kiwiliwili ukiwaibia kura zao kesho, nawaonea huruma hao kuruta iwapo watashiriki ujinga wa magamba wa kuiba kura.
 
naweza kuta wanavitambilisho vya kupiga kura tayari kwa uchaguzi hapo Usa baada ya hapo wanavaa magwandwa kusubilia vurugu
 
Nimefanikiwa kupata picha yao nitaweka naona net inasumbua sana saizi.
 
Wameru hawaibiwi waungwana!
Nassari mbunge mteule Arumeru wakubali wakatae
 
Wameru hawaibiwi waungwana!
Nassari mbunge mteule Arumeru wakubali wakatae
Watu hawawajui wameru, wanawafananisha na wanyamwezi wa Igunga, watuulize tuliowahi kuishi nao ukimdhulumu mmeru tafuta pa kutembelea, vijana wa kimeru jasiri halafu ubabe kwao uko kwenye damu. Mimi sina wasiwasi kabisa kuwa kura zitaibiwa labda kura za CDM zisitoshe kihalali.
 
Katika kikao kilicho fanyanyika kwa siri kati ya raisi kikwete na maofisa wa chuo hicho,wamekubaliana wanafunzi waliohitimu mafunzo ya polisi jana,wote waletwe arumeru kwa maelekezo maalum watakayo pewa na viongozi wao wakiwa huko arumeru.habari hizi nimezipata toka kwa mmoja wa wahitumu hao,safari ya kuja arumeru itaanza saa kumi alfajiri.
Most likely maelekezo maarum ni kupiga kura kwa ajili ...
 
Vijana wakipata maelekezo.

IMG_5625.JPG
 
ninachoweza kuwasihi viongozi wa chadema,watafute taa za karabai na ziwe zinawaka muda wote wa kuhesabu kura,au tochi zenye mwanga mkali kuliko disko light.maana lazima wakate umeme ili wachakachue.mchezo hu lema anaufahamu vizuri sana,lakini wanaarusha walìkua wamejipanga vizuri walipozima tu ziliwashwa tochi kama 30 hivi kwenye kituo kimoja zenyemwanga mkali kuliko za sungusungu.
 
Nimekutana na Malori manne ya ccp maeneo ya Maji ya chai muda wa saa 7 mchana yakiwa yamejaa askari nikafahamishwa kuwa yanaenda Arumeru! Hii habari itakuwa ni kweli kabisa. Ninachojiuliza ni kwamba, mbona tayari kulisha jaa askari Arumeru!? Au ndio wanaenda kupiga kura za maruhan?
 
sielewi hao polisi watakaa meru kwa muda gani kwani vita vya wameru haviishi kwa mtutu wa bunduki.

Si bora wangekuwa wanakuja kutuliza vita sasa, hao washafundishwa wizi wa kura kwahiyo wanakuja kuiba kura
 
Ukisikia kuona ajira chungu ndo hapo, umemaliza mafunzo ccp na kukutana na hasira za wameru, wallahi wanakutenganisha shingo na kiwiliwili ukiwaibia kura zao kesho, nawaonea huruma hao kuruta iwapo watashiriki ujinga wa magamba wa kuiba kura.

Kwanini na wao wasiwe na akili timamu ya kutambua uovu unaofanyw na serikali ya magamba na kuamua kuwasaliti wakati huo wa kuiba kura ama nyie polisi mnaifurahia hii hali?
 
Back
Top Bottom