Imeshindikana kabisa kwa bisahara za kwenye mitandao (e-commerce) kule Tanzania. Jumia, Tala, Brigter Monday wote walifungasha

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,664
48,440
Sijui ni sera za kijamaa au nini husababisha Tanzania pawe pagumu kuingilika kibiashara, haswa kwa hizi za kwenye mitandao. Brighter Monday wamehama na kuamua kuendelea na huduma zao Nigeria, Ghana, Senegal, Kenya, Uganda, na Ethiopia.

Sio hao tu, wengine wengi wamefungasha na kuhama, hawa ndugu zetu wa kusini akili zao wanazijua wenyewe, wamekumbatia ujamaa hata kuwazidi waasisi wa huo mfumo kama vile Wachina na Warusi maana kule China hizi biashara za kwenye mitandao zinatia fora, sielewi nini wanachoogopa hawa wakulima wa mihogo Tz.

========

With the number of internet subscribers in the country going past the 27 million mark, one would expect that e-commerce is also going through a boom. Well... that’s not the case - not for giant cross-border digital businesses, at least.

In the period of two years, several digital market place and service sites have exited the Tanzanian market, largely citing the challenge of low engagement and growth.

Early last month a digital career portal and job site Brighter Monday Tanzania announced its plan to cease its operation in the Tanzanian market.

They finally halted operations effective November 30, this year.

The organization’s parental company ROAM Africa said that they had exited the Tanzania market but would continue to operate its “successful and leading marketplaces” in other countries where they were “clear market leaders with a bright future”.

This suggests that the Tanzania local market is still very low and not a profitable affair.
However, in an e-mail interview with The Citizen, Brighter Monday Tanzania chief executive officer Reshma Bharmal-Shariff said the organization decided to take an exit due to the current economic environment and the impact it has caused on many businesses.

Asked if they had plans to return into the Tanzanian market, Brighter Monday stated that for the whole brand and the website would continue to remotely operate by ROAM Africa, who would evaluate the options to re-enter the market in the future.

“Yes, we will evaluate the option to come back in future,” she said shortly.

ROAM Africa, is the organization’s parental company which still has digital market places across sub-Saharan Africa countries such as Nigeria, Ghana, Senegal, Kenya, Uganda, and Ethiopia.

Ms Shariff said one of the major challenges that her organization observed in the digital market was that employers were relying on word-of-mouth hiring through their networks, rather than leveraging data to make the best hiring decision.

Brighter Monday joined other continent’s e-commerce giants such as Jumia, which shuttered its business in Tanzania in November, 2019, citing the need to “focus resources” on other markets as part of an “ongoing portfolio optimization effort.”

Simply put, the company was also looking to cut its operation costs by focusing on larger African markets where e-commerce was currently a more viable proposition.

Economist and social research literate Prof Samuel Wangwe from the University of Dar es Salaam (UDSM) said in order to support the growth of e-commerce as a sector and its contribution to the economy, Tanzania needed a central regulatory framework.

“This is needed because Tanzanians are cautious and sometimes too cautious when it comes to online services, with a state police people’s trust in the business would increase and thus e-commerce as a whole would grow,” he said.

According to him, consumers have cautious behaviour with the fear of being scummed and lose their money.

“E-commerce is the future. There is also a need to enhance information, communication and technology (ICT) infrastructure such as a strong internet connection,” said Prof Wangwe.

Prof Wangwe recommendation aligned with that of the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD) which suggested that Tanzania had the potential to become a leading contender in online trading in the East African region if it would have a focused stand-alone e-commerce policy.

In UNCTAD assessment study of the country’s readiness to engage in e-commerce it was revealed that lack of a national e-commerce strategy was holding Tanzania back.

“Tanzania lacks specific e-commerce legislation and its legal framework is inadequate to create a conducive e-commerce business environment, limiting trust among users of digital technologies,” the UNCTAD study reads in part.

Mzumbe University professor of economics Honest Ngowi also commented that the country needed a legal policy and regulatory framework that would protect both the consumer and the seller.

“This should go hand in hand with a massive rebranding from these e-commerce businesses, they need thorough marketing so that they can be known by a wider range of internet users in the country,” he observed.

Different studies on e-commerce trade have shown that many indigenous people do not put fully trust e-commerce, specifically cross border e-commerce and just a small portion of those who are aware of the particular trade do engage themselves in.

The use of ICT equipment is also still low in Tanzania compared to other countries in the world but it is growing at a relatively good pace.

Following the assessment, UNCTAD recommends several policy actions to grow Tanzania’s e-commerce sector.

They include crafting a national e-commerce strategy, enhancing information, communications and technology (ICT) infrastructure, creating a conducive legislative climate and providing incentives to startups.

Organizations that ceased operations in Tanzania

Tala


September last year, the digital lender Tala announced that it was winding up its business and has since ceased offering loans to its Tanzanian customers.

Source: The Citizen
 
"Brighter Monday Tanzania chief executive officer Reshma Bharmal-Shariff said the organization decided to take an exit due to the current economic environment and theimpact it has caused on many businesses".

Nahitaji kufafanuliwa zaidi kuhusu haya mazingira mabovu ya kiuchumi waliyoyataja Brighter Monday, ambayo ndio yamesababisha waondoke Tz. Tatizo ni nini haswa? Maanake kama ni nchi yeyote nyingine duniani ningesema kwamba ni changamoto na athari za janga la COVID-19.
 
Dimwits, unaona mwengine hapo juu anapost a personal achievement of a Tanzanian on Youtube kuprove they have internet penetration. Hawa watu ni wa kucheka tu.
Mpaka umeshindwa kuniquote, 1 billion views ni personal?

Millardayo contents ni 100% swahili means 99% ya all views ni Tanzanians

Ninyi ambao media zenu ni 98% English in which you have potential for global audience hamna hampo hata kwenye top 300 ya YouTube whatsoever 😅😅

Usitake nilete data za instagram subscription
 
Wameshindwa sababu wameshindwa kulisoma soko la Tanzania, internet penetration Tz ni kubwa sana zaidi ya nchi yoyote East and Central Africa, ushahidi angalia video za umbeya zilivyo na views nyingi YouTube au angalia hata followers wa sio wasanii bali wambeya tu IG, brand kubwa kama Sautisol ya Kenya inazidiwa au ipo sawa na Dizzim online.

Watz ni watu tofauti, wana radha zao na hawapendi kushoboka kwa western culture, naamini hii opportunity soon itajazwa vyema na kampuni itakayoweza kuendana na falsafa za Kitanzania.
 
Mpaka umeshindwa kuniquote, 1 billion views ni personal?

Millardayo contents ni 100% swahili means 99% ya all views ni Tanzanians

Ninyi ambao media zenu ni 98% English in which you have potential for global audience hamna hampo hata kwenye top 300 ya YouTube whatsoever 😅😅

Usitake nilete data za instagram subscription
Yaani kuhusu internet penetration Kenya watulie tu, Tz ipo vizuri sana, kama biashara ya e-commerce wamefeli hao kwa sababu nyingine ila sio penetration ya e-commerce, watakuja wanaotuelewa na waliojipanga na watafanikiwa.
 
Dimwits, unaona mwengine hapo juu anapost a personal achievement of a Tanzanian on Youtube kuprove they have internet penetration. Hawa watu ni wa kucheka tu.
Uwe unanukuu mhusika, pimbi wewe.

Unataka kuelimishwa halafu unakimbia darasa!

Nyinyi ndio huwa mnakesha hapa kusema mnaongoza ukanda huu kwa internet users, sijui ni vielelezo gani huwa mnatizama.
 
Yaani kuhusu internet penetration Kenya watulie tu, Tz ipo vizuri sana, kama biashara ya e-commerce wamefeli hao kwa sababu nyingine ila sio penetration ya e-commerce, watakuja wanaotuelewa na waliojipanga na watafanikiwa.
Mtu wao mwenyewe biggest online followership hafiki 3 million followers, wakati Mtanzania mwenye greatest online followership ana 12 million followers 😅😅😅

Bado wanafikiri tupo kwenye league moja kwenye issue za internet.
 
Mpaka umeshindwa kuniquote, 1 billion views ni personal?

Millardayo contents ni 100% swahili means 99% ya all views ni Tanzanians

Ninyi ambao media zenu ni 98% English in which you have potential for global audience hamna hampo hata kwenye top 300 ya YouTube whatsoever 😅😅

Usitake nilete data za instagram subscription
Ungekua na akili, ningekueleza kwa nini reasoning yako ni ya upuzi.
 
uwe unanukuu mhusika,pimbi wewe.
unataka kuelimishwa halafu unakimbia darasa!!!

nyinyi ndio huwa mnakesha hapa kusema mnaongoza ukanda huu kwa internet users,sijui ni vielelezo gani huwa mnatizama.
Hivi kulingana na akili yako uchwara DRC iko na high internet penetration kuliko Tanzania kwa sababu akina Koffi Olomide wana high internet following? Saa zingine mimi huona kama wabongo akili yao hutupwa na placenta wakizaliwa.
 
Hivi kulingana na akili yako uchwara DRC iko na high internet penetration kuliko Tanzania kwa sababu akina Koffi Olomide wana high internet following? Saa zingine mimi huona kama wabongo akili yao hutupwa na placenta wakizaliwa.
wewe mbuzi kweli,

drc ina waimbaji wakongo wanaoeleweka na wafaransa na wakongo wanaoishi ufaransa,usichoelewa ni kitu gani??
kwahiyo bado hoja yako haikai hapo.
 
Hivi kulingana na akili yako uchwara DRC iko na high internet penetration kuliko Tanzania kwa sababu akina Koffi Olomide wana high internet following? Saa zingine mimi huona kama wabongo akili yao hutupwa na placenta wakizaliwa.
Hapa yupo diamond na millardayo, unajua kwa nini nimeamua kumsisitiza millardayo kama wewe kweli zimo? 🤔

 
Back
Top Bottom