Imekaaje Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuwa na ofisi Ikulu ya Chamwino?

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Nilimsikia majuzi Rais wa SMZ akishukuru kwa SJMT baada ya SMZ kupewa ofisi katika ikulu mpya ya Dodoma.

Je, ni kwa sababu ni ikilu mpyaaa au hata pale magogoni SMZ wana Premise zao?

Isitoshe niliwahi kusikia pia kama SMZ walipewa eneo la kujenga Ofisi zao pale Dodoma.

Binafsi najiuliza sana kwanini ardhi ya sehemu moja ya Muungano ina pendwa sanaa ilihali kwa wenzetu huko chao ni chao hakuna ku share. Kuna vitu haviko sawa ktk Muungano huu.
 
Kuna siku tutapata mzalendo atatuletea serikali moja. Hizi gharama zisizo na msingi hazina ulazima wa kuendelea kuwepo.
 
Nilimsikia majuzi rais wa SMZ akishukuru kwa SJMT baada ya SMZ kupewaOfisiktk ikulu mpya ya Dodoma

Ne ni kwa sababu ni ikilu mpyaaa au hata pale magogoni SMZ wana Premise zao?

Isitosheniliwahi kusikia pia kama SMZ walipewa eneo la kune ga Ofisi zao pale Dodoma.

Binafsi najiuliza sana kwann ardhi ya sehemu moja ya Muungano ina pendwa sanaa ilihali kwa wenzetu huko chao ni chao hakuna ku share .. Kuna vitu haviko sawa ktk Muungano huu
Imekaa hivyo hivyo kwani wewe unaona imekaaje?

Ukute hujui kwamba Rais wa JMT ana Ofisi Zanzibar
 
Back
Top Bottom