Imekaaje kwa wababa/wakaka wanaojifunga vitenge/kanga wanapokuwa nyumban!

Nunua bwana si zipo madukani?then lipuka nayo mpaka dukani kwa mangi alafu nipe feedback,so kwa anayevaa na hajaoa anakuwa kapewa na mpnz wake?

Good advice_hakuna haja ya kulipuka nayo mpaka kwa mangi_kuna masista du hapa watoto wa mama mwenye nyumba najua wataleta za kuleta tu,halafu ntakuteli....nikiona vip ni vuuuuuuuuuuuuuup mpaka grocery ya jirani..yaani mpaka waseme kitu maake wenye kukereheka kama ww hawakosekani.
 
kawaida tu bibie,hata mimi ni mvaji mzuri japo siwezi kwenda umbali mrefu!huku down stairz inabidi kuwe huru baada ya kubanwa kutwa nzima
 
Ahahahhahaaaah!! Hili ndio jibu kwa Cantalisia.
 
Good advice_hakuna haja ya kulipuka nayo mpaka kwa mangi_kuna masista du hapa watoto wa mama mwenye nyumba najua wataleta za kuleta tu,halafu ntakuteli....nikiona vip ni vuuuuuuuuuuuuuup mpaka grocery ya jirani..yaani mpaka waseme kitu maake wenye kukereheka kama ww hawakosekani.
Mweeee! naisubiri kwa hamu Igwe, kwani najua lazima magazeti ya udaku watapata heading!ila nimecheka sana bo!nasubiri feedback tafadhali!
 
kawaida tu bibie,hata mimi ni mvaji mzuri japo siwezi kwenda umbali mrefu!huku down stairz inabidi kuwe huru baada ya kubanwa kutwa nzima
Ok,kama ni kawaida kwann huwezi kwenda nayo umbali mrefu?
 
Sawa inawezekana hewa inahitajika kupifika huko kwa wingi, katavi kwann asiende nayo mpaka mtaa wa pili akinyoosha viungo?

vazi la kanga Canta lina maana nyingi kutegemea na mvaaji na shemu husika

kwa wababa wengi linavaliwa zaidi chumbani kwanza kwa sababu ni jepesi na rahisi (mbdadala wa msuli) , kama alivosema Eli apo juu wakati wote ni wakati wa chai kwa hiyo mama na baba wakiwa chumbani, wanaweza kuamua kunywa chai wakati wowote. Ni kwa sababu hiyo...kwangu mimi ninaona sio sahihi kuvaliwa na mwanaume kama vazi la kutembeelea sehemu zaidi ya chumbani/bafuni.
 
Bora hiyo ya kuwa rum watu hawaon,na inawezekana wengi wanavaa,je kabla ya kuoa ulikuwa unavaa?unaonaje ukitoka nayo mpaka kibarazani au kusindikiza mgeni?

mh kutoka nayo sebuleni mpaka kumsindikiza mgeni hiyo siwezi kwa kweli, umri nao labda kwa watu wazima miaka 50 na kuendelea wanakuwa hawajali saana surroundings km vijana
 
vazi la kanga Canta lina maana nyingi kutegemea na mvaaji na shemu husika

kwa wababa wengi linavaliwa zaidi chumbani kwanza kwa sababu ni jepesi na rahisi (mbdadala wa msuli) , kama alivosema Eli apo juu wakati wote ni wakati wa chai kwa hiyo mama na baba wakiwa chumbani, wanaweza kuamua kunywa chai wakati wowote. Ni kwa sababu hiyo...kwangu mimi ninaona sio sahihi kuvaliwa na mwanaume kama vazi la kutembeelea sehemu zaidi ya chumbani/bafuni.
Asante nimekupata so hata ww ungewaona hao niliowaona mie ungeshangaa pia, asante Kaizer.
 
mh kutoka nayo sebuleni mpaka kumsindikiza mgeni hiyo siwezi kwa kweli, umri nao labda kwa watu wazima miaka 50 na kuendelea wanakuwa hawajali saana surroundings km vijana
Nimekusoma mkuu na kwa maana hiyo hawa niliowaona mie watakuwa na lao jambo kwan wanachokifanya sio kawaida na nitofauti na matumizi ya kawaida!
 
Aaaaaaaaaaa dada angu mimwenyewe hainifurahishi kabisahii kitu
utakuta baba kavaa, muda so mrefu kama wana binti wa kike nae kaidandia kavaa
bs nyumba inakuwa haina heshima kama ndo mm namuelimisha mme wangu kunipenda sio lazima univalie kanga na vitenge vyangu.
 
Asante mdau,kwakweli hata mie ndio maana nilibaki na mishangao kibao!
 
Mbona hiyo ni common sana kwa watu wa mikoa ya pwani(joto regions) ni substute ya msuli huvaliwa kwa nia kubwa ya kukipa hewa kijiji na kurelax kuhusu na kwenda nayo mbali inategemeana na age,social status na kibuli cha mhusika.
 
Aaaaaaaaaaa dada angu mimwenyewe hainifurahishi kabisahii kitu
utakuta baba kavaa, muda so mrefu kama wana binti wa kike nae kaidandia kavaa
bs nyumba inakuwa haina heshima kama ndo mm namuelimisha mme wangu kunipenda sio lazima univalie kanga na vitenge vyangu.

Nakuunga mkono. hata mi hainifurahishi kabisa. kuna familia moja niliona baba na binti wamevaa kanga sare sare.
 
Back
Top Bottom