FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,501
Hivi hizi meseji za sensa tunazotumiwa kila siku mpaka leo hii sio upigaji kweli?
Hivi inawezekana sio? Maanake nashuku serikali inazilipia hizi mesej na kuna percent zinaenda mahali.Mie nime block
Zilikuwa kwenye foleniHivi hizi meseji za sensa tunazotumiwa kila siku mpaka leo hii sio upigaji kweli?
Mmhh! Hiyo pesa si wangeekeza kwenye mambo ya umeme mkuu?Zilikuwa kwenye foleni
They don't care about me and youMmhh! Hiyo pesa si wangeekeza kwenye mambo ya umeme mkuu?
Hapo sijui tririoni(kwa sauti ya mwendazake) ngapi zimetumika.Aunlabda walishalipia so wanamalizia sms zao
Facts!!!They don't care about me and you
Utasikia bilioni 100 zimetumika kutuma hizo msgHivi hizi meseji za sensa tunazotumiwa kila siku mpaka leo hii sio upigaji kweli?
BlockZinaboa yani
Bila shaka mkuu!Utasikia bilioni 100 zimetumika kutuma hizo msg
Wacha nijaribuPiga block
Ndio kazi yenyewe hiyo inatuhusuMkuu wanakupa idadi ya watu,ili ujue wanawake wapo wengi uanze kuwanyandua tofauti tofauti