Imekaa namna gani hii wakulungwa

From Meru

JF-Expert Member
May 19, 2023
2,381
5,231
Mtoto anasema katumwa kuja kucheza. Nyumba aliyotumwa hakuna watoto ni watu age go.
Namuuliza anasema mama yake kamtuma aje kucheza. Nikauliza baba yupo? Kakajibu ndio.
Je niliyoyawaza mimi Babu Njunju ndivyo au?
 
Elewa ni mtoto usitake awe na akili za kiutu uzima yeye hatambui kama nyie ni watu wa zima, huo utambuzi bado hana.
 
Mmmhh??? Weweee naweee! Jua kali mbele ya mbususu??? Chezea papuchi wee
hahaha mkuu napenda kugagadua hizi mbususu ila hapa dar nimesarenda. ningeweza ningehamisha hali ya hewa ya kwetu arumeru ningeileta Dar. unachakata unavuja mijasho kama ulikua pre season.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom