Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi Donald J Trump ameibuka na ushindi wa kutosha dhidi ya Hilary Clinton aliungwa mkono na Rais wa sasa na baadhi ya marais wastaafu. Kwenye uchaguzi huu kuna mengi nimejifunza hasa kuhusu wanaharakati wa haki za wanawake kwenye nchi za kiafrika. Wanawake wengi walikuwa wakimuunga mkono Clinton hata kuweka hashtag za I'm with her ila ukiwauliza kwanini wanamuunga mkono Hillary wanakuambia Hilary ni mwanamke, Can real be the reason to elect a person to the job seat? wamarekani wamesema hapana wao pia wana vigezo vyao na sio gender. Imekuwa kawaida kwa baadhi ya watu kupewa position ya flani hata kama wako weak kisa tu ni wanawake na matokeo yake ni kuharibu au kuvuruga kabisa taasisi wanazoziongoza au kutumiwa kulinda maslahi ya watu flanflani. Tunayo mifano mingi ya watu waliopewa madaraka kwasababu jinsia mfano mzuri Sitta alinyimwa uspika akapewa Makinda, Zakia Meghji alipewa uwaziri wa fedha kilichofuata kila mtu anaelewa, kule South Africa Spika mwanamke kila siku anamlinda Zuma dhidi ya Impeachment. Wamarekani wamesema kwa urais bado sana kumpa Hillary nafasi wanayotoa ya juu kwa wanawake ni Secretary of State.
Hata hivyo wanawake wakiafrica wangekuwa serious na wanawake wenzao kwenda ikulu basi Anna Mghwira na Martha Karua wangekuwa sasa hivi ni Maraisi wa Tanzania.
My Take Feminism is just a propaganda and it does apply out there sisi tu ndiyo tunaimba mapambio ya feminism.