Kajuni
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 486
- 186
- Thread starter
- #21
CDM kama chama kipya tunatarajia kitoke kivingine, pamoja na kushahihisha yale wanayodhani ni fikra mgando za chama wanachotaka kukiondoa madarakani. Swali halijajibiwa. Itikadi ya CDM ni nini wandugu? Mbona kigugumizi?
Watueleze sasa wanataka kutoka vipi? waweke mikakati yao ya uchumu na tuipime kukosoa ni rahisi lakini ukipewa ngoma ucheze inakuwa ngumu jamani. Chadema bado kabisa kupewa njiiiii. Ila nashukuru wanatoa changamoto kwa chama chetu kitukufu cha magamba. Hakika safari bado ni ndefu sana. Watu wanapenda ushabiki tuuuu lakini hatuoni practical kutoka kwa hao viongozi wetu wa CDM! Hata viti maalumu vilijaa mizengwe sana???